CCM wakamatwa na Rushwa Igunga

Wakuu heshima mbele.

Ninaleta habari kutoka katika uwanja wa mapambano kule Igunga ambako CCM, CHADEMA na CUF wamekwishaanza mchakato wa kulitwaa jimbo kila mmoja kwa nmna yake.

Taarifa zilizotolewa leo hii asubuhi ya saa 4 ni kwamba mbunge mmoja wa CCM kutoka katika mkoa wa Singida wilaya ya Iramba ameruka kiunzi cha maafisa wa TAKUKURU kiaina baada ya kukamatwa live wakigawa rushwa kwa wapiga kura huko Igunga.

Mchezo ulikuwa ukifuatiliwa kwa karibu sana na makachero wa CHADEMA ambako siri ya eneo la tukio ilifahamika na hivyo mtego kuandaliwa mapema. Taarifa za kiinteligensia ziliwafikia makamanda wa CHADEMA kuhusu uwezekano wa kumkamata Mhe. Mbunge huyo na hivyo mbinu za kumweka mkononi kuwekwa.

TAKUKURU walipofika eneo la tukio waliwachukua wote waliohusika bila kumkamata Mhe. mbunge. Hata hivyo kikosi cha kufuatilia nyendo za watoa rushwa wa CCM kiko makini sana. Na kwa hakika pamoja na kulindwa sana lazima watashikwa.

Tutaendelea kujuzana

Za mwizi zitafika,wakumbuke kipenzi wao Rostam wamemtosa kwa kumwita fisadi.Sasa kazi hipo jinsi wa kuwashawishi wanaccm kukubaliana nao pale Igunga.

anaitwa mwigulu nchemba, na rushwa itampeleka pabaya, kama si duniani hata mbinguni.

Watani zangu wamasai wana utaratibu kwamba kabla ya kutahiriwa na kuwa morani lazima kuiba ng'ombe ama kuua simba.
Sasa naona magamba nao ili uweze kuaminiwa na chama lazima utoe rushwa. Kwa hali kama hii, kama mwigulu naye anagawa rushwa mchana kweupe basi si ajabu kwa uchumi wa nchi kudorora kila mwaka kwa kuwatumia ma economists wa aina ya mwigulu!

Tunawatakia CDM ushindi wa kishindo na pls fuatilieni hawa magamba mguu kwa mguu kwani hawajawahi shinda kihalali because hakuna mwenye akili hata mmoja anaye weza kuwapa kura magamba.

CCM bila wizi haiwezi mashindano ya siasa ila taadhari kwa wanaigunga chagueni mtu ambaye mnaona anaweza kuwa mkombozi wa jimbo lenu lakini angalizi nimoja anaweza kuwa na uchungu na jimbo lakini chama kinambana atoe maamuzi yasiyo wafurahisha wanaigunga mfano mzuri nibaada ya Rostam alazimishwe kuachia ngazi kwa ufisadi mlilia sana kama sio usanii mlikuwa mnafanya

Hawa viwavi (ccm) wameishaingia kwenye shamba la mahindi(igunga)! siyo wa kuchekea.Natoa wito kwa wanaigunga kuhakiki viwavi hawapewi nafasi.TEKETEZENI HAO VIWAVI

Rushwa na CCM ni chanda na pete. Tatizo ni wapigakura hohehahe waliokata tamaa ya maisha bora, wanaotamani kupata mlo wa leo kukidhi haja za leo kwa maangamizi ya kudumu. Hapo ndipo CDM inapotakiwa kutoa elimu ya kutosha, kufanya kampeni ya nguvu na Watanzania wenye mapenzi mema na nchi hii kuwaombea CHADEMA ushindi. TUBADILISHE UTAWALA WA NCHI YETU SASA, TUKIANZIA NA IGUNGA ..........

Ushauri wa bure kwa wapiga kura Igunga: watakitoa pesa (rushwa) chukueni. Kura kwa CHADEMA

Watani zangu wamasai wana utaratibu kwamba kabla ya kutahiriwa na kuwa morani lazima kuiba ng'ombe ama kuua simba.

Sasa naona magamba nao ili uweze kuaminiwa na chama lazima utoe rushwa. Kwa hali kama hii, kama mwigulu naye anagawa rushwa mchana kweupe basi si ajabu kwa uchumi wa nchi kudorora kila mwaka kwa kuwatumia ma economists wa aina ya mwigulu!

Teh teh teh! Watani zangu wachagga wakita kujua kama mtoto aliyezaliwa na mama hospitalini ni mchagga wanadondosha hata mkasi. Wakiona mtoto kashtuka wanasema wa kwao. Asiposhtuka wanasema huyu siyo mangi yesu!

Ufisadi ulizaliwa sisiemu na unalelewa na sisiemu na unazalia sisiemu na utakufa na sisiemu..

ulichosema ni sahihi na hapo kaka mkubwa ni huyo tu kafanywa chambo ili tuamini takukuru wanajituma kwenye kazi na hapo wakikaa vizuri wana nzengo wa igunga lazima wataibua mengi tu...

Teh teh teh! Watani zangu wachagga wakita kujua kama mtoto aliyezaliwa na mama hospitalini ni mchagga wanadondosha hata mkasi. Wakiona mtoto kashtuka wanasema wa kwao. Asiposhtuka wanasema huyu siyo mangi yesu!
Mkuu umenikumbusha mbali kwenye haya matani..nilisikia kuhusu coin, sasa haya ya kudondosha mkasi ni mapya..ebu tufafanulie

Wakuu heshima mbele.

Ninaleta habari kutoka katika uwanja wa mapambano kule Igunga ambako CCM, CHADEMA na CUF wamekwishaanza mchakato wa kulitwaa jimbo kila mmoja kwa nmna yake.

Taarifa zilizotolewa leo hii asubuhi ya saa 4 ni kwamba mbunge mmoja wa CCM kutoka katika mkoa wa Singida wilaya ya Iramba ameruka kiunzi cha maafisa wa TAKUKURU kiaina baada ya kukamatwa live wakigawa rushwa kwa wapiga kura huko Igunga.

Mchezo ulikuwa ukifuatiliwa kwa karibu sana na makachero wa CHADEMA ambako siri ya eneo la tukio ilifahamika na hivyo mtego kuandaliwa mapema. Taarifa za kiinteligensia ziliwafikia makamanda wa CHADEMA kuhusu uwezekano wa kumkamata Mhe. Mbunge huyo na hivyo mbinu za kumweka mkononi kuwekwa.

TAKUKURU walipofika eneo la tukio waliwachukua wote waliohusika bila kumkamata Mhe. mbunge. Hata hivyo kikosi cha kufuatilia nyendo za watoa rushwa wa CCM kiko makini sana. Na kwa hakika pamoja na kulindwa sana lazima watashikwa.

Tutaendelea kujuzana

Nadhani wameaanza....ukiwauliza watakwambia wanagawa takrima....nadhani cha msingi ni kuhakikisha tunampata mmoja kwa ajili ya kuonyesha mfano.....

Kazi kweli kweli kilichobaki kwa sisiem kupata kura ni kununua tu, na huyo mb ni Mwigulu kijana aliye ingia kwenye sekretariat kuchukua nafasi ya Magamba kumbe nea ni gamba la aina nyingine! Kweli hakuna mzima ndani ya magamba

Wakuu heshima mbele.

Ninaleta habari kutoka katika uwanja wa mapambano kule Igunga ambako CCM, CHADEMA na CUF wamekwishaanza mchakato wa kulitwaa jimbo kila mmoja kwa nmna yake.

Taarifa zilizotolewa leo hii asubuhi ya saa 4 ni kwamba mbunge mmoja wa CCM kutoka katika mkoa wa Singida wilaya ya Iramba ameruka kiunzi cha maafisa wa TAKUKURU kiaina baada ya kukamatwa live wakigawa rushwa kwa wapiga kura huko Igunga.

Mchezo ulikuwa ukifuatiliwa kwa karibu sana na makachero wa CHADEMA ambako siri ya eneo la tukio ilifahamika na hivyo mtego kuandaliwa mapema. Taarifa za kiinteligensia ziliwafikia makamanda wa CHADEMA kuhusu uwezekano wa kumkamata Mhe. Mbunge huyo na hivyo mbinu za kumweka mkononi kuwekwa.

TAKUKURU walipofika eneo la tukio waliwachukua wote waliohusika bila kumkamata Mhe. mbunge. Hata hivyo kikosi cha kufuatilia nyendo za watoa rushwa wa CCM kiko makini sana. Na kwa hakika pamoja na kulindwa sana lazima watashikwa.

Tutaendelea kujuzana

hakuna habar mpya.

Mliopo Igunga vip michakato.

mku ccm wana hali mbaya sana kutokana sumu iliyo mwagwa na cdm huko vijijini, ccm wanatoa rushwa kwa nguvu mno, wananunua bendera za cdm zilizotundikwa sehem mbalimbali kwa sh.5000. Hivi sasa wameanza kununua shahada za wapiga kura.

Kuna mtu anaitwa mwigulu, ni mtu hatari kwa ustawi wa taifa, anakusanya vijana mtaani na kuwahonga hela, juzi aliwapeleka ktk ukumbi wasilent inn na kuwaambia wazime simu kisha akawagawia pesa kwa kila mjumbe

Similar Discussions

Back
Top Bottom