Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,174
Siku moja baada ya uchaguzi JK kujikuta ni squatter hapo Ikulu.
Hakuna utawala ulionyanyasa wapigakura kama miaka mitano ya JK. Bomoabomoa na unyanganyaji wa viwanja ulishamiri sana kwa wale wenye kipato kidogo kwa visingizio vya fidia ya danganya toto.
Sasa baada ya watanzania kumfuta kazi JK hapo tarehe 31st Oktoba na yeye atajikuta ni squatter hapo Ikulu kama alivyozoea kuwafanya wenzie ma-squatter pale alipowanyanganya viwanja na nyumba zao kwa madai ya kuwafurahishia wawekezajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bomu kutoka nje au upanuzi wa barabara usiomjali mzawa.
U-Squatter wa JK utakwisha siku Dr. Slaa atakapoapishwaaaaaaaaaa na hivyo kumpisha mpagaji huyu mpya hapo Ikulu atakayeingia hapo kwa ridhaa ya watanzania.
Na yeye JK atapata malipo ya uzeeni ambayo Dr. Slaa atayarekebisha ili yarandane na watumishi wa kawaida serikalini
Hapo na yeye JK atajikuta anafanana na walalahoi ambao alizoea kuwatumia atakavyo mara baada ya kumpeleka Mheshimiwa huyu hapo Ikulu lakini yeye aliwatekeleza baada ya kufika huko.