CCM: Makamba has very Dry words, Please replace Him

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
''Mbunge yeyote anayetaka kuhama CCM kupinga malipo Ya DOWANS basi ahame, Kwasababu alikuja mwenyewe CCM hakulazimishawa"

Source: Nipashe Leo
 
he is a soldier.he believe on command without reflecting the reality
 
Makamba [ Father X-Mas] is a liability to ccm! Kikwete hawezi kumuondoa kwasababu wana siri yao; ni juu ya wanachama wenyewe kuamua kuwa Makamba hawafai na kama Jakaya atamng'ang'ania waondoeni wote kwani chama hiki wamekikuta!!
 
Makamba is great. He wants CCM to die and will accomplish the mission before 2015. God bless him
 
Yaani CCM wanamwona Makamba ni shujaa wao lakini nyie mnamwona ni kilaza!!
 
''Mbunge yeyote anayetaka kuhama CCM kupinga malipo Ya DOWANS basi ahame, Kwasababu alikuja mwenyewe CCM hakulazimishawa"

Source: Nipashe Leo
Tusimpuuze makamba anajua analolifanya, siku akikamilisha mission yake naamini sote tutachekelea maana sisiem itakuwa imebakia historia.
 
NI kweli makamba anakauli kali saana sijui kwanini hajilekebishi!
 
Asante saana mgosi makamba kwa kusaidia kuimalizia CCM, M ungu akuzidishie umri na JK azidi kukuacha kwenye nafasi hiyo ili kazi ya ukombozi ikamilike haraka.
 
CCM contains the seeds of its own destruction..keep on with the force 'don't stop' till u get enough makamba...
 
as dry as a desert! or savanna dry ! Huyu jamaa level yake ni katibu tarafa. His level of analysis of issues and intergration of the situation is abysmal!
 
We we, Kidumu Chama Cha Mapinduzi. Makamba is a very reputable man, a secretary general, and his one word disturb the whole sea of politics, If you dont want to slip try him, he will give you one, yes, one word. He is "appropriate" for CCM. Chama kimepata mkunaji.
 
Huyu jamaa hana sifa ya kuwa katibu mkuu wa chama. Ingefaa awe mhubiri wa mitaani. Thats perfect for him
 
Back
Top Bottom