CCM haijajenga UDOM bali NSSF ambazo ni pesa za Watanzania!!!

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,608
8,746
Kuna watu wanaendelea kusema UDOM imejengwa na chama tawala hili sio la kweli UDOM mpaka sasa imekopa pesa za majengo ambayo yametoka kwenye NSSF na nyingine kwenye misaada kama Bill Gate Foundation and IBM. Hili sio swala la kisiasa na chuo hiki kimejegwa wakati wa Mkapa na kufunguliwa wakati wa Kikwete. Watu kusema kwamba chuo hiki kimejegwa na Chama si kweli na misaada Tanzania inayopata kutoka nje siyo ya Chama bali ni ya nchi.
 
Back
Top Bottom