Elections 2010 CCM,CUF Wafanya kikao cha siri kuiangusha CHADEMA Mbeya

Kwani CAFU walipomuwekea pingamizi mgombea wa CHADEMA Sambwee Shitambala mpaka akaenguliwa NEC kwenye uchaguzi mdogo na kumfanya mgomea wa CCM kushinda ubunge CAFU walipata nini? Wakati CAFU walijua kabisa wasingeshinda uchaguzi. Acha kuandika pumba.

Nasikitika kuona unalaumu hatua ya CAFU kumwekea pingamizi mgombea. Ningedhani ungemlaumu huyo mgombea kwa kutofuata taratibu. Ni lini watanzania tutakubali udhaifu wetu na tukaacha lawama zisizo na msingi?
 
Kwani CAFU walipomuwekea pingamizi mgombea wa CHADEMA Sambwee Shitambala mpaka akaenguliwa NEC kwenye uchaguzi mdogo na kumfanya mgomea wa CCM kushinda ubunge CAFU walipata nini? Wakati CAFU walijua kabisa wasingeshinda uchaguzi. Acha kuandika pumba.

Kwani CAFU wamefanya kosa gani kumwekea huyo mgombea wa CHADEMA pingamizi? Mi nadhani huyu mgombea ndio mwenye kosa na inabidi alaumiwe kwa kutofuata taratibu, labda ungesema tume imemuonea hapo kidogo ingeleta maana. Hivi ni lini Watanzania tutaacha lawama zisizo na msingi?

Back
Top Bottom