CCM yawatosa Watuhumiwa bila Ushahidi!

Kwa speed hii itakuwa vizuri kama Muungwana akiwatosa Karamagi, Meghji, Balali, Msolla, Magufuli, Mramba na wengineo wote ambao hawana credibility machoni mwa Watanzania ili kusafisha awamu yake. Vinginevyo itakuwa yale yale ya usanii. Kwa wengine sheria inatumika kwa speed kali sana wakati huo huo kwa wana mtandao na washkaji hawaguswi na wanaendelea kupeta.
Hii orodha ndugu,ulikuwa na ushahidi nayo lakini?
 
Back
Top Bottom