CCM hakuna demokrasia. Kama Mwenyekiti anakuwa na maamuzi kuzidi wajumbe majimboni haina maana ya kura za maoni majimboni. Mwenyekiti ana watu wake

".... kwanza hana uhakika kama atashinda kura za maoni na inawezekana akashinda na bado nikamfuta, inategemea siku hiyo nimeamkaje..."

Tusome katikati ya mstari... "inawezekana akashinda na bado nikamfuta"

Mwenyekiti ana wagombea wake wa mfukoni, na wajumbe wa kura za maoni wasijisumbue.
Kauli mbofu mbofu
 
Kuna principles nyuma yake ndio maana watu wanakatwa inaweza kuwa misimamo ya wagombea aiendani na itikadi ya chama, inaweza kuwa chama akielewi source za mapato yao, uwezo wao mdogo kutokana na changamoto za jimbo (sio majimbo yote unaweka tia maji tia maji) etc sio kwamba wanajikatia kuna sababu.

Kwenye CCM ya Magu walioteuliwa wametakiwa kutojiingiza huko kama wanataka kubaki kwenye nafasi za uteuzi (awajuzuiliwa). Kumbuka tu asilimia kubwa ya Ma RC, RAS, DC, DAS wengi ni makapi walioshindwa kura za maoni 2015 au vijana CCM inawao wapika, hizo nafasi wamepewa kiupendeleo there are scores of qualified ppl who have been overlooked wanajikuta wanawafundisha kazi mabosi ambao walitakiwa kuwa chini.

As far as Magu is concerned he has done them a favour vinginevyo wangekuwa wanaunga unga kitaa, kwa hiyo watulie. Kama awataki sawa hila yeye atachukua nafasi awape wengine. Na akiamka vibaya atawakata ata huko CCM pengine kwa mtazamo wake ni ungretful individuals (hila nina uhakika due process zitafuatwa).
Kumbe ni CCM ya Magu apo sawa ...maana Nilijua kua ni CCM ya wanaccm.
Tuendelee kusoma ili tuwe wajinga zaidi
 
Hangaikeni kwanza na chadema yenu, toka siku mwenyekiti alipochukua fomu wote mmekuwa baridi hata jina la Tundu lisu kimefutika kinywani mwenu.

Mpaka sasa hamjuini nani atapambana na Raisi magufuli. Mnategemea miujiza, yala maneno twende na tundu lisu mnaogopa kuyasema kwa sasa.
Muda ukifika tutajua,kwa nini mmetoa fomu moja?wabakaji wa demokrasia CCM
 
".... kwanza hana uhakika kama atashinda kura za maoni na inawezekana akashinda na bado nikamfuta, inategemea siku hiyo nimeamkaje..."

Tusome katikati ya mstari... "inawezekana akashinda na bado nikamfuta"

Mwenyekiti ana wagombea wake wa mfukoni, na wajumbe wa kura za maoni wasijisumbue.
CCM mpya inakuja. Baada ya Novemba CCM asilia byebye!
 
Kumbe ni CCM ya Magu apo sawa ...maana Nilijua kua ni CCM ya wanaccm.
Tuendelee kusoma ili tuwe wajinga zaidi
Ungekuwa umesoma mambo ya leadership ungeelewa ni namna gani kiongozi ana influence direction ya taasisi katika muda wake.
 
Yaani huwezi amini hawa wote ni kama mizigo tuu ndani ya chama cha mapinduzi.
Wanahaja gani kujiita wajumbe wa Central Committee lakini maamuzi "inategemea siku hiyo nimeamkaje"
Wapo kikaoni kazi kujichekesha chekesha kwenye nyimbo za kumsifu "yesu wa ccm".
Hii ni aibu kujiita mwanaccm kwa mtu yeyote anaye jiamini

".... kwanza hana uhakika kama atashinda kura za maoni na inawezekana akashinda na bado nikamfuta, inategemea siku hiyo nimeamkaje..."

Tusome katikati ya mstari... "inawezekana akashinda na bado nikamfuta"

Mwenyekiti ana wagombea wake wa mfukoni, na wajumbe wa kura za maoni wasijisumbue.
Ndio tunaona udikteta Tz hii sasa.
 
Demokrasia ndo kiini Cha umaskini sababu ziko wazi kabisa Kuna wakati tukisema tutumie uchaguzi tu kumpata mtu atakae tuongoza tutakwama kwa sababu wataochaguliwa wanaweza kuwa sio watu sahihi Ila ni hitaji la wengi kwaio kwa kuliona ilo kura za maoni zinaweza kukupa nafasi ya Kwanza lakini tathimini ya kina ikifanyika ukaonekana sio mtu sahihi utatolewa atawekwa mtu sahihi kwa MASLAHI mapana ya taifa letu. JPM 2020-2025
Huyo mtu anayechagua watu sahihi mbona amekuwa akiwafukuza hao watu sahihi
 
Walim
".... kwanza hana uhakika kama atashinda kura za maoni na inawezekana akashinda na bado nikamfuta, inategemea siku hiyo nimeamkaje..."

Tusome katikati ya mstari... "inawezekana akashinda na bado nikamfuta"

Mwenyekiti ana wagombea wake wa mfukoni, na wajumbe wa kura za maoni wasijisumbue.
Shangilia alipokuwa an a was high bulimia wapinzani, sasa ni zamu yao na bado. Wasubiri ashinde/atangazwe 2020 ndiyo watafahamu uzuri wa siri ya kumsukumizia MTU huko.
 
Muda ukifika tutajua,kwa nini mmetoa fomu moja?wabakaji wa demokrasia CCM

Unafikili kuna mtu atakuja kuiwajibisha CCM?
Msaada pekee alionao Membe ama astaafu siasa au aende Chadema ili apambane na magufuli,

Zaidi ya hapo hakuna mtu atamsaidia iwe nje ya nchi au ndani ya nchi.
Ukiwa na akili utaelewa, kwa kuwa haya yanatokea dunia nzima.
 
Back
Top Bottom