CCM:Inahitaji huruma zaidi ya tuonavyo-KILA SIKU WAMECHELEWA NA HAWAELEWI

mwigulu nae na kadi za kuprit wenyewe na kujidanganya wenyewe ktk majukwaa, sasa wana project ya T-shirt nayo imeshasanuka.Aibu gani cham atawalabadal aya kulala kwa maani wanaishi kamawashirikina, usiku na mchana ktk uovu na kukimbia mwanga ka wachawi.Mipango ya hovo kil akukicha.

Lazima mkijaze kikombe cha uovu ili mpat ehukumu iliyo kubwa zaidi.
 
Haya mauaji ya kijinga ya kusingizia watu ,hasa kiboko yake CDM.Sijui watabebaje huuu mzigo CCM jamani.Mbaya wanapiga tarumbeta kama mtu alieiba supermarket kabla hajajau kuwa kuna scanner mbele.Au mtu aliyeiba simu asiyojua izima na kuizika ktk nyeti bil akujua kelele zake ziatazimwa kwa simu kubipiwa.
 
ccm mama wee.
-vyama vingi walishindwa zuia ingawa walitumia hela yetu kutisha watu nchi nzima kwa sinema za mauaji ya rwanda na burundi.

-mpango wa ugaidi kwa cdm umekufa kwa aibu.

Kushindwa viongozi wa cdm kupitia utabiri wa sheikh yahaya nao ukabuma.

Ukaja mpango wa kuzuia katiba mpya na kufanya marekebisho tuu kuwa iliyopo haina shida.

-sasa kuchagua wajumbe na wawakililishi ccm wamefanya kaz4 kubwa ya bure sasa wanaumbuka km wachawi.
 
-Issue ya ukabila kushne:CCM ndio wamedhihirisha kwa vitendo kuchukia makabila ya kaskazini.
-Ukanda:CCM wamesema wazi kuwa kanda fulani haitakiwi.

-Udini :tayari umethibitishwa na Lipumba na CDM.

-Issue ya vurugu ktk mikutano ya CDM ..CCM na polisi wamenaswa.

-Ugaid hadi hapa tayari CCM ndio vidole ananyooshewa na raia wote.

Sasa kw ahaya yote na mengine kwanini hakuna laiyeamka?
 
Hili la kuchelewa sio issue kubwa sana, game la 2015 bado gumu, ujanja sio kuwahi, bali kupata!. Kuna chelewa ufike!. All and all, nafanya very close monitoring ya situation na nitakuwa nina update positions.

P.
Pasco umepotelea wapi?mbona sasa ni mabomu na si kingine?
 
baada ya project makatibu wakuu kufa km mib ailiyotoka, ukaja ukabila ukafa,ukaja udini nao unakufa, ukaja ugaidi ndio upo ktk hatua za kujichimbia kaburi
 
Pasco umepotelea wapi?mbona sasa ni mabomu na si kingine?
Nipo, mabomu ni sehemu ya oparations, they were pro, sijui ni kwa nini au walimisije the target?!.
Inanjikumbusha ile timu ya kwa Dr. Ulimboka, they were pro but acted as if they were amateurs!.

Inawezekana huu sasa ndio uzalendo wa kweli, unakuwa assigned to finish-off and leave no trail, no trace, you do the job but not finishing off and pretend you've missed the target!.

Hao ni wazalendo, angalau mlipuko umeshuhudiwa!, wangefanya "The Zanzibar style" kwa target to vanish into thin air without any trace or clue, kungeacha maswali mengi kuliko majibu!.

Ugaidi ni ugaidi tuu you never know, may be soon tutakuwa na suicide bombers wetu ambao haya matukio ni rehersals tuu kwa kujaribu kujilipua ili kujenga hoja ya kulipuliwa!.
Pasco.
 
Tunaisubiri ile babu kubwa ya ku act kujipindua ili wawakamate viongozi wa CDM.

Mkuu Pasco,nilihisi siku hiz una ID mbili,na nadhani hili la bomb blast limekuibua......
 
Nipo, mabomu ni sehemu ya oparations, they were pro, sijui ni kwa nini au walimisije the target?!.
Inanjikumbusha ile timu ya kwa Dr. Ulimboka, they were pro but acted as if they were amateurs!.

Inawezekana huu sasa ndio uzalendo wa kweli, unakuwa assigned to finish-off and leave no trail, no trace, you do the job but not finishing off and pretend you've missed the target!.

Hao ni wazalendo, angalau mlipuko umeshuhudiwa!, wangefanya "The Zanzibar style" kwa target to vanish into thin air without any trace or clue, kungeacha maswali mengi kuliko majibu!.

Ugaidi ni ugaidi tuu you never know, may be soon tutakuwa na suicide bombers wetu ambao haya matukio ni rehersals tuu kwa kujaribu kujilipua ili kujenga hoja ya kulipuliwa!.
Pasco.

Teh teh......Mungu yupo ndugu yangu...huwa hatumii sana nguvu kubadili angle kidogo tuu...ktk hali ya kawaida huwezi amini trained killers wameshindwa muua mtu sirini,ila waliweza hadharani walipoonekana...na kwa nyomi ya CDM siku ile....Ukimwona mwigulu ,Nape na wengine waulize.....pale kituo cha basi ilibori ukichanganya wanaosubiri mabasi, jamaa wa toyo na wana ccm na wahudhuriaji hawakufika 45....ila mtaa wa pili tuu walikuwa kama msitu wa magogo Sao Hill..ktk picture wanaoonekana wanaCCM wakisubiri sana....sijui akina mwigulu walikuwa wapi na wanapanga nini?pae soweto nipajuavyo...kuna vimitaa ..na kijana kuchelewa fanya maamuzi ..na alipofanya maamuzi hadi afike ktk kiasi cha kurusha, jamaa wakawa wameshashuka..ni wazi muongozaji alihitaji mahali pa kujibanza ili aangalie wapi amtume mtupaji, ila pale soweto watu walikuwa busy kwenda ktk mkutano..na jmosi watu wapo nyumbani..jamaa inaelekea walikosa sana nafasi ya kujipenyeza hadi mwisho watu walipokuwa wanatawanyika....ni imani yangu aliyetoa maagizo ni public figure na hakupenda onekana.

NINACHOAMINI NI KWAMBA HII MOVE NI ILE VITA DHIDI YA WAKASKAZINI ZAIDI...............NILITAKA JUA KM ELI WAKO NAE ATAKUWA SALAMA KTK HILI?Naona Zitto kafufuka tena ktk online propaganda.Unalisemeaje hilo?Au tuseme EL anaogelea ktk illusion tena atengenze plan kubwa ikishaiva ipo mezani wamgeuke wavune km JK halafu aje lia baadaye tena.Sijui km Ukaskazini wake utamsamahe mbele ya CCM.
 
Mkuu Nico, uchaguzi ndio huu unaendelea, hakuna formular rasmi, kwa vile CCM imeoza rushwa, mwanzo nilidhani wenye kisu kikali ndio watakaokula nyama!, Nimrodi Mkono ni sime ya makali kuwili!, kapigwa chini!.Baadaye nikadhani, uwezo, usafi na uadilifu ni moja ya sifa za kuchagulika!. Sumaye kapigwa chini na Nagu!, kwa uwezo gazi", usafi gani na uadilifu gani?.Mavuvuzela ya CCM wakiongozwa na Nape, Mukama na Chiligati, nilidhani wanachukia ufisadi na walipojitathmini kwa nini kura za JK zilipungua ile 2010, wakajiaminisha ni kutokana na chama kuchafuliwa kwa ufisadi na ndia maana wakaanzisha ile vua gamba!. Kumbe hiyo vua gamba ni danganya toto tuu!. Ingekuwa ni kweli, CCM inachukia ufisadi, nilitegemea uchaguzi huu, ile mtu kunyooshewa tuu kidole cha tuhuma zozote za ufisadi, ingekuwa ni tiketi tosha ya kuwazuia hata kuchukua fomu!. Leo Chenge ndio huyo kapita bila kupingwa!, Watu wa EL ndio hao wanapeta kila kona!. chairman ni weak!, hawezi kufanya lolote!.Nasubiri line-up hiyo November kujiandaa kusherehekea ushindi 2015!.P.
Upo?Upo ward gani sasa hivi?Au ndio unajipanga kw akambi ingine?
 
Ma great thinker katika ubora wao. Hongereni sana. Japo mwenye IQ ndogo kama za magamba hatoelewa neno.
 
Ma great thinker katika ubora wao. Hongereni sana. Japo mwenye IQ ndogo kama za magamba hatoelewa neno.
Hao wamepewa upofu ndio maana sasa hivi wanapongezana kwamba wamemfunga lowasa mdomo..wakati lowasa anafurahia huo ukimya kwa kuwaachia ccm jukumu la kuzima habari ya wafuasi wake wote kuhama,na kuwazuia wasiondoke...
 
Kitendo anachofanya Lowassa cha kukaa kimya huku kila mtu anajua ana donge la kukatwa, sio kizuri, kwa sababu chochote watakachofanya wafuasi wake kama retaliation, itaonekana amewatuma yeye!. CCM ni mafia!, wasije wakamfanyia u mafia kimya kimya, bora aamue moja, au atangaze kumuunga mkono Magufuli na kuwatuliza wafuasi wake, au atangaze kuhama CCM na kujiunga Chadema!.

Huu ukimya wake ni moto-baridi!, anahatari ya kutapikwa kote kote!.

Pasco
 
Kitendo anachofanya Lowassa cha kukaa kimya huku kila mtu anajua ana donge la kukatwa, sio kizuri, kwa sababu chochote watakachofanya wafuasi wake kama retaliation, itaonekana amewatuma yeye!. CCM ni mafia!, wasije wakamfanyia u mafia kimya kimya, bora aamue moja, au atangaze kumuunga mkono Magufuli na kuwatuliza wafuasi wake, au atangaze kuhama CCM na kujiunga Chadema!.Huu ukimya wake ni moto-baridi!, anahatari ya kutapikwa kote kote!.Pasco
utakuwa ni umafia wa kijinga..watasema kawatuma vipi wakati kwa sasa kafuata amri yao ya kutoongea...ni ccm wajiulize km inawezekana awe kimya na hapo hapoa awanyamazishe wafuasi wake?Pasco CCM wameingia vibaya kwa papara...na kuonyesha kutokomaa.Wenzao CDM walimhandle vizuri sana ZZK ingawa media na assets zote za serikali zilikuwa zkimfanyia kazi.Sasa Lowasa amekuja kwa ccm ccm wamekurupuka vibaya na wanaendelea kufanya vibaya.Wamue iwe ya sokoine...wamnyamazishe asiwajibike kwa lolote linaloendelea kwa wafuasi wake, aongee chochote wafuasi wake waseme kaatishiwa halafu waaamue fanya yao.
 
Back
Top Bottom