CD za ngono ni dhambi kwenye ndoa?

Huu ushauri unaotolewa ni kweli una-reflect reality?? mbona mimi naona watu wengi sana huwa wana hizo CD???
 
Huu ushauri unaotolewa ni kweli una-reflect reality?? mbona mimi naona watu wengi sana huwa wana hizo CD???

ushauri upi unaozungumzia wewe, maana hapa kuna positive (support), na negative (oppose),
wewe unawaona watu wengi wakiwa nazo wapi? wewe kwa mtazamo wako ni vipi, zinafaa au hazifai
 
ushauri upi unaozungumzia wewe, maana hapa kuna positive (support), na negative (oppose),
wewe unawaona watu wengi wakiwa nazo wapi? wewe kwa mtazamo wako ni vipi, zinafaa au hazifai

Mimi sioni kama kuna tazizo lolote na si dhambi kwenye ndoa!!!
 
Mimi ni james sio dhambi ila hazina maadili mazuri kwa wanandoa maana upnde wa pili ama mke au mme anaweza a kaona kwenye cd yule mtu anaridhishwa sana kimapenzi na yeye haridhishi hivyo kuamua kutoka nje ya ndoa. Mimi ninamfano wa mke wa rafiki yangu alikuwa ni mwaminifu san katika ndoa yake lakini baada ya kuangalia Cd za ngono akaanzq kutoka nje baada ya kugundua kuwa kumbe mmewe si lolote goli moja tu hoi, wakati kwenye Cd mpaka magoli sita
 
Sio dili sana kwani kwa upande wa wanawake huanza kuwadharau waume zao baada ya kuona kuwa kwenye CD wale watu wanaweka maonjo tofauti kabisa na waume zao
 
Kwa kuchukulia kwa dini ya kiislamu ni haramu kuangalia CD za ngono ikiwa kwenye ndoa au
sio kwenye ndoa,ni bora kuepukana nazo maadam ni dhambi.
 
kaharibu cd hizo baada ya kugundua kuwa mlikuwa mwafanya makosa na kaona kuendelea kufanya hivyo ni kumkosea Mungu.
 
...kwanza nyingi zimejaa mapenzi ya tigo.....tusiige wazungu kwa kila kitu...
...wewe dumbayeye mwanzoni mlipooana miaka 10 iliyopita mlikuwa mnaangalia cd za ngono?

Mkuu unasahau kuwa mapenzi ni sanaa sasa wakiacha ufundi huo wa kufanya mazoezi unafikiri ndoa itadumu hiyo? Ndo mwanzo wa nyumba ndogo na viserengeti boys.
 
nimeona kwenye wikipedia article inayozungumzia sex for pleasure, inaweza ikawa inakinzana na wazo lako nililolihighlight hapo juu. naquote
'It is a common myth that animals do not (as a rule) have sex for pleasure, or alternatively that humans, pigs (and perhaps cats, dolphins and one or two species of primate) are the only species which do. This is sometimes formulated "animals mate only for reproduction".

kumbe basi humans and pigs huwa wanafanya mapenzi kwa kujiburudisha ikiwa ni pamoja na reproduction
Yaani una maana sexual behaviour yetu wana wa Adam na minguruwe ni sawa,du,mdau umepiga ikulu!
 
Ni kweli hakuna umuhimu wa CD za ngono kwenye ndoa?sasa nani aziangalie maana watoto hawaruhusiwi,ni bora kumzuia mtu kuangalia na akaangalie kisirisiri au kumpa uhuru achague mwenyewe,nielimisheni.
 
Ni kweli hakuna umuhimu wa CD za ngono kwenye ndoa?sasa nani aziangalie maana watoto hawaruhusiwi,ni bora kumzuia mtu kuangalia na akaangalie kisirisiri au kumpa uhuru achague mwenyewe,nielimisheni.

...madhara ni madhara tu mkuu,

...pombe na sigara watoto hawaruhusiwi, haina maana watu wazima wameruhusiwa kujifukiza sigereti au kupiga mtungi wa kufa mtu!
 
ushauri upi unaozungumzia wewe, maana hapa kuna positive (support), na negative (oppose),
wewe unawaona watu wengi wakiwa nazo wapi? wewe kwa mtazamo wako ni vipi, zinafaa au hazifai
well being honest mimi sizipendi hizi cd za ngono kwa kweli kwasababu moja ninao mfano hai ambapo baadhi ya rafiki zangu wapo ambao hawawezi kufanya tendo hilo bila kuangalia hizo cd wakati ni vijana wa umri mdogo haya nambie wakifika umri wa hormones kwenda kwao itakuwaje? ila kuna zingine za mafunzo jinsi ya kuhakikisha mwenzio anaridhika e.g Kamasutra..... so kama ukiangalia kwasababu ya kujifunza ili umridhishe mwenzio sioni tatizo lake lakini sio kuangalia ili upate hamu au ujifurahishe kwakweli inaharibu..
 
Hapa umenena! Cd za ngono zinaleta uhanithi baadaye. Ni sawa na kutumia mkuyati wakati bado uko fit. Waache hiyo kitu!
 
to my side i think what people watch and what they do after getting married is none of peoples concern, but the one who watch porn before getting married i think that's what's bad cause it stimulates you to do things which are beyond your reach and that is what is a sin. But for couples i think its oky for them to whtch such stuff since they are already married and plan a lifetime together.
 
Mmm,hii kali.Wewe una mke,sasa CD za ngono za nini tena?Kusema kweli mkeo ana haki kabisa ya kuzisagasaga.Amegundua ukweli wa CD hizo!Nikuambie ndugu yangu,CD ya kweli ni mke wako tu.Achana na upumbavu huo mwingine.Pia nakushauri kama uko katika imani yeyote ya Kiislam au Kikristo muone Sheikh au Mchungaji akusaidia,unakokwenda na uliko siko.

Jamani nipo kwenye ndoa zaidi ya miaka 10, nilikuwa na package ya cd mbali za ngono na tulikuwa tunafurahia na mywife. Jana nimezikuta zimesagwasagwa...eti zinanichochea niwe na wanawake wengi, je wakuu sijapokonywa haki yangu?
 
Sidhani kama hiyo ni tabia nzuri acha kabisa mi ningekushauri uende kwa watoa ushauri wakupe cancelling utakuwa na matatizo.

kuna ubaya gani zikiangaliwa na wanandoa afu wakatafuta kitu ambacho labda walikuwa hawakijui na wakakiona ni interesting kwa wao na kitawafaa?
sio kila wakati mnaweza kubuni ufundi mpya wenyewe[ingawa ni nzuri mkibuni ya kwenu]lakini sioni vibaya kama picha hizo mtazitumia kwa hiyari ya nyie wote wawili na kama mkiamua kufanyia kazi kimoja ya mlivyoona kinafaa bila mmoja kumlazimisha mwenzake.
 
Mimi ni james sio dhambi ila hazina maadili mazuri kwa wanandoa maana upnde wa pili ama mke au mme anaweza a kaona kwenye cd yule mtu anaridhishwa sana kimapenzi na yeye haridhishi hivyo kuamua kutoka nje ya ndoa. Mimi ninamfano wa mke wa rafiki yangu alikuwa ni mwaminifu san katika ndoa yake lakini baada ya kuangalia Cd za ngono akaanzq kutoka nje baada ya kugundua kuwa kumbe mmewe si lolote goli moja tu hoi, wakati kwenye Cd mpaka magoli sita

Ndio side effect zake hizo. Huyu jamaa wako na yeye kilaza kweli anajijua maimuna kwenye game halafu anaenda kuchukua video za watu wanaopiga 50 minutes non-stop.
 
Kwakweli CD za Ngono ni Mbaya sana tena zinachochea ngono ya mara kwa mara, maana ya tendo la ndoa ni kwa ajili ajili ya reproduction na tunafanya makosa tukizani ni mchezo wa kujiburudisha! Ni sawasawa na kujisaidia tu. Huwezi kusema unafanya mazoezi ya kujisaidia! Unaweza!!!

Ni Mawazo tu.

Na kweli haya mawazo tu. Hapo nilipo-highlight kuna watu hawakuelewi kabisa unamaanisha nini kwani kwao hiyo reproduction ni by the way tu.
 
Back
Top Bottom