Mrema, Chatanda, Kileo, Elissa na kamati za siasa zaamua kuivurga CCM Arusha

nzom

Senior Member
Nov 6, 2010
180
31
Katika kile kinachoendelea chini ya pazia jijini arusha katibu wa mkoa ameamua kuanza sasa kusafisha njia na kulipa kisasi,hasaa baada ya kushindwa ubunge ameamua kuanza kuandaa njia ili arudi haya yamefanyika
Felix mrema na chatanda wanataka kumrejesha kileo aliekua mwenyekiti wa wilaya ambae nyuma ya mgongo wake kuna tuhuma nyingi za ubadhilifu ikiwemo kushindwa udiwani kwa mwaka 2010,habari zilizopo mrema na ellisa wanatumia pesa kuhakikisha majina ya wagombea yanakatwa ili yasifike NEC likiwemo la mtu mmoja alijulikana kama mussa mukunga na hadi sasa hawana majibu.
Arusha imeingiliwa na watu wansema kua ni mrema na chatanda kipindi kilichopita chatanda alikula pesa za hao wote na ccm haina trna chake na wanachama wametishia kua kama yakirudiwa wote wataondoka na kujiunga na cuf au cdm kwani hawana kimbilio tena
katika hatua ingine mrema anawatafuta wajumbe wa kamati ya siasa na kuirubuni na je makundi hayo yatakwisha lini
wako vijana na watu wenye hekima zao na hapana shaka kua yasipofuatwa hayo yataigharimu ccm na hawataweza tena
wao wanachotaka ni kua watu wote waliokaa kwanye madaraka na wenye makundi na wenye kukigawa chama kwani chatanda anataka kuwapitisha wadhaifu ili akina kileo wapite
mwingine kwney nafasi ya uenyekiti mkoa aliefahamikika kwa jina moja khamisi ameonekana mwenye kujitoa kwa moyo na kutaka kurudihs aheshima ya chama jijini arusha ila je atayaweza makundi haijajulikana ana kundi au la na kimtazamo anasema hana makundi dulu za siasa zinaonekana kua wako wenye hati miliki japo taarifa zimemfikia mlezi wa ccm arusha mzee wassira na don king pamoja na mwenyekiti wote waiokoe arusha vinginevyo itabaki kua hadithi
 
Watajijua wenyewe na chama na hizo zote ni raana walizomfanyia Mh Godbless Lema
 
CCM hata pakiwa panateketea na moto, huwa wanatoka hadharani na kusema ni shwari. Huyo Chatanda walifikiri amefanikiwa kuvuruga umeya, sasa wanashindwa kummeza ama kumtema.
 
katika kile kinachoendelea chini ya pazia jijini arusha katibu wa mkoa ameamua kuanza sasa kusafisha njia na kulipa kisasi,hasaa baada ya kushindwa ubunge ameamua kuanza kuandaa njia ili arudi haya yamefanyika
felix mrema na chatanda wanataka kumrejesha kileo aliekua mwenyekiti wa wilaya ambae nyuma ya mgongo wake kuna tuhuma nyingi za ubadhilifu ikiwemo kushindwa udiwani kwa mwaka 2010,habari zilizopo mrema na ellisa wanatumia pesa kuhakikisha majina ya wagombea yanakatwa ili yasifike nec likiwemo la mtu mmoja alijulikana kama mussa mukunga na hadi sasa hawana majibu.
Arusha imeingiliwa na watu wansema kua ni mrema na chatanda kipindi kilichopita chatanda alikula pesa za hao wote na ccm haina trna chake na wanachama wametishia kua kama yakirudiwa wote wataondoka na kujiunga na cuf au cdm kwani hawana kimbilio tena
katika hatua ingine mrema anawatafuta wajumbe wa kamati ya siasa na kuirubuni na je makundi hayo yatakwisha lini
wako vijana na watu wenye hekima zao na hapana shaka kua yasipofuatwa hayo yataigharimu ccm na hawataweza tena
wao wanachotaka ni kua watu wote waliokaa kwanye madaraka na wenye makundi na wenye kukigawa chama kwani chatanda anataka kuwapitisha wadhaifu ili akina kileo wapite
mwingine kwney nafasi ya uenyekiti mkoa aliefahamikika kwa jina moja khamisi ameonekana mwenye kujitoa kwa moyo na kutaka kurudihs aheshima ya chama jijini arusha ila je atayaweza makundi haijajulikana ana kundi au la na kimtazamo anasema hana makundi dulu za siasa zinaonekana kua wako wenye hati miliki japo taarifa zimemfikia mlezi wa ccm arusha mzee wassira na don king pamoja na mwenyekiti wote waiokoe arusha vinginevyo itabaki kua hadithi
huo ni umbea mnaojaribu kuutengeneza ili ufanane na ukweli na hizo ni dalili za mfa maji -
 
muogopeni mungu ! acheni mchezo wa kuigiza. Mfa maji haachi kutapatapa,mtaandika sana, lakini mwenye macho haambiwi tazama,kama siasa zimewashinda nendeni shambani mkalime.
 
mpaka wanajipanga kwa ubunge kwani wameshajua rufaa itaamuliaje?
Inawezekana wana matokeo ya rufaa, kwani si unajua hata matokeo ya kesi ya ubunge walikuwa nayo mapema kuliko hata jaji mwenyewe. Magamba sasa hivi wameelemewa wanajaribu kila mbinu chafu waipate Arusha,lakini hawataiweza. Sasa hivi hata S/wanga na Igunga wayasahahu kabisa. Tutachukua jimbo moja baada ya jingine hadi ifikapo 2014 wakati wa bunge la katiba wajute kwanini walipitisha sheria mbovumbovu na kandamizi
 
hapo siingilii kabisa kwani ni sawa na kuingilia ugomvi wa wanandoa siku wakipatana inakuwa aibu, CCM gombaneni wenyewe hata mkiuwana mimi na wengineo kama mimi hatuhusiki kabisaaa.
 
muogopeni mungu ! acheni mchezo wa kuigiza. Mfa maji haachi kutapatapa,mtaandika sana, lakini mwenye macho haambiwi tazama,kama siasa zimewashinda nendeni shambani mkalime.
Join Date : 12th November 2010
Posts : 8
Rep Power : 397
Likes Received0
Likes Given0

Tangu 2010 huna like hata moja? kweli ndugu point hauna
 
Haya sasa wengine wanajinoma kwenye ile thread ya ufisadi moshi na mmeupandikiza ni ufisadi wa chadema. Huku arachuga napo CCM kunawaka moto. Ngoja tusubirie hukumu ya lema kwanza nitarudi kuchangia kiundani zaidi.

Sisi sote ni ndugu tatizo ni ccm
 
Poleni jamani CCM ni bora mngefanya kitu ingine huko kutaka kurejesha heshima na haswa jimbo ni sawa na kuota umeokota gunia 100 za noti za elfu kumi kumi. Endeleeni kuota na kukipambazuka ndo mtaujua ukweli.
 
The more you read and observe about this Politics thing, you got to admit that each party is worse than the other.The one that”s out always looks the best.
:flypig:KIDUMU CCM:flypig:
 
Tabia haichagui wa kumfanyia, Nyerere alisema Wazanzibar wakiwabagua Wa-bara basi iko siku watabaguana wa-unguja na wa-pemba. CCM wana michezo michafu na haina maana watawafanyia upinzani peke yake, ni lazima watafanyiana wenyewe kwa wenyewe pia.
 
Back
Top Bottom