Hivi tatizo ni kukosa Elimu,Uelewa au Exposure?

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Nimekuwa nikifuatilia mambo yanayoendelea kwenye hii nchi nabaki kushangaa tu kama mtalii!

Ukiangalia hata mambo madogo tu ya mtu mmoja mmoja bado ni tatizo kubwa mno!,Hivi Tatizo ni nini?

Nimekuwa nikipitia mitandao kadhaa ya kijamii na kuona namna watu wanavyolalamika huduma mbovu zinazotolewa na taasisi za Umma,yaani unaweza kusema labda tumelaaniwa vile!

Nimeshangaa kuona Chuo kama UDOM eti kinakosa Maji ya kutumia,Vyoo na miundo mbinu ya maji taka ni imeoza!,Sasa nikawa najiuliza ni nani atakuja kuutatua huo Mkwamo kama wasomi wenyewe hapo Chuoni wameshindwa?,Yaani Kuhusu Usafi wa Vyoo hapo Chuoni hadi Rais atoe maagizo,Hivi ni kwamba hii Ngozi nyeusi ina laana au ni Kwamba tumerogwa?

Yaani chuo Kikuu na kikubwa hapa nchini mnataka kuniambia hadi kusafisha vyoo hadi Rais aseme?

Achana na hilo la chuo

Nenda pale JKNIA ukajionee vyoo vilivyo vichafu,yaaani ni aibu tupu!,kibaya zaidi lile Jengo la Abiria Mvua zikinyesha mabati yanavujisha maji kama mtoni!,Hivi haya mambo ni kwamba waliopewa dhamana hawayaoni au ni nini tatizo?

Achana na hilo la Airport

Nenda uwanja wa michezo wa Benjamini Mkapa ukajionee mavi kwenye vyoo yanavyo shangilia na kupiga Vigelegele Juu ya Masinki!,Maji yenyewe huwa ni changamoto!.

Uwanja mzuri kama ule unakuja hauna mifumo ya maji bali maji wanajaza kwenye Mapipa!

Nadhani hii ngozi nyeusi kuna namna ililaanika kwasababu mambo tunayoyafanya hayawezi kufanywa na Binadamu mwenye Akili zake timamu!.

Achana na hayo yote!

Nenda ukaangalie pesa zinavyoliwa huko wilayani,Barabara zimejaa vifusi na mashimo lakini kutengenezwa ni shida!

Unakuta Mkandarasi anamwaga kifusi Barabarani huku akielewa kabisa hiyo Barabara ndiyo inayotumika wakati wote na hajasawazisha kwa takribani mwaka mzima,sasa unabaki kujiuliza kama alikuwa hayuko tayari kusawazisha kwa muda huo kwanini alimwaga kifusi kinachozuia watu kupita na magari yao?

Nimekuwa sehemu fulani wakati Barabara inajengwa kwa Zege,yaani mafundi walikuwa wanaiba Cement kwa siku mifuko 100,ile barabara hadi leo imeshindwa kukamilika na mkandarasi kaingia mitini,Mkurugenzi yupo,Mkuu wa Mkoa na Wilaya wapo wanakula bata tu!

Yaaani kiukweli ukiwa na akili timamu kwenye hili Taifa utaumia sana,ukitaka uishi kwa amani labda uwe Mwehu!
 
Kula bia mkuu,mambo yao waachie wenyewe,

Njoo bar ya chuo cha jeshi huku upombeke
 
Hii nchi ukiwa serious sana utakufa kwa presha ama kisukari !

Wanasema dili na yako !
Mkuu unaweza kudili na yako lakini bado ukajikuta matatizo yanayosababishwa na wapumbavu yakafanya mambo yakawa hayaendi!
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Nimekuwa nikifuatilia mambo yanayoendelea kwenye hii nchi nabaki kushangaa tu kama mtalii!

Ukiangalia hata mambo madogo tu ya mtu mmoja mmoja bado ni tatizo kubwa mno!,Hivi Tatizo ni nini?

Nimekuwa nikipitia mitandao kadhaa ya kijamii na kuona namna watu wanavyolalamika huduma mbovu zinazotolewa na taasisi za Umma,yaani unaweza kusema labda tumelaaniwa vile!

Nimeshangaa kuona Chuo kama UDOM eti kinakosa Maji ya kutumia,Vyoo na miundo mbinu ya maji taka ni imeoza!,Sasa nikawa najiuliza ni nani atakuja kuutatua huo Mkwamo kama wasomi wenyewe hapo Chuoni wameshindwa?,Yaani Kuhusu Usafi wa Vyoo hapo Chuoni hadi Rais atoe maagizo,Hivi ni kwamba hii Ngozi nyeusi ina laana au ni Kwamba tumerogwa?

Yaani chuo Kikuu na kikubwa hapa nchini mnataka kuniambia hadi kusafisha vyoo hadi Rais aseme?

Achana na hilo la chuo

Nenda pale JKNIA ukajionee vyoo vilivyo vichafu,yaaani ni aibu tupu!,kibaya zaidi lile Jengo la Abiria Mvua zikinyesha mabati yanavujisha maji kama mtoni!,Hivi haya mambo ni kwamba waliopewa dhamana hawayaoni au ni nini tatizo?

Achana na hilo la Airport

Nenda uwanja wa michezo wa Benjamini Mkapa ukajionee mavi kwenye vyoo yanavyo shangilia na kupiga Vigelegele Juu ya Masinki!,Maji yenyewe huwa ni changamoto!.

Uwanja mzuri kama ule unakuja hauna mifumo ya maji bali maji wanajaza kwenye Mapipa!

Nadhani hii ngozi nyeusi kuna namna ililaanika kwasababu mambo tunayoyafanya hayawezi kufanywa na Binadamu mwenye Akili zake timamu!.

Achana na hayo yote!

Nenda ukaangalie pesa zinavyoliwa huko wilayani,Barabara zimejaa vifusi na mashimo lakini kutengenezwa ni shida!

Unakuta Mkandarasi anamwaga kifusi Barabarani huku akielewa kabisa hiyo Barabara ndiyo inayotumika wakati wote na hajasawazisha kwa takribani mwaka mzima,sasa unabaki kujiuliza kama alikuwa hayuko tayari kusawazisha kwa muda huo kwanini alimwaga kifusi kinachozuia watu kupita na magari yao?

Nimekuwa sehemu fulani wakati Barabara inajengwa kwa Zege,yaani mafundi walikuwa wanaiba Cement kwa siku mifuko 100,ile barabara hadi leo imeshindwa kukamilika na mkandarasi kaingia mitini,Mkurugenzi yupo,Mkuu wa Mkoa na Wilaya wapo wanakula bata tu!

Yaaani kiukweli ukiwa na akili timamu kwenye hili Taifa utaumia sana,ukitaka uishi kwa amani labda uwe Mwehu!
Dah,,,,hivi ndo nini hiki?
 
Back
Top Bottom