CDM kumshawishi Babu wa Loliondo Kugombea Arusha

Chiume

Member
Apr 8, 2012
48
18
Habari toka ndani ya chungu ni kuwa kuna mpango unaendela kupikwa kumshawishi Mchungaji Mwasapila... Babu wa kikombe agombee ubunge Arusha Mjini kwa tiketi ya CDM ili kujibu mapigo ya Magamba kumshawishi Mwakasege...

Imekaaje hii wakubwa???
 
Hili jukwaa saa nyingine linaingiliwa na wendawazimu kisa eti nao wamepewa uhuru wa kuwasilisha hisia zao, tuna kazi kubwa sana kuitwa great thinkers kwa mwendo huu
 
Habari toka ndani ya chungu ni kuwa kuna mpango unaendela kupikwa kumshawishi Mchungaji Mwasapila... Babu wa kikombe agombee ubunge Arusha Mjini kwa tiketi ya CDM ili kujibu mapigo ya Magamba kumshawishi Mwakasege...

Imekaaje hii wakubwa???
Rwakibarila mkubwa wewe!...
 
Habari toka ndani ya chungu ni kuwa kuna mpango unaendela kupikwa kumshawishi Mchungaji Mwasapila... Babu wa kikombe agombee ubunge Arusha Mjini kwa tiketi ya CDM ili kujibu mapigo ya Magamba kumshawishi Mwakasege...

Imekaaje hii wakubwa???
Mkuu Chiume, naona hii ni post yako ya kwanza tangu ujiunge na jf, karibu sana. Tunakusihi utuletee chanzo cha habari hii, la si hivyo tutakuchukulia kuwa wewe ni mzushi na mpenda sifa za kipumbavu!
 
mwanaizaya ni mwanaizaya tu hata ukimuweka kwenye chupa atainama.....
 
Habari toka ndani ya chungu ni kuwa kuna mpango unaendela kupikwa kumshawishi Mchungaji Mwasapila... Babu wa kikombe agombee ubunge Arusha Mjini kwa tiketi ya CDM ili kujibu mapigo ya Magamba kumshawishi Mwakasege...

Imekaaje hii wakubwa???

Mods ipelekeni kwenye jukwaa la UTANI, Unaanza vibaya humu jamvini
 
Habari toka ndani ya chungu ni kuwa kuna mpango unaendela kupikwa kumshawishi Mchungaji Mwasapila... Babu wa kikombe agombee ubunge Arusha Mjini kwa tiketi ya CDM ili kujibu mapigo ya Magamba kumshawishi Mwakasege...

Imekaaje hii wakubwa???

Sintoshangaa, Magwanda kwa sasa wanahaha, wanaweza kuparamia chochote.
 
Habari toka ndani ya chungu ni kuwa kuna mpango unaendela kupikwa kumshawishi Mchungaji Mwasapila... Babu wa kikombe agombee ubunge Arusha Mjini kwa tiketi ya CDM ili kujibu mapigo ya Magamba kumshawishi Mwakasege...

Imekaaje hii wakubwa???
Imekaa kidwanzidwanzi kama ulivyomwenyewe
1 Imekuonesha ulivyomjiinga na
2 Hujitambui
3. Nenda FB wapo dizain yako
4. People huko serious
 
kweli hii chit chat. ingekua kweli si ungepeleka siasa?
CDM hawawezi kujifanyia ubaya kiasi hicho, that's suicidal bwana.
 
Back
Top Bottom