CCM chali Makete! Ni ktk uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji

Ahsanteni wananchi wa makete kwa kukubali mabadiliko. Kamanda fuatilia zaidi ili utupe takwimu halisi za matokeo!
 
Hayo maeneo yalikuwa ngome kali ya magamba. I know those areas much because is my metro. Ukiona hata hayo maeneo yamepoteza confidence kwa magamba pamoja na ziara kadhaa za vigogo, basi naamini magamba atapoteza 2015 kwa CHADEMA sasa ni mijini na vijijini.
 
Wagombea wa CHADEMA wameshinda katika uchaguzi mdogo ili kuziba nafasi ya mwenyekiti wa kijiji (MATAMBA NA MAHANJI). Nafasi hizo zilikuwa zinashikiliwa na CCM kabla hawajapata mauti iliyopelekea kufanyika uchaguzi mdogo. Sababu kubwa ya wananchi kufanya hivyo ni kukerwa kwao na serikali kuhusika na kipigo cha Dr. Ulimboka. Wananchi wameapa kuwa 2015 CCM hawana chao MAKETE.
 
Nimefika maeneo hayo... Ila watu wa kule wajanja sana hata kama ni remote area. Big up the wananchi
 
Kwenye uzi huu haji hata mmoja kati ya wale wa kusema "CDM hoi/chama cha kikanda n.k"!
 
nipo rujewa,ubaruku wilaya mbarali kila mtu kaichoka ccm isipokua wamanga wachache waliouziwa mali na govt kwa bei chee
 
wakati wa kuendesha siasa wa mazoea umnapita kwa kasi ya ajabu sana huu si muda wa kujivunia mtandao wa mabalozi, mashina, wanachama milion kadhaa, wabunge wengi na nguvu za dola,nguvu halisi ya chamama ni jinsi kinavyojitahidi kuwa karibu na wananchi walio wengi
chama chenye kulea rushwa ni hakia kitapotea na hili hahiitaji kubishana
 
[h=6]MAKETE
Ni maeneo ya vijijini sana (Matamba na Mahanji) Leo kulikuwa na Chaguzi ndogo mbili ambako wenyeviti wa awali CCM wote walifariki kwa nyakati tofauti, CHADEMA wameshinda vijiji vyote viwili kwa ushindi wa Kimbunga. Awali vijiji vyote vilikuwa chini ya CCM. Ni taarifa tu wandugu
[/h]

Mungu ni mfalme milele.
 
Chama cha kaskazini chama cha udini maskini hizi single silitumia gharama kutengenezwa lakin hazikuhit wangu,nyinyiem bye bye
 
CDM huyee!!

CCM endelezeni propaganda za kijinga!!

Wa TZ hawaawaamini tena hata msemeje!!

Semeni CDM ni wachaga, wa tz hawawaamini!

Semeni CDM ni chama cha kidini, Wa TZ hawaamini wala kukubali!

Kikwete anasema Ulimboka hajadhuriwa na serikali, Wote hatuamini na tuna muona muongo na mjinga kwa kuukana ukweli

wa wazi!


................


Kufa CCM!!
 
Back
Top Bottom