CHADEMA (Dr Slaa) afuate nyayo za CUF (Maalim Seif)

Tuache uzandiki na kuficha ukweli. Maalim Seif amewahi kushika wa chief minister kule Zanzibar, cheo ambacho kipo black and white na kinatambulika na katiba ya nchi ya ZNZ na SMZ na pia SMT.

Kama ufahamu ni bora kuuliza kuliko kukurupuka sababu ya kutaka kumbeba Slaa. Dr Slaa ni maarufu sana katika Vigango na parokia zote za kikatiliki hapa Tanzania na si vinginevyo.

Pole sana
Wewe ndo unakurupuka soma vizuri ile post,jamaa ametoa simirality na ni ukweli Seif kazuzuka kapewa cheo ambacho kwenye katiba hakipo,hiyo yote ni kutokana na uchu wake wa madaraka! SLAA ni zaidi sana ya SEIF
 
Mtu maarufu katika kikundi cha watu 10 si lazima awe maarufu katika kundi la watu 1,000,000. Inawezekana ni kweli Maalim Seif ni maarufu sana huko Zanzibar lakini si chochote katika Tanganyika na wala agenda zake hazijawahi kuwa na nguvu na hazitakuwa kamwe. Siasa za Zanzibar zilizompa umaarufu Maalim Seif kule visiwani zikiletwa huku zinaonekana ni porojo za vijiweni.

Siasa za Zanzibar na Tanganyika ni tofauti sana ndiyo maana CUF kwa kutaka kutumia siasa za Zanzibar huku Tanganyika haijawahi kushika hata halmashauri moja. Mtumbwi unaweza kuwa ni kitu muhimu sana Pemba lakini ni gogo la kuwashia moto Mbeya.

kaka umemaliza yooooote! hongera sana
 
Agenda kubwa ya Dr.Slaa ni kuweka Kanisa kutawala nchi. Anataka Chadema iingie madarakani ili alete Ukatoliki wake hapa Dar. Unafikiri ataweza kupata nchi? No way. Kama anataka kuona nchi inaingia ktk vita vya wenyewe, mwachie aendelee na maandamano yake. Waislamu hawatokubali kumuona Padre Dr. Slaa anakuwa Rais.
 
Mtasema mengi sana lakini sikio haliwezi hata kidogo kuzidi kichwa.

CUF ni wakongwe na wakomavu katika siasa za nchi hii sio Chadema. Kwani ili kuweza kujikita na japo kufikia hata nusu ya CUF katika kura za uchaguzi wa rais na Wabunge katika Tanganyika, Chadema lazima wapate uzoefu wa CUF kinyume chake ni propaganda tu na kuleta machafuko.

wakongwe wa kumiliki watu laki 2 unalinganisha na mtu anayeweza kushawishi watu zaidi ya milioni 20?? Unaumwa ndugu yangu-think!!!???
 
Agenda kubwa ya Dr.Slaa ni kuweka Kanisa kutawala nchi. Anataka Chadema iingie madarakani ili alete Ukatoliki wake hapa Dar. Unafikiri ataweza kupata nchi? No way. Kama anataka kuona nchi inaingia ktk vita vya wenyewe, mwachie aendelee na maandamano yake. Waislamu hawatokubali kumuona Padre Dr. Slaa anakuwa Rais.

sera za maji taka-pole sana kwa umbumbumbu huu!!! Sisi tunathamini U-tanzania wetu, wala si udini na ukabila wetu.
 
sera za maji taka-pole sana kwa umbumbumbu huu!!! Sisi tunathamini U-tanzania wetu, wala si udini na ukabila wetu.

Udini? Ukabila? Muulize Padre Slaa kwa nini chama cha Chadema ni cha kidini na kikabila.
 
Oooo! maalim, Oooo mwarabu,.....Oooooh! Marabu
mkuu wa wilaya zenji ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa huku bara
maana huko visiwani kila baada ya nyumba kumi pana mwakilishi
 
All in all Chadema mna mengi sana ya kujifunza kutokana na CUF lakini changamoto kubwa kwenu kwa sasa ni kukifanya Chama chenu kiwe na sura ya kitaifa na si kikanda na kidini.
 
All in all Chadema mna mengi sana ya kujifunza kutokana na CUF lakini changamoto kubwa kwenu kwa sasa ni kukifanya Chama chenu kiwe na sura ya kitaifa na si kikanda na kidini.

kumbe ni mtaalamu wa kunakili mawazo ya wenziyo siyo?
 
Angalia watu wa kuiga bana sio Chama cha Ufinyanzi na Fumigation (CUF)

View attachment 24322

Hahah,huyu mtu ametumwa na yupo kwenye payroll ya mafisadi.

Mfano wa kuigwa hauwezi ukawa Maalim Seif hata siku moja,mtu aliyesaliti watu wake na kubakia kusimamia mambo yasiyo ya msingi eti mazingira,mihadarati..Seif is tooo cheap to compare with Slah
 
wakongwe wa kumiliki watu laki 2 unalinganisha na mtu anayeweza kushawishi watu zaidi ya milioni 20?? Unaumwa ndugu yangu-think!!!???

Msingi sio kushawishi watu wengi bali mtaji ni kuwa na wabunge wengi na kukamata Dola kupitia chombo cha kutunga sheria. ndio maana nasisitiza wafute nyayo za CUF ili waweze kuvuka kuondokana na mawazo kama yako hapo juu.
 
Hahah,huyu mtu ametumwa na yupo kwenye payroll ya mafisadi.

Mfano wa kuigwa hauwezi ukawa Maalim Seif hata siku moja,mtu aliyesaliti watu wake na kubakia kusimamia mambo yasiyo ya msingi eti mazingira,mihadarati..Seif is tooo cheap to compare with Slah

Mbona usema kuwa hata Padre Slaa ameisaliti Kiapo chake cha kipadre na kupata demu.

Tuache hayo. msingi mkubwa ni kuangalia CUF ilifanyaje kufika hapo ilipofikia na kuleta mabadiliko makubwa sana ya kisias na kikatiba Zanzibar.

nao Chadema wajifunze hilo na sio kutaka kuleta machafuko nchini
 
Anauliza thamani ya zedane na lunyamila
we wa wapi wewe kumfananisha dr slaa na maalim seif ni sawa na kumfananisha mrisho ngasa na messi sasa wapi na wapi wewe jiheshimu na acha chuki binafsi wewe
"kama wewe sio mdini basi ni fisadi"
 
Anauliza thamani ya zedane na lunyamila

Kumbuka msingi mkuu na lengo kuu la Chadema ni kuongoza nchi kupitia masanduku ya kura.

sasa kulifikia hilo lazima wajifunze na kupata darsa zito kutoka kwa CUF ambao wapo ndani ya Serikali ya SMZ kwani hio ni hatua kubwa sana katika kuleta mabadiliko nchini bila kumwaga damu.
 
Unamsemea huyu Seif wa sasa ama yule tuliekuwa tukimdhania enzi zile. Halafu huku hatutaki kiini macho cha muafaka, maana sera za kijambazi zitaendelea kutuburuza. Tunataka MABADILIKO KABISAAA. Think BIG as JF insist.
 
All in all Chadema mna mengi sana ya kujifunza kutokana na CUF lakini changamoto kubwa kwenu kwa sasa ni kukifanya Chama chenu kiwe na sura ya kitaifa na si kikanda na kidini.

Naomba unipe statistics za wanachama wa CUF huku bara wangapi ni waislamu na wangapi ni wakristo na maeneo wanyotoka, utuhakikishie kuwa hiki ni chama chenye 'fair representation' ya makabila yote, na dini zote. CUF ndicho Chama cha Udini na Fujo tz
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom