Elections 2010 CCM,CUF Wafanya kikao cha siri kuiangusha CHADEMA Mbeya

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
Jana saa sita usiku kwenye baa ya Mzumbe Garden hapa Mbeya mjini,kulikuwa na kikao kati ya viongozi wa juu wa CCM Mkoa akiwamo Mwenyekiti wao na viongozi wa CUF wakipanga mkakati wa kuibwaga CHADEMA hapa,wana mpango wakumbambikia Sugu kesi ya kubaka au apewe fedha za PCCB.Chukueni tahadhari mafisadi wapo kazini.
 
Sasa CUF nao watapata nini wakifanya hayo? tunajua CCM wamezoea fitina kama hizo.
 
Hizi Habari Pumba kuwa CUF wako na CCM wacheni tumesikia fununu kuwa 5 days before election CUF na Chadema watatoa memorandum yao ya kuwa na mgombea mmoja tu kupingana na CCM ikiwezekana CCM wameumia ila sijui kama wanasheria wa vyama hivi viwili watakubaliana maslahi ya mgawanyo wa Ruzuku utakuaje na mgawanyo mwengine ikiwa serikali wapinzani watashinda.
Tuombe Tanzania ipate mabadiliko, inasemekana mazungumzo haya yamepata baraka za makatibu wakuu wa vyama hivi viwili .
 
Jana saa sita usiku kwenye baa ya Mzumbe Garden hapa Mbeya mjini,kulikuwa na kikao kati ya viongozi wa juu wa CCM Mkoa akiwamo Mwenyekiti wao na viongozi wa CUF wakipanga mkakati wa kuibwaga CHADEMA hapa,wana mpango wakumbambikia Sugu kesi ya kubaka au apewe fedha za PCCB.Chukueni tahadhari mafisadi wapo kazini.

Udini+Udini = CCM+CUF
 
Huo ni uzushi tuu CUF na CCM hatutengamani.CUF ni wadini CCM ni Mafisadi,sugu hatuhusu.Ombeni kura acheni uzushi!
 
Hayo ni maneno ya m ccm mmoja niko nae hapa!wadau mnasemaje?
 
Hayo ni maneno ya m ccm mmoja niko nae hapa!wadau mnasemaje?

Mkuu SOP tunashukuru kwa kutujuza pia naomba kama una mtu aliye karibu na mgombea wa Chadema Mbeya basi mpe taarifa hizi haraka iwezekanavy!Kumbuka hakuna linaloshindikana na ikumbukwe pia si kila aliyeko Rumande ni mhaarifu hilo pia linatambulika kuna baadhi ya wadau hapa wanaleta porojo eti CUF udini na CCM Mafisadi kwa hiyo hilo haliwezakane nawambia linawezekana nilishawahi kuandikisha na kusimamia kituo cha kupigia Kura Kigoma enzi za Dr Kaborou niliyoyaona na kushuhudia ni aibu kuyasema hapa lakini kwa kuwa wote tumejizatiti kuhakikisha tunaleta mabadiliko kila linalosemwa basi naomba tulifanyie kazi bila kulibeza.

Ninachoshukuru ni kuwa karibia kila mbinu waliokuwa wanaitumia miaka 50 iliyopita zimeweza kuwekwa wazi humu ndani ni matumaini yangu kuwa wote mawakala watakao wekwa kusimamia vituo vya kupigia kura watakuwa imara kama Ndesamburo alivyokuwa makini kipindi kile kutokubali kutoka kwenye chumba cha kuhesabia kura.Wote mnakumbuka yaliyomkuta Rwakatare wa Bukoba kukubali kutoka nje matokeo yalibadilishwa na kidogo awe mwehu lakini mungu alilinusuru hilo.

huku nilipo kwa sasa tumepokea ombi kutoka kwa msimamizi msaidizi wa uchaguzi kuwa tumpe vyumba vinne kwa ajili ya kupigia kura cha kusikitisha na kushangaza katika vyumba hivyo vitatu ni kwa ajili ya kupigia kura na kimoja kwa ajili ya kuhesabia kura.Swali ni kwamba ninavyojua mimi ni kwamba kura zinahesabia palepale kituoni na siyo kuhama na kwenda sehemu nyingine kwa ajili ya kuhesabia.Hii ni mkakati wa wazi wa kuiba kura.

WITO wangu mawakara wote wa chadema wawe kweli wakupenda chama chao na wapenda mabadiliko vingine hakuna litakalo wezekana kama tukiweka watu ambao ikifika kipindi cha mchana na kushauriana nenda katafute chakula mkiondoka tu mumeliwa haya nayaongea kutokana na uzoefu wangu katika uchanguzi wa 1995.

Asanteni kwa kunisikiliza!!
 
Jana saa sita usiku kwenye baa ya Mzumbe Garden hapa Mbeya mjini,kulikuwa na kikao kati ya viongozi wa juu wa CCM Mkoa akiwamo Mwenyekiti wao na viongozi wa CUF wakipanga mkakati wa kuibwaga CHADEMA hapa,wana mpango wakumbambikia Sugu kesi ya kubaka au apewe fedha za PCCB.Chukueni tahadhari mafisadi wapo kazini.

Hapa ndipo unapoona jinsi mwenye pumba zake anavyokurupuka huko baa asubuhi na kuja andika habari zisizo hata na ukweli, kisa tu kajisajili JF. Ina maana CUF wapange na CCM kuiangusha Chadema halafu wao wapate nini sasa CCm ikiingia madarakani??? Acha upuuzi wako, ukiona tu kiongozi wa chama kakaa baa basi anapanga kukiangusha chama kingine!! Au nawe ulishiriki katika hicho kikao nini?
Katafute habari zenye ukweli na msingi kisha uje uziweke hapa, acha ushabiki usio na maana.
 
Mwingine huyu anakwepesha mada!!wapo wengi humu?aliyekwambia mikutano kama hii hufanywa wazi ni nani mimi kipindi nasimamia uchaguzi nimeshuhudia mambo kama haya sasa wewe unakaa upotosha watu nini?Tuwe wakweli hiki nikipindi cha kila kitu na vyote vinawekekana
 
unajua mbeya baridi kali,na jamaa alikuwa ametega pale amchukue changu flani kwa jina namhuhifadhi,yule changu alivyochukuliwa na yule kiongozi wa CUF yeye ndo akaamua kupaka kiaina!
 
naamini pia hicho kikao ni mwendelezo wa vikao vya kujaribu kuunganisha ushindi wa kura ili waunde mseto.

Kuna movements ambazo hazieleweki between CUF na CCM.
tusubiri yatakayojiri punde. ila naamini hata dola imeanza kufunguka macho kwamba inafanywa malaika wa mauti na ccm
 
unajua mbeya baridi kali,na jamaa alikuwa ametega pale amchukue changu flani kwa jina namhuhifadhi,yule changu alivyochukuliwa na yule kiongozi wa CUF yeye ndo akaamua kupaka kiaina!

kalunguine na cain mna akili kama za makamba,jiangalieni mnaweza kuwa watoto wa yule dent aliyebakwa na ym kule bumbuli.chadema kuweni makini kila kitu kinawezekana.
 
Hapa ndipo unapoona jinsi mwenye pumba zake anavyokurupuka huko baa asubuhi na kuja andika habari zisizo hata na ukweli, kisa tu kajisajili JF. Ina maana CUF wapange na CCM kuiangusha Chadema halafu wao wapate nini sasa CCm ikiingia madarakani??? Acha upuuzi wako, ukiona tu kiongozi wa chama kakaa baa basi anapanga kukiangusha chama kingine!! Au nawe ulishiriki katika hicho kikao nini?
Katafute habari zenye ukweli na msingi kisha uje uziweke hapa, acha ushabiki usio na maana.

Kwani CAFU walipomuwekea pingamizi mgombea wa CHADEMA Sambwee Shitambala mpaka akaenguliwa NEC kwenye uchaguzi mdogo na kumfanya mgomea wa CCM kushinda ubunge CAFU walipata nini? Wakati CAFU walijua kabisa wasingeshinda uchaguzi. Acha kuandika pumba.
 
Back
Top Bottom