CCTV chumba cha housegirl

Mtu B

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
919
51
Imenishangaza sana hii. Kuna mama mmoja anamiliki mini-supermarket moja hapa A town alitupatia tenda ya kumwekea CCTV kwenye biashara yake. Watu wa installation walifanya kwenye angles walizochagua, sisi tulimwekea software kwenye computer yake ofisini ya kumwezesha kufanya monitoring, surveillance na reviews muda wowote anaotaka. Actually anaweza aka-copy footage za siku hiyo kwenye laptop na kwenda kuzi-review nyumbani kwa muda wake. Mama kaipenda sana, akatuita pembeni akasema anataka tukamfanyie huduma kama hiyo nyumbani kwake. Cha kushangaza, mojawapo ya sehemu alikotaka ifungwe CCTV camera ni chumba cha housegirl wake. Bedrooms zingine zote hajaweka, ni hiyo ya house girl tu. Hii imekaaje wadau.
 
.....labda ana Walakini/Wasiwasi Mumewe anamega House Girl wao.
Lakini na wewe, hio kampuni yenu haina Privacy??, hizo ni siri kati ya Mteja wenu na Kampuni, sidhani kama zinafaa kuweka hapa. Ni Mawazo tu, ni Mtizamo tu.
 
Ndiyo maana sijataja jina la kampuni wala jina la mteja, na mimi mwenyewe nina uhakika hunifahamu so you can't make any links apart from a series of clueless guessworks.
 
hii thread imekaa ki -IT zaidi,na mimi kwasababu mambo hayo ni kilaza kwa sana,....nasema in short_no comment,..yaani sijui kitu
 
atalia ipo siku, maana ataona baba anakula, kijana wake wa kiume anakula, houseboy anamega, mwisho na binti yake anamegwa na houseboy humo humo! Na yeye anamegwa na mumewe. Kwa hiyo; If A=B and B=C then A=C. Therefore kama baba anammega housegirl, na kijana anammega house girl, na baba anammega mama= na kijana anammega mama
 
Ndiyo maana sijataja jina la kampuni wala jina la mteja, na mimi mwenyewe nina uhakika hunifahamu so you can't make any links apart from a series of clueless guessworks.

Mie naitaka hii katika gari la jamaa yangu please!
 
Cha kushangaza, mojawapo ya sehemu alikotaka ifungwe CCTV camera ni chumba cha housegirl wake. Bedrooms zingine zote hajaweka, ni hiyo ya house girl tu. Hii imekaaje wadau.

Mungu atamuhukumu kwa roho yake..kama sio leo basi kesho...

Mapenzi yenu wawili na wivu visivuke mpaka hadi kumfanyia unyama binadamu mwenzako kwa sababu yeye ni masikini..
 
Imenishangaza sana hii. Kuna mama mmoja anamiliki mini-supermarket moja hapa A town alitupatia tenda ya kumwekea CCTV kwenye biashara yake. Watu wa installation walifanya kwenye angles walizochagua, sisi tulimwekea software kwenye computer yake ofisini ya kumwezesha kufanya monitoring, surveillance na reviews muda wowote anaotaka. Actually anaweza aka-copy footage za siku hiyo kwenye laptop na kwenda kuzi-review nyumbani kwa muda wake. Mama kaipenda sana, akatuita pembeni akasema anataka tukamfanyie huduma kama hiyo nyumbani kwake. Cha kushangaza, mojawapo ya sehemu alikotaka ifungwe CCTV camera ni chumba cha housegirl wake. Bedrooms zingine zote hajaweka, ni hiyo ya house girl tu. Hii imekaaje wadau.
<br />
<br />
Anawasiwasi, may be hamwamini house girl wake. Au anahsi mzee amagonga.
 
Back
Top Bottom