William,
I personally tell you! You are not a ccm material.
Ukiwa mkweli huwezi kuwa Kiongozi wa CCM hata siku Moja.
Moja ya sifa kuu ya kuwa kiongozi wa CCM, Ni kujua kulinda maslahi ya Chama ambayo lazima uwe mwongo pale panapohitajika uongo kwa maslahi ya chama.
kwa ukweli huu, Kuwa tayari kwa Onyo from them
Mlachake hapo pekundu unamtisha, Willy anayajua haya na nina uhakika anaongea na msure wake hali halisi ya chama chao, well kuitetea au kuisemea CCM kwa sasa lazima uwe na uwezo wa kumeza mfupa bila kutafuna, au kama ile sentesi ya kulisemea baba wa taifa kuhusu kulisemea Azimio la arusha....
Kujivua magamba kungeanza kipindi kile kile marehemu Kolimba (RIP) aliposema CCM sasa haina dira wala mwelekeo, sasa kadri siku zilivyopita ndiyo magamba yamekomaa na hayavuliki tena, chama kimebalidilshwa na kuwa cha matajiri na si wakulima na wafanyakazi.
CCM wana kazi kubwa mno, na kwa aina hii ya kasi ya kina NAPE sijui kabisa kama watakiokoa chama, naogopa kusema chama kinaweza kuwafika watu mikononi, bora wewe Malecela Jr unayeandika toka ughaibuni - yaani your safe.