CCM:Inahitaji huruma zaidi ya tuonavyo-KILA SIKU WAMECHELEWA NA HAWAELEWI

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Nafungua TV namkuta waziri mkuu tayari kwa mwaswli na majibu papo kwa papo.Mtoto wa mkulima anatabasamu, ingawa si tabasamu la kupendeza kwani limejaa kejeli ni mizaha. Anapewa maswali na wapinzania anakuja na majibu duni,ila analazimisha yakubalike na spika anambeba, PM anahisi noma analazimisha jibu mama akiwa anato amaelezo yake. maelezo ya mama nayo yanaonyesha hajaelewa swali.

pm anapewa mwanaccm ambaye anaanza kwa uongo, anaelezea mambo ya kufikirika au hata mamabo ya mitaani(tena miataa ya CCM ndio ina watu wa kuamini au kuongea uongo wa kukusudia), PM naye anajibu kwa staili ya kuongezea uchochezi.Wanapongezana,

Buda si mrefu anasimama tena mpinzani CCM B/C/Orijino. wanajitahidi kuwa katikati kwa kuwashambulia wapinzani rasmi halafu wanarekebisha kwa kuwasifu CCM orijino.

PM hajakaa sawa zimwi linamrudia ,mwendelezo wa maswali ambao hajaweza yajibu,mama anahisi kuwa inakuwa mbaya, anarukia kuokoa jahazi, kabla hajamaliza PM anahisi hatari anakimbilia kujibu, najibu kichovu km anaomba ushawishi wa huruma, raia nje ya bunge wanachoka, wabunge wa rasmi wa upinzani wanajua bado hajajibu wanongeza dozi.Mchezo mzima wabunge wa CCM orijino hawelezi km jinsi viongozi wao wasivyo elewa.

wanasimama tena wabunge wa ccm-orijino wanongea kitu kilichotolewa maelekezo muda mfupi, huku wakianza kwa uchechezi na vitisho kwa raia kuhusu wapinzani rasmi.Ghafala akili inaniamka kuwa CCM wana hofu, wanaogopa uchaguzi kwa vile hakuna hela, wanogopa uchaguzi kwa vile majimboyao tayari wanasema hayana amani, kwani walitishiwa na wakatishika sasa wapo tayari kwa vita na kupoteza amani kabisa.Najiuliza lini wameacha tishia wenyewe kuwa wasijipitishe majimbo ya wenzao, na sasa wanataka wapiga mkwara wapinzani.....

Kabla sijamaliza tafakari kauli za woga, kukata tamaa kwaa wabunge wa ccm,ugumu wa kubalance kt ya kuokoa chama au kujiokoa, anasimama jamaa wa Upinzani rasmi anauliza swali hata mimi nilipenda kuliuliza kwa PM...majibu yake yote,project zake zote zimekwama.Na leo mshirika wake ambaye kamshinda ktk dialogue "presidaa wa Madaktari" katekwa kipuuzi, kateswa kinyama, na kapona kibahati ....PM anakuja na majibu ambayo hata wanywa gongo mitaani hawana mashaka wananyooshea mikono serikali, wanashangaa makomandoo wetu ndicho walichoweza achieve?

Wanashangaa kuwa cream yote ya ccm haina anything smart and dissent for a day? MSEMAJI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI KAMBANA PM MARA MBILI AJIUDHULU.PM kusaidiana na akina mama wakajibu kikorofi na kwa aibu.Ila ukweli ni kuwa msemaji alianza kwa hilo PM akajibu bila kujua si mara ya kwanza maswali ya upinzani huwa yanamtega kwa swali lifuatalo.Akthibtisha kuwa ameshindwa kisha akaambiwa wazi kuwa ajitoe tuu.PM na mama wakaamua kwenda kama mob.

Ki ukweli ni kwamba kila raia yupo sympathetic kwa Ulimboka, kila mtu hanunui idea kuwa kuna watu wanachanga hela kuwahonga madaktari, watu hawanunui habari kuwa amani itatoweka kama hakuna CCM kwani kila siku, nahata bungeni msemaji wa upinzani alihusisha ccm na mauaji na hawakuweza toa majibu.

CCM wamejiloga na propaganda zao wenyewe, ccm wamezidisha hofu kuhusu CHADEMA NA HATIMA YAO kiasi cha kushindwa fanya chochote ktk mpangilio safi.CCM wamekuwa wapinzani ktk utawala wao.Hawafanyi tena hata mambo wayawezayo vyema kwa ufanisi.Raia wanateseka, raia wanalia, wao wanalia.Wanaleta hofu, hawajui kuwa raia wakipata hofu sana baadaye huiondoa, na wanaweza iondoa vibaya.

Nashauri PM ajipange, na ule unyago wa wabunge aufanyao kabla ya bunge ili kuikabili CDM aachane nao , awape wabunge uhuru watumie fikra, waongee mamabo ya watanzania, na yanayowashinda wasisingizie mtu wala kutengeneza sifa mbaya kuhusu CDM km za igunga.Kwa raia siku hizi hawaiamini CCM siku hizi kuliko chochote.PM asifanye mzaha na maswali ya CDM kwani ktk bunge hili hakuna swali PM kaweza jibu.Na dharau zake zimemponza kwani akijibu la kwanza kwa kebehi la pili linakuwa gumu zaidi.
 
Ccm ni kama kupe:
Ng'ombe anachinjwa kupe hana habari!!!
Ng'ombe anachunwa kupe hana habari!!!!
Ngozi inawambwa kupe hana habari!!!!
Ngozi ikianza kukauka kupe ndo anastuka!!!!"

Alaa! Huyu ngo'mbe kumbe keshachinjwa!!!
 
Hii post inahusu nini?
Radhia, humu jf tuna ma great thinkers wa viwango na viwango, hivyo kuna thread nyingine zinawalenga wale wa viwango vya juu sana kiasi kwamba sisi wa viwango vya kati na vya chini, tuatoka kapa kabisa!.

Kwa thread hii, na mimi pia nimetoka kapa kabisa, ila lazima nikiri wazi, level yake ni ya juu sana, tangu ilipopostiwa ile June 29, ilipata wachangiaji wawili tuu, wewe ukiwa mmoja wapo!. leo tena imeongeza mchangiaji mmoja mimi!. Wee subiria tuu wakija wenyewe watachangia ndipo nasi angalau tutafaidika!.
 
Well, pasco naona unakuza mambo makusudi.Hembu tuambi kinachoendelea ktk chaguzi za CCM sasa hivi?
 
Well, pasco naona unakuza mambo makusudi.Hembu tuambi kinachoendelea ktk chaguzi za CCM sasa hivi?
Mkuu Nico, uchaguzi ndio huu unaendelea, hakuna formular rasmi, kwa vile CCM imeoza rushwa, mwanzo nilidhani wenye kisu kikali ndio watakaokula nyama!, Nimrodi Mkono ni sime ya makali kuwili!, kapigwa chini!.

Baadaye nikadhani, uwezo, usafi na uadilifu ni moja ya sifa za kuchagulika!. Sumaye kapigwa chini na Nagu!, kwa uwezo gazi", usafi gani na uadilifu gani?.

Mavuvuzela ya CCM wakiongozwa na Nape, Mukama na Chiligati, nilidhani wanachukia ufisadi na walipojitathmini kwa nini kura za JK zilipungua ile 2010, wakajiaminisha ni kutokana na chama kuchafuliwa kwa ufisadi na ndia maana wakaanzisha ile vua gamba!. Kumbe hiyo vua gamba ni danganya toto tuu!. Ingekuwa ni kweli, CCM inachukia ufisadi, nilitegemea uchaguzi huu, ile mtu kunyooshewa tuu kidole cha tuhuma zozote za ufisadi, ingekuwa ni tiketi tosha ya kuwazuia hata kuchukua fomu!. Leo Chenge ndio huyo kapita bila kupingwa!, Watu wa EL ndio hao wanapeta kila kona!. chairman ni weak!, hawezi kufanya lolote!.

Nasubiri line-up hiyo November kujiandaa kusherehekea ushindi 2015!.
P.
 
Nashawishika kusema kuwa bado humu ndani hatukuwa tukikufahamu,tulikuwa tukidhani umepoteza uzalendo sana kiasi cha kutoona jinsi gani CCM walivyojiharibu na kufikia mahali pa kuwa tataizo hata kwa wasiokuwa wana CCM achia kuua kabisa utaifa wetu.

Kwa haya uliyooandika ni wazi kuwa kuna mambo ya CCM kweli yamekutia hata wewe kichefuchefu.Posting yangu ilikuw ana lengo la kuonyesha jinsi gani CCM wanakuwa behind the schedule.Na mara zote hukurupuka kw ahofu ya wanachokiona kwa CDM bila kujua CDM walijiandaa long time sana kuja mletea CCM dhoruba hivi sasa.Sasa hivi CCM wanakimbizana kuziba matokeo.

Mfano wa issue ya malawi ndio wanakusanya ushahidi sasa hivi?Walipaswa wakusanye siri kwa kipindi chote cha mizozo.Tazama issue ya Ulimboka wanamfix kiongozi badala ya kufix problem iliyofikisha hapo, tazama issue ya Mwangosi wanakimbilia wagawa waandishi,ila hawajui mwandishi mmoja makini anaweza wamaliza kwa kalamu yake, yote hii ni kuwa saa zote wamechelewa .Kwa sasa wanakimbizana na events .Na wala si courses.
 
Hili la kuchelewa sio issue kubwa sana, game la 2015 bado gumu, ujanja sio kuwahi, bali kupata!. Kuna chelewa ufike!. All and all, nafanya very close monitoring ya situation na nitakuwa nina update positions.

P.
 
Nafungua TV namkuta waziri mkuu tayari kwa maswali na majibu papo kwa papo.Mtoto wa mkulima anatabasamu, ingawa si tabasamu la kupendeza kwani limejaa kejeli ni mizaha. Anapewa maswali na wapinzani anakuja na majibu duni,ila analazimisha yakubalike na spika anambeba, PM anahisi noma analazimisha jibu .Mama akiwa anatoa maelezo yake. maelezo ya mama nayo yanaonyesha hajaelewa swali.

PM anapewa mwanaccm ambaye anaanza kwa uongo, anaelezea mambo ya kufikirika au hata mambo ya mitaani (tena mitaa ya CCM ndio ina watu wa kuamini au kuongea uongo wa kukusudia), PM naye anajibu kwa staili ya kuongezea uchochezi.Kisha CCM Wanapongezana,

Muda si mrefu anasimama tena mpinzani CCM B/C/Orijino. wanajitahidi kuwa katikati kwa kuwashambulia wapinzani rasmi halafu wanarekebisha kwa kuwasifu CCM orijino.

PM hajakaa sawa zimwi linamrudia ,mwendelezo wa maswali ambao hajaweza kuyajibu,mama anahisi kuwa inakuwa mbaya, anarukia kuokoa jahazi, kabla hajamaliza , PM anahisi hatari anakimbilia kujibu, anajibu kichovu km anaomba ushawishi wa huruma, raia nje ya bunge wanachoka, wabunge wa rasmi wa upinzani wanajua bado hajajibu , wanongeza dozi.

Mchezo mzima wabunge wa CCM orijino hawauluewi kama jinsi viongozi wao wasivyo elewa. wanasimama tena wabunge wa ccm-orijino wanaongea kitu kilichotolewa maelekezo muda mfupi, huku wakianza kwa uchochezi na vitisho kwa raia kuhusu wapinzani rasmi. Ghafla akili inaniamka kuwa CCM wana hofu, wanaogopa uchaguzi kwa vile hakuna hela, wanogopa uchaguzi kwa vile majimbo yao tayari wanasema hayana amani, kwani walitishiwa na wakatishika sasa wapo tayari kwa vita na kupoteza amani kabisa. Najiuliza lini wameacha tishia wenyewe kuwa wasijipitishe majimbo ya wenzao, na sasa wanataka wapiga mkwara wapinzani.....

Kabla sijamaliza tafakari kauli za woga, kukata tamaa kwa wabunge wa ccm, ugumu wa kubalance kati ya kuokoa chama au kujiokoa, anasimama jamaa wa Upinzani rasmi anauliza swali hata mimi nilipenda kuliuliza kwa PM...majibu yake yote,project zake zote zimekwama.
Na leo mshirika wake ambaye kamshinda ktk dialogue "presidaa wa Madaktari" katekwa kipuuzi, kateswa kinyama, na kapona kibahati ....PM anakuja na majibu ambayo hata wanywa gongo mitaani hawana mashaka wananyooshea vidole serikali, wanashangaa makomandoo wetu ndicho walichoweza achieve? Wanashangaa kuwa cream yote ya ccm haina chocote smart and dissent for a day?

MSEMAJI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI KAMBANA PM MARA MBILI AJIUzulu.PM kusaidiana na mama wakajibu kikorofi na kwa aibu.Ila ukweli ni kuwa msemaji alianza kwa hilo PM akajibu bila kujua si mara ya kwanza maswali ya upinzani huwa yanamtega kwa swali lifuatalo.Akithibtisha kuwa ameshindwa kisha akaambiwa wazi kuwa ajitoe tuu.PM na mama wakaamua kwenda kama mob.

Ki ukweli ni kwamba kila raia yupo sympathetic kwa Ulimboka, kila mtu hanunui idea kuwa kuna watu wanachanga hela kuwahonga madaktari, watu hawanunui habari kuwa amani itatoweka kama hakuna CCM kwani kila siku, nahata bungeni msemaji wa upinzani alihusisha ccm na mauaji na hawakuweza toa majibu.​

CCM wamejiloga na propaganda zao wenyewe, ccm wamezidisha hofu kuhusu CHADEMA NA HATIMA YAO kiasi cha kushindwa fanya chochote ktk mpangilio safi.CCM wamekuwa wapinzani ktk utawala wao.Hawafanyi tena hata mambo wayawezayo vyema kwa ufanisi.Raia wanateseka? (BILA SHAKA RAIA WANATESWA NA CCM), raia wanalia, wao wanalia (CCM WANAJILIZA).Wanaleta hofu, hawajui kuwa raia wakipata hofu sana baadaye huiondoa, na wanaweza iondoa vibaya.

Nashauri PM ajipange, na ule unyago wa wabunge aufanyao kabla ya bunge ili kuikabili CDM aachane nao , awape wabunge uhuru watumie fikra, waongee mambo ya watanzania, na yanayowashinda wasisingizie mtu wala kutengeneza sifa mbaya kuhusu CDM km za igunga.Kwa raia siku hizi hawaiamini CCM siku hizi kuliko chochote.PM asifanye mzaha na maswali ya CDM kwani ktk bunge hili hakuna swali PM kaweza jibu.

Na dharau zake zimemponza kwani akijibu la kwanza kwa kebehi la pili linakuwa gumu zaidi.

My take:
Nicholas ukiacha makosa ya kisarufi ujumbe wako murua, CCM kama wana masikio na wasikie. Lakini hali ilivyo sasa, CCM hawasikilizani wao kwa wao na kamwe hawamsikiizi yeyote, maana kwao CCM , mwaka 2015 nchi itakuwa haina mwenyewe hivyo wataumizana sana kwa vijembe na matusi huku wakiendelea kuwatesa zaidi wananchi
 
Ktk miaka ya karibuni pamekuwa na kasi ya siasa za CCM kushindwa .Cha kushangaza CCM haijui ni project gani imeshashindwa na inabidi simamishwa kama failed projects, badala yake wamekuwa wakiirudia bila mikakatai na kuwekeza nguvu na rasilimali bila kuw ana mtu yoyote anayeona tatizo.

--Kilimo kwanza kimeyeyuka.
-Kuweka mamluki CDM kumecheua.
-Kuvua magamba kumecheua.
-Kuwatumia viongozi wa CCM mahali pa Mawaziri wakiongozw ana Kinana (udhaifu mwingine wa kutojua katiba ya nchi na ya Chama).

-Kupiga vita rushwa na ufisadi.

-n.k

Hayo ni baadhi tuu ya mambo CCM wameshindwa ila hakuna project manager anayejua wala kuona hilo.Haya ndiyo yatokeayo pale panya na waharibifu wengine wa nchi wakiwa busy kuharibu nchi huwa CCM hawana pinti wala indicator y akuonyesha wapi panastahili kutangaza kuw aproject ni failur.

NIngependa Nnauye J. angekuja na kutuambia kama wanakosa project manager basi wapite mitaani watakuta raia wengi tuu wa kuwambia wapi project imeshashindwa na kuendelea wekeza hela na rasilimali nyingine ni ufujaji.
 
mkuu, kenge huwa hasikii mpaka umtandike hadi damu zimtoke maskioni ndo ataskia.
CCM wana tatizo kubwa la ombwe (vacuum) na siku zote unaposhindwa kuziba ombwe hilo matokeo yake hutokea nguvu ya asili na kuziba ombwe hilo. so ccm kutolewa madarakani ni nafasi pekee ya kuziba ombwe hili na ndio solution pekee iliyobaki.
 
Wanaonekana project managers wao hawajui wapi project imeshindwa au imefanikiwa, wao zote wanaziita mafanikio na bado wanaongeza juhudi kuzipeleke resources.Hii ni ishara kuwa CCM haina kitu ilani sahihi, wala criteria za kupima mafanikio au kushindwa.Ndio maana hawapo sensitive kabisa wala hawajui kuwa watu wanajua kuwa hilo lichama halina criteria za kupima mipamno yao.Ndio maana kila kitu kinapigiw amakofi hata kama kimeshindwa.
 
Tatizo kubwa la CCM ni kufanya mambo kwa kuiga, matokeo yake mambo yao yanakuwa hayana mshukumo wa kutosha na kuishia njiani.

sipati picture lini watajua kuwa project zilizoshindwa ni nyingi sana kiasi cha kuwamaliza nguvu zao zote bila kuzimaliza hata moja.Sijui kama wataweza tena bandu ahta gamba moja,au hata hadi JK alizokuwa akitoa kama vile mwanamume anayepewa masharti na mwanamke ktk ya kilele cha mapenzi.

Jk alikuwa too desperate kiasi ch akuahidi mbingu na nchi.SASA WANATUPELEKEA NCHI YETU KUWA FAILED STATE huku wakiw ahawajui.
 
CCM watategemea kuwa na political enemies na matukio ili wabali ktk highlights hadi lini?matukio yatokeayo ndio yanawafanya CCM wajue nini cha kufanya na si kufanya waliyopanga wao wenyewe.Sasa wanakimbizana na CDM kw akiasi ch akuifuata ilani yao CDM.

Sijui nani ataamka na kusema kuwa wapi wamefail ili waanza mambo mapya.
 
Kwa Taarifa yako:

wabunge wa ccm washakimbia majimboni kwao wanaogopa kukutana na wanainchi:

  1. kuitisha mkutano ni gharama ....pilau...kuhonga watu...(mtoto umleavyo ndivyo akuavyo)
  2. kukosa watu katika mikutano...hunalakuwaambia wanainchi
  3. kutabiri kushindwa na upinzani 2015....kupata hasara ya fedha za kukodisha maroli, pilau nk
  4. ufisadi wa kutisha wa viongozi wa juu ccm....kichwa cha treni kikiacha njia mabehewa hupandana
  5. AHADI HEWAAAAAAAAAAAAAA
  6. WANAINCHI WENGI kuendelea KUHITIMU ELIMU YA URAIA VIA M4C....ELIMU KWA VITENDO

.....meli imeshazama sasa ni kujiokoa tu... ANAYE AFIKI ASEME NDIYOOO..........majimbo yako waziiiii.....baada ya wabunge kukacha sailensi (kimyakimya) waliopewa uwaziri na ulaji wa Lumumba ndio mzigo wa kuokoa jahadhi wamekabidhiwa.....

makamanda tujipange watu wameshakimbia uwanja wa mapambano....wamebaki na kituo cha lumumba.....
UDAKU FM

Sasa CCm haina uongozi.Hakuna hata wa kuwaambia wa call a day kwa project zilizoshindwa.Inanikumbusha mashirika yaliyotaifishw ana serikali.CCM walifiia mahali apa kuwaacha walinzi wajilipe na kujinunulia hata betri za torch kw akupangisha magodown, kuangsiha watu ktk vyumba.SIjui itakuweje kwa hizi political projects.
 
mkuu, kenge huwa hasikii mpaka umtandike hadi damu zimtoke maskioni ndo ataskia.
CCM wana tatizo kubwa la ombwe (vacuum) na siku zote unaposhindwa kuziba ombwe hilo matokeo yake hutokea nguvu ya asili na kuziba ombwe hilo. so ccm kutolewa madarakani ni nafasi pekee ya kuziba ombwe hili na ndio solution pekee iliyobaki.

Mkuu,

CCM haipo! hata huyo unaedhani ni kenge hayupo kesha kufa siku nyingi, kilichobaki ni serekali tu. Hao unaowaona wanavaa kijani either wana madaraka serikalini, au wanayawinda, au wanajiweka karibu na watawala ili kuendeleza uvinjaji sheria kama vile kutengeneza ARV feki nk. Nakwambia ukweli, bila serikali CCM haitakuwepo, labda kitabaki kile kitengo cha uchumi kinachoendesha rasilimali walizojipatia kupitia fedha za walipakodi kama viwanja vya michezo (majimaji, Kirumba etc). KANU ilikuwa hivi hivi kabla ya kutoka madarakani, baada ya kuangushwa kikabaki kiduchu!! ambacho bila coalition hakiwezi hata kuota ndoto ya kushinda uchaguzi wowote, so ni kama hakipo.

Serikali ipo, ndio ni ya CCM kwa vile kikatiba lazima iundwe na chama cha siasa, but CCM as a political party imeshakufa bado mazishi tu!!

Kwa hiyo tujiandae kwa mabadiliko kwa vile 2015 sio mbali, dalili zote ziko wazi
 
Back
Top Bottom