CCTV chumba cha housegirl

Huyo mama anapepo wa kuangalia picha za pilau. Kaangalia maigizo kachoka sasa anataka kuangalia za wabongo wenzie, hasa mumewe. Mwambie awe na moyo mgumu atakapoona live maana mavitu atakayopewa hg na mume wake hata wakiwa wapya hajawahi pewa.
 
Alaaniwe huyo mama,huyo mama na yeye tunamwita mpiga chabo,but yakwake imekaa kitechnology zaidi sio sawa na zile zetu za uswahilini za kusogeza paziala dirisha na chelewa,au kuchungulia kwenye tundu la kitasa.
 
Huyo mwanamke lazima atakuwa hana furaha maishani mwake. Coz this is way beyond the bounds of moderation.
 
Haya ma CCTV wizi mtupu. Labda wakishakufungia uangalie kwa umakini wakitoka ubadili maana hata mimi nimejikuta naachansubstance na kuangalia jinsi watu wasivyotunza siri za wateja. Ndo uashangaa umeweka CCTV lakini mpaka mtaa wa kumi wanajua in two days.
 
Sielewi kwa nini watu wanaajiri hao mahausi gerli. Sifagilii kabisa mimi kumtumikisha mtu kazi za nyumbani.

Mkuu wewe unajishughulisha na nini? Umeoa, na kama ndiyo wife anapiga mzigo au yuko home, una mtoto/watoto? Ukijibu haya maswali tutapata jibu la kwa nini hawa wanaajiriwa.
 
Mkuu wewe unajishughulisha na nini? Umeoa, na kama ndiyo wife anapiga mzigo au yuko home, una mtoto/watoto? Ukijibu haya maswali tutapata jibu la kwa nini hawa wanaajiriwa.

Mimi mtu wa dei waka tu. Sijaoa. Nina mtoto mmoja.
 
Kuna mfanyakazi mwenzangu kaweka hii mijitu kwenye chumba cha mtoto ili eti awe anaona jinsi HG anavyo-mtreat mtoto.

Maisha ya kumulikana ni soo.
 
Kuna mfanyakazi mwenzangu kaweka hii mijitu kwenye chumba cha mtoto ili eti awe anaona jinsi HG anavyo-mtreat mtoto.

Maisha ya kumulikana ni soo.

Naichukia sana hii tabia (au sijui niite mazoea) ya mtu kuwa na "house girl".
 
Mimi mtu wa dei waka tu. Sijaoa. Nina mtoto mmoja.

Possibly huyo mtoto anaishi na mama na zile adha za malezi hukuziinjoy, imagine ungekuwa unafanya kazi kwa ma-capitalist na wife pia hafu mna mtoto, ungeajiri HG au kati yenu mmoja angeacha kazi kwa ajili ya kubaki na mtoto home.

Hii kitu ni ngumu kukwepa kama nyote mnapiga mzigo unaowalazimu kutoka home, problem ni kwamba wanawake hawaaminiani kabisa. Ukitaka kuamini hii jaribu tu hata kumwomba namba ya rafiki yake, hapo ataanza kuhisi unataka kumzunguka! Sasa je kama mnakaa nyumba moja si ndio balaa? Naamini watu wengi wanaoishi haya maisha wanakutana na wakati mgumu sana juu ya mawivu ya wife kwa HG.
 
Possibly huyo mtoto ananishi na mama na zile adha za malezi hukuziinjoy, imagine ungekuwa unafanya kazi kwa ma-capitalist na wife pia hafu mna mtoto, ungeajiri HG au kati yenu mmoja angeacha kazi kwa ajili ya kubaki na mtoto home.

Hii kitu ni ngumu kukwepa kama nyote mnapiga mzigo unaowalazimu kutoka home, problem ni kwamba wanawake hawaaminiani kabisa. Ukitaka kuamini hii jaribu tu hata kumwomba namba ya rafiki yake, hapo ataanza kuhisi unataka kumzunguka! Sasa je kama mnakaa nyumba moja si ndio balaa? Naamini watu wengi wanaoishi haya maisha wanakutana na wakati mgumu sana juu ya mawivu ya wife kwa HG.

Only if you knew.
 
atalia ipo siku, maana ataona baba anakula, kijana wake wa kiume anakula, houseboy anamega, mwisho na binti yake anamegwa na houseboy humo humo! Na yeye anamegwa na mumewe. Kwa hiyo; If A=B and B=C then A=C. Therefore kama baba anammega housegirl, na kijana anammega house girl, na baba anammega mama= na kijana anammega mama
<br />
<br />
khe hizi hesabu ni kutoka mtaala gani?tujuzane mkuu
 
mi nahisi huyu mama anataka apate picha za huyu mwanadada hg hasa picha za akiwa naked wakati anavua au kuvaa nguo na huenda anataka azifanyie biashara. NI MAWAZO YNG TU!
 
Sorry that I don't know, seems like you have some bad experience related to this thing.

Nope. I don't have any bad experience whatsoever. I have never had a live-in maid before and I don't plan on having one in the future.
 
Nope. I don't have any bad experience whatsoever. I have never had a live-in maid before and I don't plan on having one in the future.

Cool, it will never come to you as to why people recruit these HGs. It's headache having them, but it's hard living without them especially in the lyf style I've just mentioned above. Believe me it's hard.
 
That I agree. To each his own.
 
Lakini huyo mama akisoma hapa si atajua kwamba wewe umeamua kuja kudodosa maamuzi yake kwenye mitandao ya kijamii? Na unafikiri kampuni yenu unaiweka kwenye nafasi gani? Sidhani kama umefanya vizuri.
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom