CCM- Mnacho kifanya sio kitu kizuri!

si umeona ..waziri mkuu ame enda ...aka toa ahadi wata lipa bilioni ya deni la kutunza samaki.....Duh!!- Tuangalie sheria zetu!! labda zinatutia hasara....!!

tuna sema sana lakini .....
 
Hii inanikumbusha wakati fulani iliundwa tume ya Tuntemeke Sanga iliyoundwa kuchunguza uozo kwenye shirika moja la umma ikatumia hela zaidi ya hela ilizotakiwa kuchunguza,vivyo hivyo samaki wa Magufuli watu walijitokeza wengi wa kutaka kuwanunua lakini ukawekwa ukiritimba wee mpaka misamaki ikadoda na gharama tunalipia walalahoi kwa maana wanaolipa kodi Tanzania ni walalahoi,makampuni makubwa na wafanyabiashara wakubwa hawalipi kodi ati
 
Hamkumbuki sinema ya mapanki iliyochezwa na mzungu waTz tukapiga kelele kweli tumedhalilishwa. Ni kweli sisi hatujipendi kuweza kula vitu vizuri. Vizuri ni vya mzungu na makombo ndio tuliyojidhaminisha nayo. Mfano Magufuli yeye ana kosa gani? Yeye kakamata samaki wa kiwango wanaoporwa na wageni kutuletea sisi wabongo tukakana katu katu hatuwezi kula chakula cha kiwango cha juu. Labda yangeletwa mabaki ya vichwa na mikia pangekuwa hapatoshi kwa jinsi tungeyagombania. Tuulaumu mfumo tuliojijengea na wala sio Magufuli. Magufuli anania ya kurejesha heshima ya nchi na watu wake na rasilimali zao kuheshimiwa ndani na nje ya mipaka. Ndoto hiyo kufikiwa inahitaji gharama ya hali na mali.
 
Hii inanikumbusha wakati fulani iliundwa tume ya Tuntemeke Sanga iliyoundwa kuchunguza uozo kwenye shirika moja la umma ikatumia hela zaidi ya hela ilizotakiwa kuchunguza,vivyo hivyo samaki wa Magufuli watu walijitokeza wengi wa kutaka kuwanunua lakini ukawekwa ukiritimba wee mpaka misamaki ikadoda na gharama tunalipia walalahoi kwa maana wanaolipa kodi Tanzania ni walalahoi,makampuni makubwa na wafanyabiashara wakubwa hawalipi kodi ati

Na wewe mficha uchi unatakiwa udhibitishe....si itakua vichekesho...
 
Samaki wa magufuli mmewakamata..hadi leo hakuna faida yeyote!! Gharama za kuawatunza...Kuna faida gani hapo?

Gharama Tuna so pata sasa Kuzalisha umeme!! kwa siku inatosha ku nunua Solar pannel nyingi kila siku!!..

Hivi kweli mnajua mnayo yafanya?

sio!!

Nimechoka maisha yanazidi kua magumu!!

kwa style hii yako ya kulalamika ili uonewe huruma utachukua miaka 100, hakuna atakayekuhurumia - cha msingi tafuta alternative ways - uliza waboroye atakuambia baadhi. kwa njisi navyoona unakaribia kukata tamaa na sisi wewe tu mwenye tatizo hili ni wadanganyika wengi tu bado wanasubiri ufalme wa duniani ushuke.

Poleni na msiba mlionao wa kusubiria maisha bora uliyoahidiwa 2005, bado muda mnaweza kuyapata kabla ya 2010!!! .......kabla ya wakubwa kurudi kwenu kuomba ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka mingine mitano. CCM ipewe sifaa........
 
sijui nifanyaje...kuandamana siwezi!!...
 
Back
Top Bottom