CCM washambulia msafara wa CHADEMA, wampiga Mwandishi wa Habari, wakimnyang'anya kamera

hivi ni kwanini wanachama hai wa ccm ni wachovu sana kiuchumi??? nimefuatilia mara nyingi tena mikoa mbalimbali unakuta wahudhriaji wa mikutano yao wako taabani vibaya sana.ndio maana wanakuwa wachokozi wanahasira sana kuwa nyuma kiuchumi.
 
cdm mna michezo ya kitoto sana, kuanzia juzi mlikuwa mnatafuta nguo za ccm sasa jana mmezipata leo mmewavalisha wahuni wenu na kuwapachika kwenye kundi la ccm na kuwatuma wafanye fujo ili tu ionekane ccm wabaya
mamaa siasa mchezo mchafu kila chama kinashutumu chama kingine, cdm wanashutumu ccm, na wewe unashutumu cdm!!
 
Mods naomba msini ban, nimejitoa muhanga kuwaambia vijana wenzangu ukweli maana hakuna atakayetuambia kwa kuwa sisi ni mtaji wao na watoto wao.

Naendelea kupigia gitaa kiziwi, vijana wa Tanzania tunazidi kuwa wapumbavu kila siku, quality gani hii ya discussion? watu hawana uwezo wa kujenga hoja humu, spelling ni kituko kipya, watu hawajui kuandika hata katika mambo informal kama haya shame on you. Badala yake vijana wa kitanzania wamewekeza kwenye kuwaabudu watu tena wasio na chochote cha kuonyesha katika mafanikio.

Kijana wa Kitanzania Hajitambui, ni mbumbumbu wa kutumiwa tu:
Hebu angalia kweli Lusinde anaweza akawa muwakilishi wa kitu chochote chenye uhai? sijali anatoka chama gani nasema ni write-off material huyu asingetakiwa hata kutoka kijijini kwake maana hana cha kutushirikisha, not to talk about being sent kuwakilisha mtu yoyote. Cha ajabu unaji peg vipi na shughuli ya kwenda kumsikiliza Lusinde? ana add nini katika maisha yako wewe leo hii kama kijana? na kukufanya upande gari uende wilaya ha hai badala hata ya kutumia huo muda wako kucheza na watoto wako nyumbani, ama kulala usingizi. Hivi kuna kijana wa umri wenu toka nchi yoyote hapa Afrika Mashariki anayetumia muda wake kujiua yeye mwenyewe? yote hii ni kujikomba ili JK na Ridhwani waweze kuendelea kuwatawala? sitashangaa JK akiamua raisi ajaye kuwa ni Lusinde kukuta vijana, tena wasomi wakihangaika huku na kule kutuaminisha kwamba huyo bwana na timamu na si wazimu kama tunavyomjua sisi watanzania. Mizee kama malecela kwa sababu ya kuchumia matumbo ndio wanaenda newsroom kusema hiki ndio chama.

vijana hamtaki tabu katika kutafuta, mmezoea vya kutupiwa (handovers)
Poleni sana vijana wapumbavu wakitanzania, watu mnashindwa hata kutumia muda kujifunza kuandika tena kwa kiswahili? hakuna competitiveness katika chochote, hakuna skills, hakuna hakuna chochote, tunageuzwa na viongozi wetu kuwa tabaka la chini kabisa katika region, tutaishia kuwa clerks kwa sababu hatuwezi ku compete, na sisi tunashiriki kwa moyo katika kuikubali hali hiyo. Leo hii wengi wenu hamna uwezo wa kupata wala kutunza kazi bila kupewa na JK, wenyewe hamna uwezo, tazama kazi zinavyochukuliwa na vijana wadogo kuliko nyie wa Kenya, Rwanda, hata Burundi wamewapita, hakuna regional job inayokwenda kwenu zote zinanyang'anywa na hao majirani mmebaki kusema tu nchi yetu ina hiki ina kile.

Sina woga ila sina platfrom:
kwa bahati mbaya katika nchi hii wengi hatuna platfrom za kusemea, now that na mwanahalisi limefungwa ndio basi tena. Sina chama chochote na ujumbe wangu unawalenga vijana wote wa kitanzania bila kujali chama chao, pamoja na kwamba wa CCM ndio waliobobea tabia hii, wengine nao pia nataka wawe macho. Kijana wa kitanzania huna thamani kwa kuwa huna mchango wowote katika kubadilisha maisha yako, wengi mnategemea kutupiwa makombo na mmeshakubali kuwa nyie ni daraja la chini. Hebu tujiulize ni wangapi kati yetu tunawekeza muda wetu katika kujenga uwezo wetu wa kikazi, bila kujali maendeo gani? Nape tangua apewe hiki cheo asichokiweza, amejiongezea nini katika skills zake ili leo awe mtu bora kuliko jana? tangu Lusinde aamke mpaka analala anakua amekuza vipi maisha yake, wewe kijana mpambe, majority, ukishawafuata hawa watu huku na kule, ukapewa kahela ka siku hiyo unapolala usiku na ku reflect, unakua umebadilisha vipi maisha yako ili kukuwezesha ku compete na vijana wengine kwenye region katika mambo yanayokubalika kimataifa? kazi, information, biashara etc Leo ninajiuliza inakuaje wakati nafasi za nje zenye maslahi makubwa zinagombewa na wakenya na wanyarwanda sisi vingunge wetu wakina Kimei, Dau n.k bado wako kwenye nafasi hizo kwa miaka zaidi ya 10, hii inamaana hawaonekani kwa kuwa hawana uwezo wa ku compete, survival yao ni kujikomba kwa rais ndio qualification waliyo nayo. Ndio maana wakati equity bank, bank ya juzi tu ikipanda kutoka kuwa bank ya 66 hadi leo hii ikiwa ya juu kabisa nchini kwao, sisi CRDB zaidi ya kashfa za wizi na EPA na kupendelewa kupewa hela zetu zinazoitwa mamilioni ya kikwete, ambazo hata hivyo imeshaonekana, kwa research kwamba kama mtihani alipata zero hakuna. Hawa ndio wanao command vijana wa kitanzania sasa, je mtafika wapi?
 
asante nndondo,very true and straight ngoja tupambane labda mabadiliko yatakuja kabla hatujatoka kwenye ujana ila kubwa ni kujitambua na kuweka mipango kazi mizuri ya kufikia malengo thabiti,kila kijana akiwa amejitambua na kujua anataka awe wapi lini bila kuridhika na mafanikio madogo naamini tutafikia mafanikio makubwa na hivyo kuweka mfano kwa vijana wanaokuja,ni fikra zangu tu.
 
Badala ya kuleta habari unaleta mipasho wewe uwa uaminiki toka ulivyotuletea umbeya kuwa mbunge wa CCM kafumaniwa kisha kakatwa mapanga, ulifuata picha mpaka leo ujarudi...Chadema mbona nyie mliushambulia msafara wa Pinda, kwa mawe Mwanza na kuwapiga mawe wafuasi wa CUF Arusha.

Hivi Pinda ni kiongozi wa CCM?au serikali?du,ama kweli "ni heri kufa na fikra zinazoishi kuliko kuishi na fikra zilizokufa"
 
Badala ya kuleta habari unaleta mipasho wewe uwa uaminiki toka ulivyotuletea umbeya kuwa mbunge wa CCM kafumaniwa kisha kakatwa mapanga, ulifuata picha mpaka leo ujarudi...Chadema mbona nyie mliushambulia msafara wa Pinda, kwa mawe Mwanza na kuwapiga mawe wafuasi wa CUF Arusha.

Hapo unamaanisha wananchi wote wa Arusha ni chadema! Na kama ndio hivyo basi ccm au hao cuf wakufa kabisa. Cuf walikuwa wanapita sokoni wamachinga wakiwa wanagawana eneo la kufanyia kazi. Wakakerwa na kelele za cuf wakawatimua. Kwa maelezo yako hapa unamaanisha wamachinga wote waliopo pale sokoni ni cdm. Kama ndio hivyo basi chama chenu ni mfu!
 
Nitakuja kumalziia kuelezea namna ambavyo CCM walisomba watu kutoka mjini, mgeni rasmi akaonekana akija eneo la mkutano lakini akakutwa watu hawajasombwa vya kutosha hivyo akalazimika kurudi tena mjini mpaka watu wajae, kisha akarudi tena baadae kufanya uzinduzi.

Unajua mgeni rasmi alikuwa nani?

Mambo gani sasa hayo Tumaini Makene! Wakati habari inanoga wewe ndio unasema utakuja baadae. Haya tunasubiri utuambie huyo mgeni rasmi alikua nani. Ila mie huwa najiuliza, magamba wanaposomba watu kuja kwenye mikutano yao (ikiwa na maana kuwa watu wa eneo husika hawaendi kuwasikiliza) wakati wa kupiga kura huwa inakuaje? maana wapigakura ni watu wa eneo husika.
 
Last edited by a moderator:
Nndondo umenena kweli sioni sababu ya Mods kukupa ban. Nchi hii imepoteza dira na utamaduni wa kujitambua. Hili ni tatizo kubwa sana. Mabadiliko yoyote ya maana lazima yaanzie katika kuleta DIRA mpya na Utamaduni wa kifikra mpya.

Hebu fikiria unakuwa na viongozi wanaowaambia wananchi wao kuwa nchi hii inafuata siasa ya kijamaa na kujitegemea wakati Azimio la Zanzibar lilipindua kila kitu!!

Angalia hata sera mbalimbali za elimu, shule za kata kila kona huku walimu na vifaa muhimu havipo!!! Matokeo yake vijana wanamaliza kidato cha nne wakiwa watupu. Hawawezi kushindana na yeyote kwenye soko la kazi na ujasiriamali. Hali hii ni sawa na bomu linalosubiri kulipuka.
 
Sasa itabidi chadema itafute njia ya mkato kujilinda,ikiwemo kuunda jeshi lake,mambo mengine hayavumiliki kabisa,halafu siku hizi wamewa target waandishi zaidi,kutokana na waandishi wengi kujielewa na kutoa habari za kweli kitu ambacho kwa ccm ni uhaini,anyway poleni sana makamanda wetu,vipi wewe hujadhurika?Pamoja tutashinda.

Au ni mbinu ya kuwatisha waandishi wa habari ili wasi hudhuria mikutano ya CDM coz haya magamba kwa faulo hayajambo!
 
mipasho????kwani hujawahi kumsikia mwenyekiti wako dhaifu au magufuli akitoa mipasho???wewe utakuwa hujui tofauti ya mipasho na ujumbe.ccm wanakitete,walishona maji mazito wehu wakubwa wawachape viboko.
 
binafsi nilikuepo na niliona yaliyokuwa yanatendeka. Kusema kweli ccm kwisha, walirusha mawe pamoja na mchanga kwa wenye pikipiki,asilimia 99 ya mkutano wao ulijaa wageni waliioletwa mjini. Ndugu zangu nimeamini kuwa hata dodoma wamebadilika na huu mkoa ni wa chadema, kila mahali watu walikuwa wanashangilia chadema kwa nguvu ya ajabu, halafu ni watu wa rika zote.
 
Mods naomba msini ban, nimejitoa muhanga kuwaambia vijana wenzangu ukweli maana hakuna atakayetuambia kwa kuwa sisi ni mtaji wao na watoto wao.

Naendelea kupigia gitaa kiziwi, vijana wa Tanzania tunazidi kuwa wapumbavu kila siku, quality gani hii ya discussion? watu hawana uwezo wa kujenga hoja humu, spelling ni kituko kipya, watu hawajui kuandika hata katika mambo informal kama haya shame on you. Badala yake vijana wa kitanzania wamewekeza kwenye kuwaabudu watu tena wasio na chochote cha kuonyesha katika mafanikio.

Kijana wa Kitanzania Hajitambui, ni mbumbumbu wa kutumiwa tu:
Hebu angalia kweli Lusinde anaweza akawa muwakilishi wa kitu chochote chenye uhai? sijali anatoka chama gani nasema ni write-off material huyu asingetakiwa hata kutoka kijijini kwake maana hana cha kutushirikisha, not to talk about being sent kuwakilisha mtu yoyote. Cha ajabu unaji peg vipi na shughuli ya kwenda kumsikiliza Lusinde? ana add nini katika maisha yako wewe leo hii kama kijana? na kukufanya upande gari uende wilaya ha hai badala hata ya kutumia huo muda wako kucheza na watoto wako nyumbani, ama kulala usingizi. Hivi kuna kijana wa umri wenu toka nchi yoyote hapa Afrika Mashariki anayetumia muda wake kujiua yeye mwenyewe? yote hii ni kujikomba ili JK na Ridhwani waweze kuendelea kuwatawala? sitashangaa JK akiamua raisi ajaye kuwa ni Lusinde kukuta vijana, tena wasomi wakihangaika huku na kule kutuaminisha kwamba huyo bwana na timamu na si wazimu kama tunavyomjua sisi watanzania. Mizee kama malecela kwa sababu ya kuchumia matumbo ndio wanaenda newsroom kusema hiki ndio chama.

vijana hamtaki tabu katika kutafuta, mmezoea vya kutupiwa (handovers)
Poleni sana vijana wapumbavu wakitanzania, watu mnashindwa hata kutumia muda kujifunza kuandika tena kwa kiswahili? hakuna competitiveness katika chochote, hakuna skills, hakuna hakuna chochote, tunageuzwa na viongozi wetu kuwa tabaka la chini kabisa katika region, tutaishia kuwa clerks kwa sababu hatuwezi ku compete, na sisi tunashiriki kwa moyo katika kuikubali hali hiyo. Leo hii wengi wenu hamna uwezo wa kupata wala kutunza kazi bila kupewa na JK, wenyewe hamna uwezo, tazama kazi zinavyochukuliwa na vijana wadogo kuliko nyie wa Kenya, Rwanda, hata Burundi wamewapita, hakuna regional job inayokwenda kwenu zote zinanyang'anywa na hao majirani mmebaki kusema tu nchi yetu ina hiki ina kile.

Sina woga ila sina platfrom:
kwa bahati mbaya katika nchi hii wengi hatuna platfrom za kusemea, now that na mwanahalisi limefungwa ndio basi tena. Sina chama chochote na ujumbe wangu unawalenga vijana wote wa kitanzania bila kujali chama chao, pamoja na kwamba wa CCM ndio waliobobea tabia hii, wengine nao pia nataka wawe macho. Kijana wa kitanzania huna thamani kwa kuwa huna mchango wowote katika kubadilisha maisha yako, wengi mnategemea kutupiwa makombo na mmeshakubali kuwa nyie ni daraja la chini. Hebu tujiulize ni wangapi kati yetu tunawekeza muda wetu katika kujenga uwezo wetu wa kikazi, bila kujali maendeo gani? Nape tangua apewe hiki cheo asichokiweza, amejiongezea nini katika skills zake ili leo awe mtu bora kuliko jana? tangu Lusinde aamke mpaka analala anakua amekuza vipi maisha yake, wewe kijana mpambe, majority, ukishawafuata hawa watu huku na kule, ukapewa kahela ka siku hiyo unapolala usiku na ku reflect, unakua umebadilisha vipi maisha yako ili kukuwezesha ku compete na vijana wengine kwenye region katika mambo yanayokubalika kimataifa? kazi, information, biashara etc Leo ninajiuliza inakuaje wakati nafasi za nje zenye maslahi makubwa zinagombewa na wakenya na wanyarwanda sisi vingunge wetu wakina Kimei, Dau n.k bado wako kwenye nafasi hizo kwa miaka zaidi ya 10, hii inamaana hawaonekani kwa kuwa hawana uwezo wa ku compete, survival yao ni kujikomba kwa rais ndio qualification waliyo nayo. Ndio maana wakati equity bank, bank ya juzi tu ikipanda kutoka kuwa bank ya 66 hadi leo hii ikiwa ya juu kabisa nchini kwao, sisi CRDB zaidi ya kashfa za wizi na EPA na kupendelewa kupewa hela zetu zinazoitwa mamilioni ya kikwete, ambazo hata hivyo imeshaonekana, kwa research kwamba kama mtihani alipata zero hakuna. Hawa ndio wanao command vijana wa kitanzania sasa, je mtafika wapi?
Hapo RED hapo!
 
Badala ya kuleta habari unaleta mipasho wewe uwa uaminiki toka ulivyotuletea umbeya kuwa mbunge wa CCM kafumaniwa kisha kakatwa mapanga, ulifuata picha mpaka leo ujarudi...Chadema mbona nyie mliushambulia msafara wa Pinda, kwa mawe Mwanza na kuwapiga mawe wafuasi wa CUF Arusha.

So CCM wanalipa Kisasi au????
 
Dah hao rangi kijani wakipita hapo mwanjelwa ponda na mawe bila huruma!

Nakushauri Pumb acha siasa za vita na vurugu. Amani ya nchi hii imejengwa kwa muda mrefu haifai kuiharibu cheaply hivyo. Mimi ni CHADEMA jua hivyo
 
Last edited by a moderator:
Tumaini Makene kama huna habari usituletee habari nusu nusu. utatusababishia ban wengine!
Kama huna habari kaa ofisini utulie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom