Mujumba
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 853
- 306
Wewe ndo unakurupuka soma vizuri ile post,jamaa ametoa simirality na ni ukweli Seif kazuzuka kapewa cheo ambacho kwenye katiba hakipo,hiyo yote ni kutokana na uchu wake wa madaraka! SLAA ni zaidi sana ya SEIFTuache uzandiki na kuficha ukweli. Maalim Seif amewahi kushika wa chief minister kule Zanzibar, cheo ambacho kipo black and white na kinatambulika na katiba ya nchi ya ZNZ na SMZ na pia SMT.
Kama ufahamu ni bora kuuliza kuliko kukurupuka sababu ya kutaka kumbeba Slaa. Dr Slaa ni maarufu sana katika Vigango na parokia zote za kikatiliki hapa Tanzania na si vinginevyo.
Pole sana