CCM chali Makete! Ni ktk uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji

Wana JF Nisaidieni. Hivi huko bado kuna ile kitu inaitwa "Balozi wa nyumba kumi (ten cell leader)?, Mabalozi wa mashina? Mimi niliondoka mapema kidogo na huwa nikija ni kwa muda na ka-ubize fulani hivi. Bado zile bendera za kijani zipo kila nyumba? Rafiki yangu mmoja alinitumia ujumbe ofisi ya CCM pale Kata ya Levolosu, Arusha ilishafungwa na kile kizahanati watu hawakitaki tena kilikufa. Pia Olorien..Je ni kweli?
 
R.I.P CCM:israel::israel::israel::israel:1977:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:UP :israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:TO:israel::israel::israel::israel:2015:israel:
 
Wagombea wa CHADEMA wameshinda katika uchaguzi mdogo ili kuziba nafasi ya mwenyekiti wa kijiji (MATAMBA NA MAHANJI). Nafasi hizo zilikuwa zinashikiliwa na CCM kabla hawajapata mauti iliyopelekea kufanyika uchaguzi mdogo. Sababu kubwa ya wananchi kufanya hivyo ni kukerwa kwao na serikali kuhusika na kipigo cha Dr. Ulimboka. Wananchi wameapa kuwa 2015 CCM hawana chao MAKETE.

wafikishie salaam zangu za pongezi hawa mashujaa walioamua kujitenga na minyororo ya magamba
 
wafikishie salaam zangu za pongezi hawa mashujaa walioamua kujitenga na minyororo ya magamba

Sababu ni Dr Ulimboka tu? Kama no hivyo sishabikii ushindi huo maana najua kama Dr Ulimboka asingeumizwa bado ushindi ungekuwa mashakani vonginevyo mtoa uzi hajaupa nyama uzi wake vya kutosha kuweza kitoa hongera.
 
Thank God, CCM fooled people some of the times in the past BUT will never fool all people all the times.
 
Uwanji ni maeneo ya watu wa kabila la Matamba na Mahanji maeneo yaliyoko Bulongwa mbele kidogo mtoa mada hajakosea

big up sana mm muwanjii wa ikuwo wafike hadi katika kata yetu 2015 mahenge kazi anayo maan wanamakete walikunywa maji ya bendera
 
Back
Top Bottom