GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,709
- 109,142
99.9999% ya wote walioshinda, wameshindwa kwa nguvu kubwa ya rushwa(kuhonga) kwa wajumbe na siyo nguvu ya kura za wajumbe makini.
Rais Mstaafu Kikwete ameteuliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa kiongozi wa uangalizi wa uchaguzi mkuu nchini Kenya na huku nyumbani mimi GENTAMYCINE niliamua kujiteua mwenyewe kufuatilia hizi chaguzi za CCM (za matawi, shina na kata). Nilichokiona huko ni rushwa kutembezwa tena wazi wazi bila aibu kwa wajumbe(Wapiga kura) waliokuwepo.
CCM tafadhali kwa maslahi mapana ya chama chenu na mkiwa kama mfano wa kuigwa Tanzania, Afrika na kwa marafiki zenu wachina upesi sana tengueni matokeo na sitisheni kwa sasa chaguzi hizi mpaka huu ugonjwa sugu wa rushwa mlionao mtakapoupatia tiba ya kudumu na wote kupona.