Mr Peter Kacheche
Member
- Apr 24, 2012
- 6
- 2
Karibu katika harakati za Ukombozi.
Asante Baba Ritz kwa kutusaidia kuiua CCM.
Yeeh, the wind of change is blowing accross Tanzania, God bless Tz, God less Chadema
Karibu katika harakati za Ukombozi.
Asante Baba Ritz kwa kutusaidia kuiua CCM.
Karibu sana Bananga nimependa paragraph yako ya mwisho kwa jinsi ulivyowaaga CCM.
Tunamsubiri Abdallah Mpokwa aliyekuwa katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha nasikia amehamishiwa makao makuu Dar.
hata baba riz 2015 atahamia huku kwetu pazuri peopleeessss
Bado Semi Kiondo
kwetuu pazuri nimeshapakumbuka ninayohamu kuishi na cdm yng...yng,ona ccm imejaa dhulma km hujui nenda kw raia uone