CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

Status
Not open for further replies.
kwa kipindi cha miaka miwili mitatu sasa kumekuwa na matukio ya kinyama na ya uvunjaji haki za binadamu dhidi ya watanzania wachache wenye moyo wa uzalendo wa kuleta haki na usawa kwa jamii ya kitanzania iliyonyanyasika kwa kipindi kirefu.

Hivi majuzi Absalom kibanda mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ameteswa na kufanyiwa unyama wa hali ya juu huku jamii ikibaki na maswali yasiyokuwa na majibu.

Aliteswa mpiganaji DR ULIMBOKA wakati yupo kwenye harakati za kuitetea sekta ya afya hapa nchini.

kijana ISSAH alimwagiwa tindikali huko igunga huku kukitokea mauaji ya kusikitisha ya mwandishi DAUDI MWANGOSI mkoani iringa na mwananchi asiye na hatia huko morogoro.

Watu wenye uchungu na nchi yao wamechoka wameona sasa basi..

Tukio la KIBANDA ni mwendelezo wa matukio yanayofuata.. Hivi karibuni mtasikia tukio lingine kubwa dhidi ya mwandishi mwandamizi wa mwananchi communications Ltd......sikiliza video.

Huyu anayeongea ni mchora dili mkuu kwa maelekezo ya mwenyekiti na katibu wake mkuu.

Hii ni part 4, part zingine zimekwisha tekelezwa Ila ZITAWEKWA HAPA WAKATI MAHSUSI UKIFIKA......

Duh, mkuu hii mbona noma kama mambo ndo hivyo
 
Nasikia sauti ya jamaa mmoja wa chadema anaitwa ludovik akiitikia na kutoa maelezo kwa boss wake mratibu na mtendaji bwana rwakataremmh kweli hii ngoma nzito kwa chadema sijui watatokea wapi

Vipi mzima kitambo sijasoma singo zako.!?
 
Huyu anatofauti na gaidi kweli? wale FBI bado wako mchini waondoke naye?
 
Wapumbavu kabisa, ndio maana mi huwa nasmea kuwa maCCM ni majambazi, Nani mjinga ambaye hatoweza kutambua kuwa hiyo ni video iliyopikwa kiutalamu zaidi(Video shopping)? Hapa Mwigulu, Nape na Ridhiwani lazima wanahusika kwa 100%, Hamjui kupanga mikakati na badala yake mnazidi kujivua nguo hadharani kabisa, Kwa ushahidi wa kimazingira ukiangalia maelezo ya Mwigulu kipindi cha nyuma kuhusu mauaji, Ujasiri wa Nape na Ridhiwani kwenye mitandao ya kijami kujigamba kwa kebehi kwamba wanawajua waliompiga Kibanda, Hivi Nape na Riz hao wamekuwa ni TISS au polisi mpaka wajue hayo? Leo hii Mnafanya siasa chafu lakin mjue mwisho wa siku hamtabaki salama, Pia na nyie viongozi wa CHADEMA kuna watu kama Zitto ambao nyie mnaendelea kuwafuga mkidhani ni ukomavu wa kisiasa kumbe ndio maengeneer wakubwa wakuska tuhuma kwa kushirikiana na CCM kwa lengo la kukiangusha chama siku za usoni. period
 
Nasikia sauti ya jamaa mmoja wa chadema anaitwa ludovik akiitikia na kutoa maelezo kwa boss wake mratibu na mtendaji bwana rwakataremmh kweli hii ngoma nzito kwa chadema sijui watatokea wapi

Vipi mzima kitambo sijasoma singo zako.!?
 
hii ngoma nzito sana kwa chadema sasa sijui nayo wataandamana na huyo jamaa anaeitikia hapo na kujibu maswali ya mchora mchoro wa utekaji nyara lwakatare ni jamaa mmoja hivi wa chadema anafahamika na hizo ndizo kazi zake jamaa huyo bwana L kama herufi yake ya mwanzo ya jina lake ilivyo aliwahi somea upadre ila ukamshinda akaacha naye hana pakukwepea katika hili maana kwa wanaomjua vizuri kama mimi hawatosita kumtambua kwamba ni YEYE{KIJANA L]
 
undani ni kwamba kitengo cha usalama(utekaji)chadema kinahusika sana,inabidi turudi nyuma mpaka kwenye kifo cha chacha wangwe,pengine huyu bwana ndio aliengineer ile "ajali"

Take it from me, This too shall pass na tupo tayari kwa mengine. Ukijua na kutambua km unapambana na maamuz ya Mungu, utajuta mkuu.

Mungu bariki TZ

Mungu ibariki chadema
 
Nimesikia akisema haya maneno "HUYU MTU NI HATARI NA HAYUKO KWENYE HABARI TU"
hata mimi nimeshindwa kuelewa lakini ni wazi alikuwa akimlenga mwandishi wa habari anaweza kuwa MWANGOSI au KIBANDA nini?
 
kwa kipindi cha miaka miwili mitatu sasa kumekuwa na matukio ya kinyama na ya uvunjaji haki za binadamu dhidi ya watanzania wachache wenye moyo wa uzalendo wa kuleta haki na usawa kwa jamii ya kitanzania iliyonyanyasika kwa kipindi kirefu.

Hivi majuzi Absalom kibanda mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ameteswa na kufanyiwa unyama wa hali ya juu huku jamii ikibaki na maswali yasiyokuwa na majibu.

Aliteswa mpiganaji DR ULIMBOKA wakati yupo kwenye harakati za kuitetea sekta ya afya hapa nchini.

kijana ISSAH alimwagiwa tindikali huko igunga huku kukitokea mauaji ya kusikitisha ya mwandishi DAUDI MWANGOSI mkoani iringa na mwananchi asiye na hatia huko morogoro.

Watu wenye uchungu na nchi yao wamechoka wameona sasa basi..

Tukio la KIBANDA ni mwendelezo wa matukio yanayofuata.. Hivi karibuni mtasikia tukio lingine kubwa dhidi ya mwandishi mwandamizi wa mwananchi communications Ltd......sikiliza video.

Huyu anayeongea ni mchora dili mkuu kwa maelekezo ya mwenyekiti na katibu wake mkuu.

Hii ni part 4, part zingine zimekwisha tekelezwa Ila ZITAWEKWA HAPA WAKATI MAHSUSI UKIFIKA......

Weka zote mkuu hali ya kiusalama ya nchi ni tete lasivyo watatumaliza hawa jamaa
 
Anasema unaweka mazingira ya kumuonyesha kuwa umemfanyia tendo kutokana na kazi yake kwa kumuwekea ujumbe mfukoni. Akiamka anajikuta Kigamboni, mwenyewe ataacha.

Mkakati gani muliweza wa propaganda leo wananchi wameweza kucontrol nchi yao kuna mahara hata KIkwete hakanyagi itakiwa taarifa zenu za kuchonga duh mutaota vipara bure kwa chuki uzandiki na unafiki nchi hii yetu wote sio ya mama zenu kwamba eti mumemilikishwa
 
Kwenye maelezo yaliyopo kwenye youtube imeelezwa kuwa lwakatare anapokea maagizo kutoka kwa mwenyekiti mbowe na katibu mkuu dr slaa
 
Weka zote mkuu hali ya kiusalama ya nchi ni tete lasivyo watatumaliza hawa jamaa

Leo hata malaya wa kisiasa wameonekana kwenye anga hizi baada ya kuchonga you tube message mwambieni Tidhiwani hawezi kuhamisha ukweli anajulikana kufurahia kuteswa kwa dr Ulimboka na KIbanda hata KIbanda mwenyewe ameonya musimtumie kisiasa
 
Kwa hiyo hapa siyo mipango ya mauaji kama alivyosema Mwigulu! Anyway hata hivyo hatujui context ya mazungumzo ipoje, hatujui walianzia wapi kuongea na walifikaje hapo. Kwa hiyo hii video kwa jinsi ilivyo, sijaona ikitoa hukumu ya moja kwa moja kwamba labda Lwakatare anatoa maoni yanayokiwakilisha chama chake au inapangwa mikakati ya kufanya hayo anayoyasema. Naona kwa kiasi kikubwa anaongelea kama kwa mifano. Lakini kizuri ni kwamba hakuna aliyewekewa hiyo spray akapelekwa kokote, lakini wapo waliopigwa na kuteswa sana na serikali. Inaelekea serikali ya CCM ilikuwa bado haijaigundua hii mbinu ya Rwakatare, ambayo hailengi kupiga wala kumuumiza mtu popote, bali kumpa ujumbe kwa njia ya amani.

Ulipangwa kuzaliwa mkuu. Umetema point nzito sana.
 
Ulipangwa kuzaliwa mkuu. Umetema point nzito sana. Kula like
 
alikuwa na wakenya wa Ulimboka!

Mabere Marando yuko wapi? yeye ndiye huwa msemaji wa mambo kama haya, aje atwambie tena kwamba CCM wamemtegeshea aongeee hayo maneno, teh teh teh kazi tunayo jamani tukeshe tukiomba kama hivi ndivyo madaraka yanavyotafutwa tumekwisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom