CCM wanabadilisha Katiba yao ya 1977 iendane na wakati. Kwanini hawataki tubadili Katiba ya Tanzania ya 1977?

#TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.

#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalumDodoma

View attachment 2162581
WATANZANIA TUNATAKA KATIBA MPYA MBONA YA CHAMA CHENU MNABADILISHA
 
#TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.

#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalumDodoma

View attachment 2162581
Akili ya wanaccm imejikita kwenye Urais, mkiwa na Rais mfuko wote wa fweza ni wenu.
 
Nje ya likatiba la zamani ccm inajua 'mwelekeo wake ni ICU'

Katiba mpya ndio mwisho wa ccm, hawezi kuiba kura kwa kuwatumia usalama, ma-ded na wengineo kwani uchaguzi utakuwa wa haki.
Na hakuna mtu yeyote mwenye akili sawa sawa anaweza pigia kura mijizi ya hili li chama! Ukiona mtu anajiunga nao ana maslahi binafsi au ameahidiwa cheo. Hata wenyewe wanajua
 
Back
Top Bottom