Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
[h=6]CCM- TOKA CHAMA CHA UMMA MPAKA CHAMA CHA WENYEWE.
SAFARI YA CHAMA CHANGU CCM TOKA TANU MPAKA SASA.
KWA WALE TULIOZALIWA ENZI HIZO TUMEYAPITIA HATUA NYINGI ZA KIMABADILIKO KWA TANU NA CCM. TOKA CHAMA CHA UMMA KUELEKEA CHAMA CHA FAMILIA..
KAMA IFUATAYO:-
1. 1960 1967: Kiongozi akisimama anasema:
UHUHRU
Wananchi mnaitika
KAZI YA TANU''
Nyimbo za nyakati hizo-
AEEE TANU YAJENGA NCHI.
2. 1967 1977 Kipindi cha Azimio la Arusha.
Kiongozi:
UJAMAA
Wananchi mnaitikia
SIASA SAFI YA TANU
Nyimbo
Kata mirija kata, kata! ya unyonyaji, kata!
Ya kikabaila, kata! Ya kibebari, kata!
3. 1977 -1980 Kiongozi: CCM HOYEEEEEE!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Wananchi:
KIDUMUUUUUUUUU!
Kiongozi: ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA CCM
Wananchi ZIDUMUUUUUU!
Wimbo ulioimbwa sana Radio Tanzania:
CCM CHAMBALAMAAA X 3 KOCHELELI CCM EEE,
KOCHELELI hata mimi sikujua wimbo huu
ulitoka kabila gani lakini nadhani mkoa
wa Rukwa!
WAKATI HUO CHAMA KILIKUWAMALI YA WOTE!!!!!
4. 1985 NA KUENDELEA HADI LEO: VIONGOZI NA WAPAPMBE NDO
WANAOIMBA NA KUPOKEZANA!!!!!
CCM INA WENYEWE, NA WENYEWE NDIO SISI
SASA CHAMA KIMEKUWA MALI YA VIONGOZI, WATEULIWA WACHACHE NA FAMILIA ZAO!!!
NI JUKUMU LETU VIJANA WA CCM KUSHIRIKI UCHAGUZI MWAKA HUU NA KUKIREJESHEA CHAMA HADHI YA KE YA KUWA CHAMA CHA UMMA
(WAKULIMA NA WAFANYAKAZI)
[/h]