CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

Status
Not open for further replies.
Sasa naamini hawa watu wanaokuwa madarakani ni hatari sana, mi sina shaka yoyote hii mipango ya kuitoa hii clip ilikuwa ikisubiri hesabu tu za nani awe sadaka ya mfano na kibanda akawa target nzuri ya Ccm, ni vizuri Mwigulu atafutwe lazima anajua mengi yaliyompata Kibanda, Mungu atawaumbua manyang'au gawa
Lakini mbona hamumzungumziii Mpanga njama Rwakatare amabe anaonekana wazi akipanga badala yake mnajikitita kwenye speculations?!!mnasukumwa na nini hasa kujifanya hamuielewi hii video wakati anaongfea kiswahili safi tu!

hata hii naanza kuamini Lwakatare was behind,aisaidie polisi tu huyu mtu hatari sana kuishi katika jamii aisee
1.jpg
 
Porojo! CCM mmefikia hatua hii kuishi kiujanja ujanja!!
huyo ni mh lwakatare lakini,mbona hujamzungumzia hata kidogo kaka,unadhani alikua anamaanisha nini kwenye maongezi yake hayo,acheni kutapa tapa jamani,lwakatare ni mtuhumiwa namba moja hapa
 
Mbona huyu ni Lwakatare wa CUF wa enzi zile? Si amevaa jezi ya CUF hapo? Lakini,kwa mitandao na ukuuaji wa teknolojia,kila kitu kinawezekana
Oooh....hivi kumbe Lwakatare alikuwa bado yupo CUF hata baada ya Masuala ya marudio ya Uchaguzi Igunga kufanyika?...Manake nimemsikia akitolea mfano wa ishu ya Igunga kwamba Licha ya yule kijana kufanyiwa unyama,mambo hayakwenda kama walivyotaka wao,kwani Unyama ulikuwa mkubwa mno kiasi kwamba ikavuta "Sympathy" ya wananchi na wananchi kuwa na mori kuwapenda wa Kundi lililofanyiwa unyama,badala ya kuwatisha
 
Jamani kuweni makini makini na hii clips, hapa Lwakatare amevaa tishert ya Cuf lkn ishu zinazozungumzwa ni currently.

Sikiliza kwa kuangalia utangundua kwamba hii video imetengenezwa na wataalamu kwa ujanja wa hali ya juu. Wamechukua video ambayo Lwakatare alikuwa kwenye kikao enzi hinzo wakacheza na mdomo assume kama kikao kilikuwa cha masaa matatu wao wamekatakata kutafuta uwiano wa maneno na mdomo/ulimi ni utaalamu mkubwa sana na ndio maana unaona mpiga picha haoneshi coverage ya watu wengine na anajaribu kuficha nembo ya Cuf. Huu ni usanii.

Any way mm hii clips nitaiaccept kama CDM hawataikanusha na huu utakuwa ndio mwisho wangu ktk siasa.
 
huyo ni mh lwakatare lakini,mbona hujamzungumzia hata kidogo kaka,unadhani alikua anamaanisha nini kwenye maongezi yake hayo,acheni kutapa tapa jamani,lwakatare ni mtuhumiwa namba moja hapa

Japokuwa umejifanya kukana eti wali-hack yako account Ya facebook lakini nina uhakika wewe unajua mengi sana kuhusu kushambuliwa kwa Kibanda.
 
Kutokana na hii clip naanza kupata mwanga.... Huyo aliyeiposti hii clip LAZIMA atakakuwa kwa njia moja ama nyingine anahusika. Baada ya kuipata, akaamua kumshambulia Kibanda ili ionekane mzungumzaji kwenye hii clip ndie muuaji.... Kwa hiyo hata Ridhiwani alipoposti ile kejeli facebook alikuwa na maana kubwa sana na huenda anajua undani wa kila kitu...
Kumbe wewe ubwabwa kweli kweli, Riz ndio ameweka kaseti mdomoni mwa Rwakatare halafu akaiswitch on izungumze? Mi nilidhani we ni GT kumbe umemaliza fomu 4 mwaka Jana?
 
ndugu zangu,

kama kuna hii evidence strong namna hii, tena ya video kwa haraka haraka na akili ya kawaida hii ingetumiwa na vyombo vya usalama kama polisi kama kithibitisho mojawapo ya matukio husika kama vile ya igunga n.k.

Kwa ufupi hii ni 'video-shopping' at its best lah vp serikali kupitia jeshi la polisi limwajibishe lwakatare
 
Mawazo yako yameoza. Unawezaje kufikia conclusion za kijinga namna hii kwa hiyo video ambao mengi huyajui. Au wewe utakuwa mmoja wa wahusika kwenye mkakati huo! BADO nasisitiza kumpata mhusika sasa ni rahisi sans kama utakuwa na wapelelezi wa maana.
Mjinga mie ama wewe ambaye huwezi kutoa hata conclusion ndogo unasubiri mtu aje akutolee?Nitolee povu zako hapa!....Wewe Kaa Usubiri Uchunguzi....Mie na wenzangu wengi ndio conclusion yetu mpaka hapo anayetuhumiwa atakaposema wamemchezesha video.....na bado...povu zitakutoka sana
 
ndugu zangu,

kama kuna hii evidence strong namna hii, tena ya video kwa haraka haraka na akili ya kawaida hii ingetumiwa na vyombo vya usalama kama polisi kama kithibitisho mojawapo ya matukio husika kama vile ya igunga n.k.

Kwa ufupi hii ni 'video-shopping' at its best lah vp serikali kupitia jeshi la polisi limwajibishe lwakatare
Mkuu, Kama mpaka sasa Rwakatare bado yuko nyumbani na mkewe, basi polisi ni chakula ya fisi
 
Kwa hiyo Nchemba badala ya kuipeleka polisi anatuletea sisi, utawandanganya mitaji yenu ya wajinga,kwa upande wetu sisi mpaka kieleweke 2015. mpaka mauaji ya mwangosi kweli nyinyi umechukulia watanzania wote ni mbumbumbu
 
Ni bingwa wa kupanga na kutekeleza mikakati kama hii ya ku silence watu hata kule zanzibar kawafanyia mambo mengi sana cuf.Kma chadema ikishika madaraka(mungu apishie mbali) ndio atakua mkuu wa usalama wa taifa
Haha, atakuwa mkuu wa usalama wa taifa? Kwani Lwakatare ni usalama wa taifa? Kwa hiyo atapanda cheo hadi kwenda kuwa mkuu wa usalama wa taifa? Kama huyu ni usalama wa taifa basi ni mfanyakazi wa Ikulu, maana usalama wa taifa wanafanya kazi ya Ikulu.

Na kwa kuzingatia kwamba amekubali hadi kurekodiwa video wakati anaongea hayo, basi ni dhahiri kwamba hii video na yenyewe imetengenezwa kwa makusudi kama sehemu ya propaganda ya kuimaliza CHADEMA. Huyu Lwakatare alikuwa CUF, hatujui ni kwanini aliondoka huko, labda ni baada ya kufanikisha mikakati ya kukiua. Na sasa ameletwa kuja kutengeneza skendo ndani ya CHADEMA ili mupate nafasi ya kukipaka matope!

So far kwa kuwa umesema huyu ni usalama wa taifa, basi nina uhakika kesho tu atakuwa keshatimuliwa CHADEMA arudi huko Ikulu kwenu. Sina uhakika kama haya anayoongea Lwakatare yanakiwakilisha CHADEMA. Nina uhakika mikakati mikubwa kama hiyo lazima ingeshirikisha viongozi wakubwa na si huyu jamaa peke yake.

Na kwa sasa Independent Voter umenifumbua macho kwamba huyu ni usalama wa taifa, na hivyo anahusiana na Ikulu. So mipango yote hii ni dhahiri imeratibiwa na Ikulu kama sehemu ya kuimaliza CHADEMA. Na ni wazi kwamba mmemtoa Kibanda kama mbuzi wa kafara.

Topic closed! Hakuna cha kuendelea kujadili so far, kama Lwakatare ni usalama wa Taifa.
 
Yalisemwa mengi yakakosa majibu sasa kila kitu hadharani..watu wanatudanganya kuwa wao ni wakombozi kumbe ni wauwaji
 
Nasikia sauti ya jamaa mmoja wa chadema anaitwa ludovik akiitikia na kutoa maelezo kwa boss wake mratibu na mtendaji bwana rwakataremmh kweli hii ngoma nzito kwa chadema sijui watatokea wapi
 
Lakini mbona hamumzungumziii Mpanga njama Rwakatare amabe anaonekana wazi akipanga badala yake mnajikitita kwenye speculations?!!mnasukumwa na nini hasa kujifanya hamuielewi hii video wakati anaongfea kiswahili safi tu!

hata hii naanza kuamini Lwakatare was behind,aisaidie polisi tu huyu mtu hatari sana kuishi katika jamii aisee
1.jpg
Naona jamaa baada ya kuunguzwa akafanana na mwigulu!
 
Mjinga mie ama wewe ambaye huwezi kutoa hata conclusion ndogo unasubiri mtu aje akutolee?Nitolee povu zako hapa!....Wewe Kaa Usubiri Uchunguzi....Mie na wenzangu wengi ndio conclusion yetu mpaka hapo anayetuhumiwa atakaposema wamemchezesha video.....na bado...povu zitakutoka sana

Nyie ni wauaji wakubwa! Mko tayari kumuua Kibanda ili mfanikishe mpango wa kuoanisha hii clip na mauaji?
 
Mbona huyu ni Lwakatare wa CUF wa enzi zile? Si amevaa jezi ya CUF hapo? Lakini,kwa mitandao na ukuuaji wa teknolojia,kila kitu kinawezekana
Hiyo Jezi siyo ya CUF ni ya PPF, lakini kikubwa cha kuangalia hapo ni kwamba inaonekana kabisa hiyo video ilirekodiwa kwa uwazi kabisa. Ni dhahiri hata Lwakatare mwenyewe alijua kwamba anarekodiwa. Na iwapo ni kweli kwamba alikuwa anapanga mipango mikubwa kama hii kwanini alikubali kurekodiwa. Kuna jamboa kubwa zaidi ya tunavyoweza kudhani.

Na si ajabu amerekodiwa juzi tu baada ya Kibanda kuwa ameshapigwa na kupelekwa Africa kusini. Lwakatare anaweza kuwa ni Shonza mwingine. Kanunuliwa kwa bei rahisi ili akubali kuipaka matope CHADEMA, or else, kama alivyoseme Independent Voter huyu jamaa anaweza kuwa ni usalama wa taifa na nimwanamikakati mashuhuri wa Ikulu, so hapo yupo anatekeleza wajibu wake wa kikazi. Kuimaliza CHADEMA kama ambavyo Wasira na Mwigulu walipanga kuhakikisha CHADEMA haifiki 2014. Kuna kila dalili kwamba kuna mchezo unachezwa hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom