CHADEMA (Dr Slaa) afuate nyayo za CUF (Maalim Seif)

Huyu jamaa HM Hafif,

Kaanzisha thread yeye mwenyewe, ila naona anaijambia na kuipaka kinyesi!.

Nimemwelewa nini lengo lake.

Wadau usiku mwema jameni!
 
Huyu jamaa HM Hafif,

Kaanzisha thread yeye mwenyewe, ila naona anaijambia na kuipaka kinyesi!.

HM Hafif kama asemavyo Sekulu hapa. Umechokoza nyuki, wameekuuma, wamekutoga msumari ulikuwa uvumile lakini sasa mumeipeleka mada kwenye "udini" mambo ya dini. Mumeshaitoa ladha.

Sasa endeleeni wenyewe na malumbano, kwani sio mjadala tena.

All the best, kwenu CHADEMA na CUF.
 
Hivi maalimu alishawahili kugombea urais wa Muungano? Je, kwa cheo hiki wanalingana na Maalimu?
 
Dr Padre Slaa ni maarufu sana kwani pamoja na kuwa padre vile vile aliwahi kuwa katibu wa baraza la maaskofu Tanzania (TEC). sasa vigango vyote wanamfahamu na ni maarufu sana kanisani RC

Je tutakosea tukisema MAALIM SHEIKH seif hamad ni maarufu MISIKITI yote visiwani na pwani?? CHAFU nyie!!??
 
hata kikwete alikuwa na mivyei kibao kabla ya 2005 sasa ametufanyia nini?
Nyerere alikuwa na hayo mavyeo ya Maalim 1961?
Huyo lipumba ni cheo gani cha siasa zaidi ya ugombea urais wa maisha alichowahi kushika.
Mivyeo haina maana kama hamna uzalendo.

Mwambie JK aende pale IMAN ya kiislam redio aongee kiarabu kwa waislam nini cha kufanya.

Mtu maarufu katika kikundi cha watu 10 si lazima awe maarufu katika kundi la watu 1,000,000. Inawezekana ni kweli Maalim Seif ni maarufu sana huko Zanzibar lakini si chochote katika Tanganyika na wala agenda zake hazijawahi kuwa na nguvu na hazitakuwa kamwe. Siasa za Zanzibar zilizompa umaarufu Maalim Seif kule visiwani zikiletwa huku zinaonekana ni porojo za vijiweni.

Siasa za Zanzibar na Tanganyika ni tofauti sana ndiyo maana CUF kwa kutaka kutumia siasa za Zanzibar huku Tanganyika haijawahi kushika hata halmashauri moja. Mtumbwi unaweza kuwa ni kitu muhimu sana Pemba lakini ni gogo la kuwashia moto Mbeya.
 
Ahali wangu Hafif.

Nakubaliana na wewe kabisa kuwa CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa cChama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.

Hiyo ni changamoto kwa Chadema.

Nimekukubali kwa hilo.
 
Ahali yangu.

Siasa za tanzania na Zanzibar ni sawa kwani zote ni mazalio ya ukoloni. Kumbuka wakati wa Ukoloni wa Mwingwreza alitumia divide and rule katika kutawala East Africa. Kule Kenya na Uganda alitumia Ukabila na hiyo mpaka sasa inawasibu sana. Ukabila unatawala.

Tanganyika kwa ajili ya wing wa Makabila alitumia kigezo cha UDINi kitu ambacho kwa mujibu wa Historia ni lazima kitawasibu. Wakati kule Zanzibar alitumia Uarabu na uafrika (Shirazi na Hizbu) navyo inawasibu mpaka leo.

Hakutakuwa na Siri kwa mjuzi yeyote wa hisroria kusema kuwa Tanganyika kuna UDINI ingawa mnajaribu sana kuuficha lakini Historia itawahukumu.

Kwa msingi huo Tanganyika ni Simba na Yanga lazima mmoja ashinde tu.

maa salaam

Unataka mh.apotee kisiasa kama watu hao ee! Pole hawezi kupotea kisiasa ivo,sawa?
 
Mtasema mengi sana lakini sikio haliwezi hata kidogo kuzidi kichwa.

CUF ni wakongwe na wakomavu katika siasa za nchi hii sio Chadema. Kwani ili kuweza kujikita na japo kufikia hata nusu ya CUF katika kura za uchaguzi wa rais na Wabunge katika Tanganyika, Chadema lazima wapate uzoefu wa CUF kinyume chake ni propaganda tu na kuletea machafuko.
Nafikiri kuitwa greater thinkers ni heshima sana katika jamii yetu, wote tunaochangia humu ndani inaonyesha kuna poor thinkers kama huyo mwenye maneno mekundu hapo juu, moderator kwa nini usimfute huyo mtu asiye na haya hata kidogo, kijana wa leo ambaye umeenda shule na unajua kuchambua mambo unalinganisha slaa (CHADEMA) na group la wahuni na wadini kama CUF, chama ambacho hakina hata sura ya kitaifa wapiga kura wote wa Zanzibar ni wachache kuliko wapiga kura wa jimbo moja tu bora la John Mnyika la ubungo, kwa mantiki hiyo John mnyika anastahili hata kuwa rais wa zanzibar yote ,
Kama CUf ni chama cha kitaifa mwambieni lipumba aombe ubunge popote hata kwao Ilola ngulu tuone kama atapata , slaa anauwezo wa kuwa mbunge hata pemba akiomba
tujadili mambo ya msingi kulko kuleta Umrema au umakamba hapa , watu ck hizi wanaelewa kama unabisha angalia mikutanao ya pinda ilivyosuswa na wakazi wa Bukoba
 
Kwa analogy ya kwako Lyatonga Mrema ni zaidi ya Maalimu Seif na Lipumba coz Mrema alishawahi kuwa Naibu Waziri Mkuu wa serikali ya JMT read again JMT wakati Maalimu Seif aliwahi kuwa waziri kiongozi wa SMZ read SMZ mkoa wa Tanganyika.

But the similarity ya Mrema na Maalim ni kwamba Mrema alipewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba ya JMT na pia Maalimu Seif amepewa Makamu wa kwanza wa Rais wa SMZ cheo ambacho pia hakitambuliwa kwenye katiba ya JMT.

No wonder Dr. Shein akisafiri anayekaimu Urais wa SMZ ni Makamu wa pili wa SMZ Balozi Seif Idd. Maalim Seif amebaki kutembea na mikasi mifukoni kwaajili ya kufungua/kufunga makongamano na koleo kwenye gari kwaajili ya kupanda miti.

Sasa kweli unataka CDM waige mifano hiyo. BTW, wanaume zenu CCM, mwaka 2000 waliwahi kuwaita CUF = Chama cha Udini na Fujo! Lakini CCM kwa kupenda mipododo imebidi awaoeni 2010 mtakomaje!!
 
Mtu maarufu katika kikundi cha watu 10 si lazima awe maarufu katika kundi la watu 1,000,000. Inawezekana ni kweli Maalim Seif ni maarufu sana huko Zanzibar lakini si chochote katika Tanganyika na wala agenda zake hazijawahi kuwa na nguvu na hazitakuwa kamwe. Siasa za Zanzibar zilizompa umaarufu Maalim Seif kule visiwani zikiletwa huku zinaonekana ni porojo za vijiweni.

Siasa za Zanzibar na Tanganyika ni tofauti sana ndiyo maana CUF kwa kutaka kutumia siasa za Zanzibar huku Tanganyika haijawahi kushika hata halmashauri moja. Mtumbwi unaweza kuwa ni kitu muhimu sana Pemba lakini ni gogo la kuwashia moto Mbeya.

Kaka umenena , wewe ni mpiganaji:decision:
 
Nafikiri kuitwa greater thinkers ni heshima sana katika jamii yetu, wote tunaochangia humu ndani inaonyesha kuna poor thinkers kama huyo mwenye maneno mekundu hapo juu, moderator kwa nini usimfute huyo mtu asiye na haya hata kidogo, kijana wa leo ambaye umeenda shule na unajua kuchambua mambo unalinganisha slaa (CHADEMA) na group la wahuni na wadini kama CUF, chama ambacho hakina hata sura ya kitaifa wapiga kura wote wa Zanzibar ni wachache kuliko wapiga kura wa jimbo moja tu bora la John Mnyika la ubungo, kwa mantiki hiyo John mnyika anastahili hata kuwa rais wa zanzibar yote ,
Kama CUf ni chama cha kitaifa mwambieni lipumba aombe ubunge popote hata kwao Ilola ngulu tuone kama atapata , slaa anauwezo wa kuwa mbunge hata pemba akiomba
tujadili mambo ya msingi kulko kuleta Umrema au umakamba hapa , watu ck hizi wanaelewa kama unabisha angalia mikutanao ya pinda ilivyosuswa na wakazi wa Bukoba

Nakushukuru mkuu lakini mie si wa ku copy na ku pest kama wananchama wa Chadema. wanafanya na kusema wasiyoyajua.

Pole sana
 
Kwa analogy ya kwako Lyatonga Mrema ni zaidi ya Maalimu Seif na Lipumba coz Mrema alishawahi kuwa Naibu Waziri Mkuu wa serikali ya JMT read again JMT wakati Maalimu Seif aliwahi kuwa waziri kiongozi wa SMZ read SMZ mkoa wa Tanganyika.

But the similarity ya Mrema na Maalim ni kwamba Mrema alipewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba ya JMT na pia Maalimu Seif amepewa Makamu wa kwanza wa Rais wa SMZ cheo ambacho pia hakitambuliwa kwenye katiba ya JMT.

No wonder Dr. Shein akisafiri anayekaimu Urais wa SMZ ni Makamu wa pili wa SMZ Balozi Seif Idd. Maalim Seif amebaki kutembea na mikasi mifukoni kwaajili ya kufungua/kufunga makongamano na koleo kwenye gari kwaajili ya kupanda miti.

Sasa kweli unataka CDM waige mifano hiyo. BTW, wanaume zenu CCM, mwaka 2000 waliwahi kuwaita CUF = Chama cha Udini na Fujo! Lakini CCM kwa kupenda mipododo imebidi awaoeni 2010 mtakomaje!!

Tuache uzandiki na kuficha ukweli. Maalim Seif amewahi kushika wa chief minister kule Zanzibar, cheo ambacho kipo black and white na kinatambulika na katiba ya nchi ya ZNZ na SMZ na pia SMT.

Kama ufahamu ni bora kuuliza kuliko kukurupuka sababu ya kutaka kumbeba Slaa. Dr Slaa ni maarufu sana katika Vigango na parokia zote za kikatiliki hapa Tanzania na si vinginevyo.

Pole sana
 
Ahali wangu Hafif.

Nakubaliana na wewe kabisa kuwa CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa cChama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.

Hiyo ni changamoto kwa Chadema.

Nimekukubali kwa hilo.

haya maneno ni kuntu ingawa chadema hawayakubali lakini Dr hapa umena. Changamoto kubwa kwa Chadema ni kukifanya chama chao kiwe cha kitaifa na si kikanda na kidini.

kazi kwenu
 
Nakubaliana nawe kwa asilimia 100. Maalim Seif ni Zaidi na hilo nimeliweka bayana. Kwani ukiondoa PhD ya sheria za kikatoliki na Kuongoza kigango na jimbo la katoliki na ubunge ni wadhifa gani aliowahi kushika Dr Padre Slaa.

Sasa mfananishe na maalim Seif. Sasa ni lazima akajifunze kwake ajue kuwa katika harakati hizi kuna kuwekwa ndani, kufungwa na mengi mengine ambayo Seif ameyapitia mpaka kuleta muafaka wa kweli Zanzibar. Au wewe unafikiri Rome watakutetea ukiekwa ndani. wao watakupa pesa lakini ndini ni wewe tu wao hawamo.
wewe ni mdini na mbumbumbu uliyetekwa na propaganda za ccm zisizo na mashiko na hii ni ofcourse km huna maslahi ya kifisadi na ccm.
 
[/B]

Ahali yangu.

Siasa za tanzania na Zanzibar ni sawa kwani zote ni mazalio ya ukoloni. Kumbuka wakati wa Ukoloni wa Mwingwreza alitumia divide and rule katika kutawala East Africa. Kule Kenya na Uganda alitumia Ukabila na hiyo mpaka sasa inawasibu sana. Ukabila unatawala.

Tanganyika kwa ajili ya wing wa Makabila alitumia kigezo cha UDINi kitu ambacho kwa mujibu wa Historia ni lazima kitawasibu. Wakati kule Zanzibar alitumia Uarabu na uafrika (Shirazi na Hizbu) navyo inawasibu mpaka leo.

Hakutakuwa na Siri kwa mjuzi yeyote wa hisroria kusema kuwa Tanganyika kuna UDINI ingawa mnajaribu sana kuuficha lakini Historia itawahukumu.

Kwa msingi huo Tanganyika ni Simba na Yanga lazima mmoja ashinde tu.

maa salaam

hapa Dr Barubaru umemaliza kabisaaaaaaaa kwa kutoa reference zako. Huna wa kupinga hilo. Tunaomba tu Mungu atunusuru na huo udini kwani tayari Mto wa mbu yameshatokea.

Ahsante Dr
 
wewe ni mdini na mbumbumbu uliyetekwa na propaganda za ccm zisizo na mashiko na hii ni ofcourse km huna maslahi ya kifisadi na ccm.

Vipi Chadema ni chama cha kitaifa au kikanda?

Usilale wewe amka na ujue hilo
 
Ni ukweli usiopingika kabisa kuwa CUF ni chama kikongwe cha siasa kilichopitia misukosuko mingi sana ikiwa pamoja na viongozi wake waandamizi kuwekwa ndani kwa takriban zaidi ya miaka miwili kwa kusa la kutaka kupindua nchi.

Vile vile ni chama kilichotia tashtiti nyingi sana na hata pamoja na uchakachuaji wa kura walieza kufikisha zaidi ya asilimia 48 ya kura za urais Zanzibar.

Katibu wake mkuu Maalif Seif Sharif hamad ni mtu aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa waziri kiongozi na amepata misukosuko mingi sana na mtu mwenye kauli kubwa.

Kwa hakika napenda kumsifu kwani Kwa yeyote anayeijua na kumjua maalim Seif especially wakati wa uchaguzi utajua kauli yake ni muhimu sana katika mustakabali wa Taifa la zanzibar. mara zote aliweka maslahi ya taifa mbele japo walikuwa wanaporwa ushindi wao.

Ushauri wangu kwa Chadema ingekuwa Busara zaidi Dr Slaa akapata au kufuata nyayo za maalim Seif hususan anapoingia kwenye maslahi ya Taifa.

Inaeleweka wazi kuwa hajawa maarufu kama maalim Seif lakini ni vizuri kupata Uzoefu kutoka kwa maalim ambaye amepitia misukosuko mingi au Chadema nzima kama ingekuwa wasikivu wangefuata nyayo za CUF katika kutaka kuleta muafaka halisi wa nchi hii ya tanzania na sio kuleta mifarakano na uchochezi jambo linaloweza kuleta machafuko na umwagaji damu.

Chadema fuateni nyayo za CUF katika kuleta yale mema mnayoyataka wananchi wa tanganyika wayapate.

Nawasilisha.

Ndugu ningependa ifahamike wazi kuwa lengo kuu la cdm huku
kwetu bara ni tofauti na huko visiwani kwani imeshadhihirika ya kwamba nia na dhumuni ya cuf ilikua madaraka...Huku bara watu hatuna uvyama tunataka sera mbadala zenye tija zitakazotuletea maendeleo hatuna shida na muafaka wala serikali ya mseto...
NA IFAHAMIKE HIVYO!
 
hivi mtu anayechaguliwa na watu 50,000 anaweza kuwa maarufu kuzidi anyechaguliwa na watu million 2.6? me naona mnyika aliyechaguliwa na watu 66,000 angekuwa zanzibar basi angekuwa rais coz amepata kura nyingi kuzidi hao vibaraka wenu wa ccm. na jimbo la ubungo ni zaidi ya zanzibar yote. go to hell with ur advice pumbaaaaaaaaaaaaa tupuuuuuuuuuuuu
 
Ni ukweli usiopingika kabisa kuwa CUF ni chama kikongwe cha siasa kilichopitia misukosuko mingi sana ikiwa pamoja na viongozi wake waandamizi kuwekwa ndani kwa takriban zaidi ya miaka miwili kwa kusa la kutaka kupindua nchi.

Vile vile ni chama kilichotia tashtiti nyingi sana na hata pamoja na uchakachuaji wa kura walieza kufikisha zaidi ya asilimia 48 ya kura za urais Zanzibar.

Katibu wake mkuu Maalif Seif Sharif hamad ni mtu aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa waziri kiongozi na amepata misukosuko mingi sana na mtu mwenye kauli kubwa.

Kwa hakika napenda kumsifu kwani Kwa yeyote anayeijua na kumjua maalim Seif especially wakati wa uchaguzi utajua kauli yake ni muhimu sana katika mustakabali wa Taifa la zanzibar. mara zote aliweka maslahi ya taifa mbele japo walikuwa wanaporwa ushindi wao.

Ushauri wangu kwa Chadema ingekuwa Busara zaidi Dr Slaa akapata au kufuata nyayo za maalim Seif hususan anapoingia kwenye maslahi ya Taifa.

Inaeleweka wazi kuwa hajawa maarufu kama maalim Seif lakini ni vizuri kupata Uzoefu kutoka kwa maalim ambaye amepitia misukosuko mingi au Chadema nzima kama ingekuwa wasikivu wangefuata nyayo za CUF katika kutaka kuleta muafaka halisi wa nchi hii ya tanzania na sio kuleta mifarakano na uchochezi jambo linaloweza kuleta machafuko na umwagaji damu.

Chadema fuateni nyayo za CUF katika kuleta yale mema mnayoyataka wananchi wa tanganyika wayapate.

Nawasilisha.

hayo maslahi ya taifa ambayo Seif aliyazingatia ni yapi? kwani maslahi ya taifa hayawezi kuzingatiwa ukiwa opposition mpaka ujinunge na chama tawala? ni uchu wake wa maslahi ndo ulimfanya ajiunge na ccm coz alijua kabisa hataweza kushinda kule zenji! SLAA ni almaarufu sana zaidi ya SEIF
 
Back
Top Bottom