rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
MAKETE
Ni maeneo ya vijijini sana (Matamba na Mahanji) Leo kulikuwa na Chaguzi ndogo mbili ambako wenyeviti wa awali CCM wote walifariki kwa nyakati tofauti, CHADEMA wameshinda vijiji vyote viwili kwa ushindi wa Kimbunga. Awali vijiji vyote vilikuwa chini ya CCM. Ni taarifa tu wandugu
asante kwa taarifa bwana Mnyika!