Sakata la Katiba: Mzanzibar amtupia lawama Rais Samia

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,566
Mzanzibar akionekana kumlaumu Rais Samia kutokuwajali watu wa Zanzibar kwa kutokuwaruhusu kujitawala. Katika maongezi yake Mzee huyo amerejelea katika na kumueleza kuwa Rais Samia hazingatii wanufaika wa kwanza wa katiba hiyo ambao ni Wazanzibar.

Nini maoni yako kuhusu hoja za mzee huyu?
============================
For English Audience

Chairman of the Chadema Elders Council, Hashim Juma Issa from Zanzibar is blaming President Samia for not caring about the people of Zanzibar by not allowing them to self-govern. In his conversation, Hashim reiterated and told her that President Samia does not prioritize the primary beneficiaries of that constitution, who are the people of Zanzibar and it's not right that their president has to be appointed from Dodoma.
 
Bila vyombo vya dola, wanawake na wajinga wengine hasa wanufaika wa utawala huu bibi’enu hapendwi ukweli ndo huo kataa usikatae!
 
Akiiliruhusu hilo nasi watu wa kilimanjaro twataka uhuru wetu Nyerere alitujumlisha kusiko yake, kilimanjaro ilikuwa sovereign state yakhee, mbway na iwe mbway yakhee

Shot and clear muungano hauwezi kuvunjika nyenzo zinazoulinda zina nguvu kuliko uhai wa mtu yeyote yule!
 
Shot and clear muungano hauwezi kuvunjika nyenzo zinazoulinda zina nguvu kuliko uhai wa mtu yeyote yule! /
Wewe ni mnazi na mzayuni kwa wakati mmoja hayashangazi maneno yako
 
Wazanzibar wapewe uhuru wao full stop. Watanganyika wabaki Watanganyika na nchi yao na Wazanzibar wabaki Wazanzibari na nchi yao.

Ni ajabu sana kuona mtu mwenye ngozi nyeusi kuona ukoloni na kutawaliana kimabavu ni jambo lenye maana sana huyu mtu ni mpumbavu kupita upumbavu wenyewe.

Na tabia hizo za kipumbavu nilizozisema alikuwa nazo Nyerere aliyejifanya kuchukia ukoloni kumbe yeye mwenyewe lilikuwa koloni jeusi lenye roho mbaya na kuwaweka Zanzibar kifungoni kimabavu mpaka leo bila ridhaa yao.

Ni ajabu sana huyu Mzanzibari Samia kujifanya aoni wala hasikii vilio vya Wazanzibari wenzake kuhusu nchi yao.

Viongozi wanaojali matumbo yao ni wajinga sana.
 
Uzito wa kipimo cha muungano haulingani na kipimo chochote kile, nikimaanisha habari za kufikiri kuuvunja ni heri chukuwe jembe ukajilimie tembele ukauze!
 
Akiiliruhusu hilo nasi watu wa kilimanjaro twataka uhuru wetu Nyerere alitujumlisha kusiko yake, kilimanjaro ilikuwa sovereign state yakhee, mbway na iwe mbway yakhee

Shot and clear muungano hauwezi kuvunjika nyenzo zinazoulinda zina nguvu kuliko uhai wa mtu yeyote yule!

Na hakuna mtu anataka muungano umfie mikononi mwake hata kama haupendi.
 
Back
Top Bottom