CCM VS Chatanda - Mdharau mwiba mguu huota tende

Mi namshukuru Chatanda a.k.a kitanda a.k.a kuwekea godolo a.k.a bhulili! Amefanikisha kwa kiasi kikubwa kukipatia chadema umaarufu Arusha, bila yeye tusingefahamu kama Lema ni mpiganaji.
 
Anayefikiri amesimama aangalie asianguke. Ipo siku tutaanza kuelewa kwanini chama tawala kubariki ufisadi na kuulinda ni dhambi, duniani na hata mbinguni.
 
hapana ni mtu wa iringa kule tanga kaolewa na maji marefu

Utafiti wangu unaonyesha kuwa wazazi wake ni walowezi kule Tanga. Maana yake huyu Mary Chatanda ni toto wa walowezi waliokwenda Tanga kufanya manamba ya mkonge miaka ile, asili yao ni Mkoa mpya wa Njombe. Lakini kiburi cha huhu mwanamke si cha kawaida kwa vile kuna kila dalili nyuma yake kuna kigogo anayempa kichwa.
 
Dua zangu ni Bora wamuache atusaidie kumkoma Nyani (CCM) Jeledi Arusha
 
leo yanayojilia akina Malya, diwani wa CCM na kisha kutafutatiwa na mlolongo wa vijana wengi kuibukia CHADEMA
Pia kuna katibu mwenezi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wa wilaya ya Longido ametangaza kujitoa rasmi kutoka CCM na UVCCM na kujiunga na CHADEMA. Source Taarifa ya bahari Star TV saa 2 Usiku
 
Pia kuna katibu mwenezi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wa wilaya ya Longido ametangaza kujitoa rasmi kutoka CCM na UVCCM na kujiunga na CHADEMA. Source Taarifa ya bahari Star TV saa 2 Usiku

Haya sikio la kufa halisikii dawa ati, yangu macho na masikio.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom