Ccm na chadema, nani atatuangamiza katika hili??

Tuache propaganda katika mambo makubwa yanayoweza kuangamiza Taifa, tujadili issues kwa makini tuone nani kati ya vyama hivi viwili anayetupeleka kusiko ili tuonye na kutoa ushauri kwa kuweka mbele mstakabali wa nchi yetu. Baada ya kuangalia mwenendo wa uchaguzi uliopita, tukaangalia mapokeo ya uchaguzi na mwenendo wa vyama hivi viwili baada baada ya uchaguzi, sasa tunaweza kujadili na kujiuliza Kati ya CHADEMA na CCM:-
  • Nani anahatarisha usalama wa taifa letu?
  • Nani mwenye uroho na uchu wa madaraka?
  • Nani mwenye kutumia udini katika siasa zake?
  • nani asiyekuwa na sera?

CCM anahatarisha usalama wa Taifa - kumbuka ndio mwenye dola na JK ndie Amiri Jeshi Mkuu...

JK na CCM ndio wenye uchu wa madaraka - u can revisit last year's general election na ujambazi wa kisiasa waliofanya CCM dhidi ya nguvu ya UMMA katika U-Raisi hadi ubgunge - achilia mbali kilichotokea kwenye U-Meya AR

Udini - haijawahi kuwa ktk ilani ya CDM - ila imekuwepo katika CCM since 2000, kumbuka mambo ya Mahakama ya Kadhi etc. Lakini pia kumbuka JK amemtumia hadi mkuu wa Central Intelligence Unit kwenye orientation ya wabunge kuwaambia kwamba kuna indicators za udini zinaanza kua, kumbe ni wao ndio walioianzisha to character assassinate the good image of CHADEMA to her laity and the public at large.

CCM hana sera - kumbuka sera za elimu bura hadi Form Six CDM walianzisha CCM wakadai haiwezekani bidae wakasema na wao hadi Form IV, hivyo hivyo kwa vifaa vya ujenzi etc. Kimsingi CCM hawajawhi kuwa na ILANI, ndo maana nafikiri Lipumba aliwapa. Japo akijua atakua sehemu ya CCM Zanzibar...
 
Tuache propaganda katika mambo makubwa yanayoweza kuangamiza Taifa, tujadili issues kwa makini tuone nani kati ya vyama hivi viwili anayetupeleka kusiko ili tuonye na kutoa ushauri kwa kuweka mbele mstakabali wa nchi yetu. Baada ya kuangalia mwenendo wa uchaguzi uliopita, tukaangalia mapokeo ya uchaguzi na mwenendo wa vyama hivi viwili baada baada ya uchaguzi, sasa tunaweza kujadili na kujiuliza Kati ya CHADEMA na CCM:-
  • Nani anahatarisha usalama wa taifa letu?
  • Nani mwenye uroho na uchu wa madaraka?
  • Nani mwenye kutumia udini katika siasa zake?
  • nani asiyekuwa na sera?

Jibu ni ccm.
 
CCM kushindwa kuweka sera yenye kuangalia ajira kwa vijana, wanatutengenezea bomu ambalo litakapo lipuka litasababisha ukosefu wa amani katika nchi yetu. Wameendelea kututawala kwa ujanja ujanja na kutudanganya sasa sijui wananchi watakapojua haki zao na kukataa kutwaliwa kikondoo itakuwaje!!!
 
Uchaguzi tu unabadilisha mwelekeo wa siasa,

Tanzania ccm ndio wanaongoza transition/transformation zote hizo..
 
Back
Top Bottom