CCM wanabadilisha Katiba yao ya 1977 iendane na wakati. Kwanini hawataki tubadili Katiba ya Tanzania ya 1977?

Unavyoona huyu mama Ana uwezo wa kujenga nchi mkuu?
Enzi ya Mzee Mwinyi kama ulikuwa mdogo kwa umri . Hujui yaliyotupata wahenga.. walimu Walachia kazi wakaenda kudenga.
Enzi za Mwinyi nilikuwepo mkuu sisi ndio tuliambiwa tumemtukana matusi ya nguoni, enzi za mzee punch.
 
Enzi za Mwinyi nilikuwepo mkuu sisi ndio tuliambiwa tumemtukana matusi ya nguoni, enzi za mzee punch.
Uko sawa tena kilitokea akakurupuka Lafita kuajiri Wanafunzi wa chuo kikuu kisa Katukanwa.

Ninakumbuka mzee punch wa udsm na SUA walikuwa wanafundisha adabu wasiojiheshimu.

Siku hivyo vyuoni wazee walikufa au? Na sifa Za wazee walikuwa Hawa I wala kumaliza chuo.

Nini kimetokea universities zote Hakuna wazee?
 
Uko sawa tena kilitokea akakurupuka Lafita kuajiri Wanafunzi wa chuo kikuu kisa Katukanwa.
Ninakumbuka mzee punch wa udsm na SUA walikuwa wanafundisha adabu wasiojiheshimu.
Siku hivyo vyuoni wazee walikufa au? Na sifa Za wazee walikuwa Hawa I wala kumaliza chuo. Nini kimetokea universities zote Hakuna wazee?
Mfumo mbovu sn
 
CCM hawataki kabisa kuwa chama cha Upinzani sababu wanajua dhoruba wanayowafanyia.

Kwa hiyo ngao yao kuu ni Katiba hii ya sasa kuenelea kutumika.
 
🐒🐒🐒👇
 
Back
Top Bottom