CCM wakamatwa na Rushwa Igunga

npo apa The Planet hotel...na hz ndo tetesi za mji mzma wa igunga...jamaa wameanza kumwaga fedha n balb?na jana kuna vijana wamekula hela ndefu toka makada wa CCM maeneo ya machinjio mapya njia ya kwenda nzega.,

mkuu ni pm mob. no. Yako nikutafute nipo igunga kwa sasa!

Teh teh teh! Watani zangu wachagga wakita kujua kama mtoto aliyezaliwa na mama hospitalini ni mchagga wanadondosha hata mkasi. Wakiona mtoto kashtuka wanasema wa kwao. Asiposhtuka wanasema huyu siyo mangi yesu!

unachangia hii mada au uko wapi hapa at unaihusha je na mada

ulichosema ni sahihi na hapo kaka mkubwa ni huyo tu kafanywa chambo ili tuamini takukuru wanajituma kwenye kazi na hapo wakikaa vizuri wana nzengo wa igunga lazima wataibua mengi tu...

Mkuu takukuru si ndio hao hao ccm hakuna lolote likalofanyika na takukuru

Iliyopo wana igunga rushwa pokeeni na kura msiwape ili wajue watz tumeamka

Hivi hiki chama kinachotumia rushwa kuingia madarakani hakijajua kuwa mbinu hiyo imepitwa na wakati? Je hakijajua pia huko mjengoni wanakokimbilia siku hizi kunahitaji wazalendo watakaosimamia maslahi ya Watanzania na si kulipa fadhila? Kweli sikio la kufa halisikii dawa!

...tatizo ni ushirikiano wao na TAKUKURU!
ukikamata kabla ya TAKUKURU hawajafikas unagawa kipondo kama Arusha watulivyokuwa tunafanya....maana TAKUKURU Arusha ulikuwa ukiwapigia simu wanapokea harafu wanakuwekea mziki tukaona isiwe shida tukisikia wana gawa rushwa tunawafata huko waliko.....

yan sipend mtu anayetoa thread then anapotea bila kuja kuitetea.
mwalimu makini tunakuomba urudi ujibu maswali ya wanajf.. mfano kuna swali kauliza mwanakijiji """mtoa rushwa amekamatwa live au""?

wanajf wenye tabia ya kupost thread then wanapotea nashauri waache hiyo tabia.

back to the topic
hivi hawa magamba wataacha lini mambo ya rushwa?najua mmo humu naomba mjibu.
mmemkimbiza RA sahivi mnamuhitaji tena awasaidie kampen hivi inaingia akililni.

""nimechoshwa na siasa za chuki, uchwara na unafiki

Watani zangu wamasai wana utaratibu kwamba kabla ya kutahiriwa na kuwa morani lazima kuiba ng'ombe ama kuua simba.
Sasa naona magamba nao ili uweze kuaminiwa na chama lazima utoe rushwa. Kwa hali kama hii, kama mwigulu naye anagawa rushwa mchana kweupe basi si ajabu kwa uchumi wa nchi kudorora kila mwaka kwa kuwatumia ma economists wa aina ya mwigulu!
Kwani hawa wana maghamba CCM RA walimtosa kwa sababu zipi, kama ni rushwa na ufisadi sasa huyu mgombea wao Mwigulu anafanya nini?????????Wanatwanga maji kwenye kinu, wameishiwa hawana sera, wana Igunga watose tuu kama walivyo mtosa RA!!!!!!!!!

Uongo na ukweli haviendi njia moja. Unaweza kumudu kusema uongo saa na wakati wote lakini huwezi ukawa yuleyule saa na wakati wote. Wakati wa kusema na kushuhudia uongo huwa tunazika karama ya utu tuliyopewa na Mungu. Lakini baada ya kushuhudia uwongo Mungu kwa huruma huturejeshea karama yetu na hapa ndio mateso yanaanza kwani nafsi zetu hukataa kubariki tuliyoyasema na kushuhudia kinyume na utu wetu. kwa sababu ya hilo huwa tunakosa ushujaa wa kushuhudia kwa macho ulimwengu unaotuzunguka ndivyo picha hii inavyotuambia kuhusu aliyoyasema Wassira katika mjadala kwenye kipindi cha TBC1. Saa ya uongo imepita sasa Wasira hawezi tena kuwa shujaa mbele za watu anaogopa hata kivuri chake na cha mpiga picha. Malipo ni hapa hapa duniani
nakukumbusha WASIRA ndie waziri pekee aliye na ujasiri na uthubutu wakusema lolote mbele ya JAMII kwa kuwa hana hata chembe ya ufisadi, anao uwezo wa kufanya maamuzi magumu na anasimamia maslahi ya Taifa!
Ni lipi unalolijua kuhusu Wasira? kumbuka hata Mbowe mwenyewe kakiri kuwa anamheshimu sana kwakuwa anajua uchapakazi wake,uaminifu,ujasiri na uwezo wa kusimamia maslahi ya nchi!
WASIRA KIBOKO YAO!

ukikamata kabla ya TAKUKURU hawajafikas unagawa kipondo kama Arusha watulivyokuwa tunafanya....maana TAKUKURU Arusha ulikuwa ukiwapigia simu wanapokea harafu wanakuwekea mziki tukaona isiwe shida tukisikia wana gawa rushwa tunawafata huko waliko.....
Chunga saana mpendwa utaanzisha vita, lakini kikianzishwa kikosi kazi sungusungu si vibaya kuwatia kashikashi!!!!!!!!!!

mku ccm wana hali mbaya sana kutokana sumu iliyo mwagwa na cdm huko vijijini, ccm wanatoa rushwa kwa nguvu mno, wananunua bendera za cdm zilizotundikwa sehem mbalimbali kwa sh.5000. Hivi sasa wameanza kununua shahada za wapiga kura.
Watakoma mwaka huu, nawaambia CDM weka vijana kikosi kazi cha wapanda baiskeli na bodaboda wasambae vijijini kuwapa taarifa sahihi wananchi wajue kura ina faida gani kwao!!!!!!!!!! Wengine wasambaze hizo bendela, vipeperushi na kadi watanunua watachoka mradi mwananchi wa kawaida habari imfikie!!!!!!!!! Kaza buti CDM Igunga ni yetu, aluta continua!!!!!!!!!!!

nakukumbusha WASIRA ndie waziri pekee aliye na ujasiri na uthubutu wakusema lolote mbele ya JAMII kwa kuwa hana hata chembe ya ufisadi, anao uwezo wa kufanya maamuzi magumu na anasimamia maslahi ya Taifa!
Ni lipi unalolijua kuhusu Wasira? kumbuka hata Mbowe mwenyewe kakiri kuwa anamheshimu sana kwakuwa anajua uchapakazi wake,uaminifu,ujasiri na uwezo wa kusimamia maslahi ya nchi!
WASIRA KIBOKO YAO!

Sidhani kama Mbowe alisema anamheshimu Wassira kwa uchapakazi na uaminifu wake,
alimheshimu kwa kuwa jamaa ana sifa kubwa ya kutoogopa kurusha ngumi, ndiyo maana
alijiita Tyson...

mku ccm wana hali mbaya sana kutokana sumu iliyo mwagwa na cdm huko vijijini, ccm wanatoa rushwa kwa nguvu mno, wananunua bendera za cdm zilizotundikwa sehem mbalimbali kwa sh.5000. Hivi sasa wameanza kununua shahada za wapiga kura.
Kama CCM wananunua bendera za CDM i don't see the problem ni kiasi cha CDM kupeleka nyingi ili zinunuliwe.

Similar Discussions

Back
Top Bottom