CCM chaelekea kuwa chama cha upinzani

King Innocent

JF-Expert Member
Dec 13, 2011
1,001
623
Satute kwenu wakuu, kwa tathmini ndogo niliyofanya baada ya uchaguzi mdogo uliyofanyika jana wa madiwani katika kata takrbani sita na ccm kuambulia kata mbili nidhahiri kuwa chama hiki kimekuwa chama cha upinzani huku chama cha CDM Kikiendelea kuwa chama tawala ktk mioyo ya Watanzania walio wengi
 
Back
Top Bottom