CHADEMA (Dr Slaa) afuate nyayo za CUF (Maalim Seif)

Mtasema mengi sana lakini sikio haliwezi hata kidogo kuzidi kichwa.

CUF ni wakongwe na wakomavu katika siasa za nchi hii sio Chadema. Kwani ili kuweza kujikita na japo kufikia hata nusu ya CUF katika kura za uchaguzi wa rais na Wabunge katika Tanganyika, Chadema lazima wapate uzoefu wa CUF kinyume chake ni propaganda tu na kuleta machafuko.

CDM ni chama cha Nchi(TZ) CUF ni chama cha Wilaya za Uguja na Pemba.Zanzibar si nchi.Nyerere alifunga ndoa na Karume,Kikwete amesaidia ndoa ya Shein na Seif ili tuendelee kuimiliki Wilaya ya Zenj.
 
Nyayo zipi. Labda unisaidie niweze kuchangia.:blah:

Kwani CUF imefikisha hatua gani nchi hii mpaka ukaona mabadiliko makubwa sana ya katiba kule Zanzibar na sasa kutakuwa na mabadiliko ya katiba katika Muungano ili kuya accomodate kile kilichopitishwa zanzibar.

Kumbuka kuwa hata MBUYU ulianza kama mchicha. lazima mjifunze
 
Nimekusoma mwana JF, sasa CUF bado ni upinzani au part and parcel ya vyama twawala. Hivi sasa, kweli wataendea na harakati za muafaka au kula utamu. Hapa sio kwamba upinzani unadhoofika?:A S 13:
 
Tuache uzandiki na kuficha ukweli. Maalim Seif amewahi kushika wa chief minister kule Zanzibar, cheo ambacho kipo black and white na kinatambulika na katiba ya nchi ya ZNZ na SMZ na pia SMT.

Mimi nitaendelea kukuelimisha bila kuchoka Sheikh Hafif because huko madrassa hawafundishi to read
between the lines ndiyo maana umekurupuka kunijibu.

Nilichosema ni kwamba the similarities between Lyatonga Mrema and Maalimu Seif ni kwamba waliwahi/wamepewa
vyeo ambavyo havimo kwenye katiba ya JMT. Mrema aliwahi kupewa cheo cha NAIBU WAZIRI MKUU wa serikali ya JMT
(DEPUTY PRIME MINISTER) bahati nzuri sifahamu kiarabu otherwise ninge translate pia kwa kiarabu.

Maalimu Seif Shariff Hamad amepewa cheo cha Makamu wa kwanza wa SMZ (FIRST VICE PRESIDENT)

Hivyo vyeo vyote viwili deputy PM and First VP of SMZ havitambuluwi na katiba ya JMT. It is null and void.

Kama unabisha hilo I like this statement you're delusion and disconnect with the outside world (read Tanzania).
 
Nimekusoma mwana JF, sasa CUF bado ni upinzani au part and parcel ya vyama twawala. Hivi sasa, kweli wataendea na harakati za muafaka au kula utamu. Hapa sio kwamba upinzani unadhoofika?:A S 13:

Tunaamini kuwa kama UKISHINDWA KUPAMBANA NAE BASI JIUNGE NAE ILI NAWE YAKO YAPITE.

Sasa hiyo ndio kilichofanyike Zanzibar kwa ajili ya kulinda amani ya nchi na usalama wa nchi. Sasa mageuzi ya kweli yatakuja.

Tembelea Zenji uone.
 
Obama was one term senator but he's doing a tremendous job, kikwete has been in public life with a lot of ministerial posts now he is bringing the country into misery. What counts is results not time taken to execute your duty.
 
Back
Top Bottom