Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
Au ndio chama cha HAMAD
Hamad nadhani bado anajipanga
Au ndio chama cha HAMAD
Huu utitiri wa vyama unasaidiaje kuondoa umasikini wa watanzania, wachumia tumbo tu hao hawana jipya.
wengine hao, nataman ningeskia jeshi limepindua nchi,sio vyama kuongezeka
Asmara Eritrea? Unadhani tumesahau juzi hapa wachezaji wa timu ya soka ya Eritrea walivyotolewa kwenye mashindano wakagoma kurudi kwao, wakazamia Tz?Mbona sisi kwetu asmara Hakuna chama cha siasa lakini Hakuna migomo wala matatizo ya Umeme ,,,,,;,,,,
Hebu nifafanulie hapa...Hao CDM si ndio walienda kunywa juisy Ikulu?( na wana mpango wa kurudi tena baada ya kunogewa)
Hao CDM si ndio wana viongozi wasio na msimamo? Leo wanapinga, kesho wanakubali!!
Kumtambua rais.Embu funguka zaidi apo ni lipi na lipi walikataa na kukubali
Mengine ni makapuni haya, inabidi yasajiliwe na BRELA
Ni mapema mno unaweza kuwa wewe au mimi au mwingine baada ya kuzisoma sera zao pengine tukavutiwa,hivi vyama tuliko ni kama makoti tu tukiona yanatubana bana bana ruksa kuyavua,tufikie hapo watz,vyama si baba wala mama zetu,tulikutana navyo barabarani tu!Nani Mwenyekiti wa chama na Katibu Mkuu wa chama?
Nilitaka kushangaa MMKJJ asionekane hapa.
Hivi vyama vinakuja kugawa kura za upinzani tu.