CCM kuandamana nchi mzima jumapili kuadhimisha miaka 37

Nipo ofisi za ccm mkoa hapa tayari makada waaminifu wameshafika toka saa kumi na mbili kujiandaa na sherehe hizi kabambe.

Kikubwa kuna maandalizi yanafanyika ikiwemo ugawaji wa sare za njano na kijani sambamba na kuwaweka sawa viongozi wa bodaboda kimpunga na kuelekea soweto kuanza matembezi kama si maandamano kama yalivo pewa jina.

Ntawatupia picha humu muone wenzetu walivo choka kiuongozi zaidi mida si punde.
Usitoke.
 
Chadema ni msingi ni zaidi ya matawi ya ccm.imekaa kidigitali zaidi,si lazima kuwe na ofisi na mafail.laptop tu inatosha
 
hivi ccm ilizaliwa tarehe ngap?kweli bado kdogo watabadisha jna kama wameanza kubadirisha tarehe tusubiri na jina pia
 
Nipo ofisi za ccm mkoa hapa tayari makada waaminifu wameshafika toka saa kumi na mbili kujiandaa na sherehe hizi kabambe.

Kikubwa kuna maandalizi yanafanyika ikiwemo ugawaji wa sare za njano na kijani sambamba na kuwaweka sawa viongozi wa bodaboda kimpunga na kuelekea soweto kuanza matembezi kama si maandamano kama yalivo pewa jina.

Ntawatupia picha humu muone wenzetu walivo choka kiuongozi zaidi mida si punde.
Usitoke.

Nimeingia asubuhi hi Mbeya tukiwa na wasanii mbalimbali Hali in Kama jumapili za kawaida. Ni Kama vile hakuna maadhimisho yoyote vile,
.
 
zile kadi 200 za cdm zitarudishwa ili kumhadaa m/kt au hilo zoezi limeahirishwa baada ya kuvuja!!!!! poleni sana magamba!
 
Nikiw safarin toka dom 2 mosh, nimefka arusha ile road ya ktoka mianzin kuja stand kuu, nimekta zomeazomea ya mandamano ya ccm mpk aibu, yan njia nzima wanazomewa,nkawa nawaza ni kosa gn mmewafanyia hawa wananchi? kwel arusha kboko,nlikuw nawasikia tu leo nmeona kduchu!
 
Wana jf,
sikukuu ya kuzaliwa au ya kumbukumbu ya kitu chochote inaadhimishwa kwa tareh yenyew hasa.
Ccm wamechanganyikiwa mpk wakasahau siku ya kuzaliwa kwao et ni tareh 2 badala ya tareh 5,kisa et kupisha watu wafanye kazi.
Swali hiv leo ndo wanajua kuwa huwa walikuwa wanazuia watu kufanya kazi? Kina nan wanaozuiwa kufanya kaz kisa tareh 5 ni siku ya kazi?
Watz wote sasa wamekitosa chama cha ccm.miaka yote mbn walikuwa wakifanya siku za kazi? Sasa kama hujui ipo hv..

1. Ccm wamepangua tareh 5 kwa kuwa wafanyakaz wote wa serikal watakuwa kazin na hakuna cha kuwaokoa zaid ya kuwalazimisha wafanyakaz hao kwenda kujaza uwanja.mf walim,weng wameitosa ccm na habr zinasema kuwa wamelazmishwa kuhudhuria kuondoa aibu.

2.lowasa aliitisha mktn dar,wakaona namna ya kumdhibit ni kufanya shereh tareh hyo hyo.
Maoni; ccm mmeharibu maana halisi ya siku ya kuzaliwa..
 
Toka mwaka juzi hawana jipya tarehe yeyote Feb wanaazimosha siku ya magamba

Mwaka jana yaliumbuliwa bingeni,hayakumbiki hata tarehe ya kuzaliwa chama chao

Shame on them
 
Magamba ni ugonjwa mbaya sana unafafa na ugojwa wa ngozi ukikupata unasababisha akili kurugika na kukosa kumbukumbu. Hali hii ndo imewakumba MaCCM yaani hayakumbuki tarehe ya kuzaliwa kwa chama chao.
 
Niliwajuza kuwaletea update lakn mods wamefuta uzi wangu na kuuleta huku bila content yoyote hili jukwaa linakaz sana yangu macho
 
Wakuu habari za jumapili!ni imani yangu kuwa mko wazima nyote kwa uwezo wake MUNGU.
Leo ni tarehe 2/2/2014 na kule jijini mbeya chama cha mapinduzi kinaadhimisha miaka 37 tangu kuzaliwa chama hicho kikongwe nchini na barani africa.
Kuna jipya huko kwenye hayo maadhimisho?.
Mimi nimezaliwa mwaka 1980,ccm inanizidi miaka mitatu tu.Kuna jambo ambalo mimi sielewi kabisa kuhusu ccm(chama cha mapinduzi).Ni mapinduzi yapi ambayo ccm ilipaswa kuyafanya kwa maendeleo ya watanzania?je,imefanikiwa kuleta hayo mapinduzi?
 
wakuu habari za jumapili!ni imani yangu kuwa mko wazima nyote kwa uwezo wake mungu.
Leo ni tarehe 2/2/2014 na kule jijini mbeya chama cha mapinduzi kinaadhimisha miaka 37 tangu kuzaliwa chama hicho kikongwe nchini na barani africa.
Kuna jipya huko kwenye hayo maadhimisho?.
Mimi nimezaliwa mwaka 1980,ccm inanizidi miaka mitatu tu.kuna jambo ambalo mimi sielewi kabisa kuhusu ccm(chama cha mapinduzi).ni mapinduzi yapi ambayo ccm ilipaswa kuyafanya kwa maendeleo ya watanzania?je,imefanikiwa kuleta hayo mapinduzi?

hakuna mapinduzi hapo, ulaji mtupu
 
yaani nilikuwa nimesahau, hakuna hata live updates za kinachijiri huko mbeya au wameahirisha hiyo sherehe yao mana si humu jf wala kwenye tv 'yao' tbccm.

looh! kumbe wapo nimekumbana nao tbccm nawaona wasanii wa bongo movie, pale uwoya mboto na wengine kibao!!!
 
Back
Top Bottom