Ccm inavunja sheria za nchi

Msharika

JF-Expert Member
May 15, 2009
947
69
Wapendwa wanajamii,
mwaka jana nilionda BAshe akivuliwa ushindi wa kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM kisa si mtanzania, Je leo imekuwaje CCM inampa kazi mtu asiye raia kuratibu uhai wa chama hicho? Inaudhi sana.

Je nini kifanyike?
 
CCM wanaona watanzania woote hawawezi kufikiri, isipokuwa wao.
 
Kwani kuna mtanzania anaweza kufanya kazi aliyopewa Msomali Bashe?
Kwani kuna Mtanzania anaweza kufanya kazi anayofanya Msomali Kinana - Kampeni Manager.
Kwani hawa sio watanzania?
Mbona Kiduku makamb alimhalalisha Bashe kuwa mtanzania kama waziri wa mambo ya ndani baada ya kuona kuwa amedanganya umma wa tanzania kuwa si mtanzania ?kwani alikosea?si alitumia sheria za hapahapa tz.?
ehh..ehh..aroo...aroo heb amkenyi kweli..au bado mmelala.
Kwani nani asiyejua kuwa Tanzania tunachagua wageni kuongoza hii nchi kwa vijisent na T-Shirt na Kofia za Mo'd Interprise na big-G za Dewji kule Singida?wote hao ni watanzania wazawa halisi nani atabisha?
 
Back
Top Bottom