Chadema ndio muna wasomi ila hamuwezi kupigana vita viwili wka wakati mmoja itakuaje leo Mupigane na CCM upande wa Pili pia mupigane na Chama Kikubwa cha Upinzani CUF munawa confuse Watanzania na kuwarudisha nyuma katika harakati za kupigania ktiba mpya ya Tanzania chagueni less eviil muunge nguvu ya kuleta mabadilik o Tanzania , Historia itakuaja kwuahukumu Chadema kwa kurudisha nyuma harakati za mchakato wa mabadiliko Tanzania na mwishoni umwagikaji wa Damu. Sio sisri CCM wanataka kuyateka mageuzi kwa mlango wa Nyuma ndio tukaona Viongozi waandamizi wa CCM Nape na Ridhwani wako nje kutafuta maon i ya vijana wa CCM . CCM sasa hivi wanataka kuwapoteza Viijana kwa kuja na wazo la kuunda umoja wa vijana wa Tanzania utakaoongozwa na wanaharakati wa CCM kwa kujifanya wao hawataki siasa za vyama na kuteka nguvu za vijana badala ya ku focus na kupigania katiba vijana watakua wanapiganai nafasi kwenye umoja wa Vijana unaoanza kuundwa nje ya nchi na watu kuanza kugawana vyeo kwa ushauri wa NApe na Ridhwani .
Chadema musikubali kufanya makosa makubwa kama waliofanya CCM leo Wana CCM hawautaki tena umaoja wa Vijana wao wanataka kuunda umoja wa Vijana wote wa Tanznaia ?
Tujiulize CCM imeuundwa 1977 imetawala kwam iaka lukuki walikua wapi kuwaundia Umoja wa Vijana watanzania kwa nini iwe leo ?
KWa nini CCM wawe wanafanya vikao vya siri kuhakikisha jambo hili linaaza kufanyiwa kazi Mikoani na Dar kwa wanaharakati wa CCM ?
Inakuaje Umoja wa Vijana wa Tanzania uwe Siri wakati unataka kuundwa kwa manufaa ya vijana wa Tanzania ?