Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
- Thread starter
- #21
Nasikia ni Chakula ya wakubwa ni kweli wana-A
maana yake kawapofusha kwa penzi kiasi cha kutojali chama kusambaratika?
Nasikia ni Chakula ya wakubwa ni kweli wana-A
Ukizingatia watoka Tanga...
hapana ni mtu wa iringa kule tanga kaolewa na maji marefu
Pia kuna katibu mwenezi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wa wilaya ya Longido ametangaza kujitoa rasmi kutoka CCM na UVCCM na kujiunga na CHADEMA. Source Taarifa ya bahari Star TV saa 2 Usikuleo yanayojilia akina Malya, diwani wa CCM na kisha kutafutatiwa na mlolongo wa vijana wengi kuibukia CHADEMA
Pia kuna katibu mwenezi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wa wilaya ya Longido ametangaza kujitoa rasmi kutoka CCM na UVCCM na kujiunga na CHADEMA. Source Taarifa ya bahari Star TV saa 2 Usiku