CCM wanabadilisha Katiba yao ya 1977 iendane na wakati. Kwanini hawataki tubadili Katiba ya Tanzania ya 1977?

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,272
#TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.

#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalumDodoma

EF79CF83-9DF7-4768-AE69-0766B45B322E.jpeg
 
Nje ya likatiba la zamani ccm inajua 'mwelekeo wake ni ICU'

Katiba mpya ndio mwisho wa ccm, hawezi kuiba kura kwa kuwatumia usalama, ma-ded na wengineo kwani uchaguzi utakuwa wa haki.
 
#TAARIFA : Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.
#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalumDodoma.

View attachment 2162581
ukiona hivyo ujue kunavipengele vinawekwa sawa kwaajili ya mtu fulani
 
Waondoe kitu inasema Ujamaa na kujitegemea kwenye katiba ya CCM.

Watu wenyewe ni mabeberu na wanaficha pesa uswiss

10% ya miradi na mikataba
Hata katiba ya JMT bado inatambua nchi yetu ni ya ujamaa na kujitegemea.
 
Kama tatizo la kupata katiba mpya ya JMT ni fedha, wananchi wakiwa tayari kuchanga itakuwaje?
Samia amechangiwa mabilioni ya fedha kutoka kwa wananchi kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa ccm 2025 na katiba yao mpya.

Fomu zilisambaa nchi nzima kila fomu moja isirudi chini ya Tsh 200,000.

Kwa mantiki hiyo wananchi wana uwezo wa kuchangia Gharama Za kuandaa katiba yao.
 
Mkuu alichangiwa lini tena.
 
#TAARIFA : Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.
#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalumDodoma.

View attachment 2162581
Who can shoot one's stomach? Can CCM dare?
 
Back
Top Bottom