CCM na Ndugu wa waliokamatwa kwa fujo za NDAGO wahaha...

S2dak_Jr

Senior Member
Jul 15, 2012
198
45
Habari nilizozipata sasa ni kuwa Ndugu na viongozi wa CCM mkoa wa Singida wanaangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha vijana waliowatuma kufanya fujo kwenye MKUTANO wa CDM wanatoka na kuwa huru.Hili ni lile kundi la vijana wa MGODINI waliokodiwa na kunyweshwa pombe ili wakafanye fujo.''Niliimuuliza mume wangu kuwa mnaenda wapi na hiyo Hiace, na alinijibu kuwa wanaenda kucheza mpira maeneo ya Ulemo. Nilishangaa sana kwa sababu yeye huwa si mchezaji, lakini aliniambia yeye ni shabiki na wanaocheza ni wenzake alio nao''. Alinieleza dada mmoja ambaye mume wake ni mmoja kati ya waliokuwa kwenye Hiace iliyoenda Ndago.Aliongeza kuwa: Leo ndugu wa mume wake walienda Singida Central Police na kukuta viongozi wao waliowachukuwa kutoka mgodini wakihangaika kuwatoa vijana hao. na ilikuwa ni ngumu kwa wanandugu hao kukutana na ndugu yao huyo.Pia amesema gari walilokuwa nalo pia lilikamatwa na kupelekwa Kiomboi Police. Na hii naweza kuamini kwani sasa ni muda sijaliona likifanya safari zake za kati ya Singida Mjini na Kiomboi.Aliendelea kunieleza kuwa leo aliweza kuongea na simu na huyo mumewe na kuelezwa kuwa anaweza kutoka kama si leo basi ni kesho kwani waliowachukua na kwenda huko Ndago wanaendelea na mipango ya kuwatoa.Naomba niwasilishe.Source: Mke wa mmoja wa vijana waliokamatwa.
 
Hii ndiyo CCM, na hili ndilo jeshi la kishkaji la Polisi la Said Mwema ambapo wanafanya kila wanaloelekezwa na CCM! Hawana haya, aibu wala soni. History will judge them. Shame!!!!
 
Tutaendelea kusikia mengi na Nchemba sijui kama atajutia matendo yake maana uwezo wake wa kufikiri unaonekana kuwa mdogo
 
Hii ndiyo CCM, na hili ndilo jeshi la kishkaji la Polisi la Said Mwema ambapo wanafanya kila wanaloelekezwa na CCM! Hawana haya, aibu wala soni. History will judge them. Shame!!!!
Jamaa kafanya fujo, sasa yupo ndani. Amemuacha mkewe na mtoto mdogo wanahangaika.
 
There is no way utamtenga Mwigulu na damu za wato wanaokufa kila apitapo.... kibaya zaidi pia ni ile video ya vikosi ya SWAT iliyofichuka wakati wa uchaguzi na ni hukohuko....

Inasikitisha sana
 
Nchema hana tofauti na waharifu wa kivita!! dunia inatoka kwenye hayo madudu yeye ndo kwanza yuko speed mia kuelekea huko!! very disgusting!!
 
Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Singida, ndugu Josephat Isango naye anatoka kuhojiwa sasa kuhusu sakata la Ndago. vijana wa CCM wale wa kukodishwa wapo katika jengo la CCM Mkoa kwa sasa wanapokea ujira warejee Dar. Tunatumaini kuwa wamtolewa wakisubiri kusaidiwa ili kushinda kesi, kuna mengi yatajiri na tunawaaahidi wana jf wote huku Singida hatulali mpaka kieleweke. Nitafunua siri zote.
 
Nina mkanda wa mwigulu akipanga njama za mauaji ya ndago na mkanda mwingine ni ule aliokamatwa ugoni.
 
Dah, mwigulu kumbe ndie aliepanga mauaji na vurugu za ndago af anawalaumu wenzake eti ana mkanda wao wanapanga mauaji, kumbe anatafuta mahala pa kutokea, pole mwigulu kwa hili hali yako mbaya..omba msamaha kwa watanzania kwa kuchochea mauaji
 
Back
Top Bottom