CCK imepata usajili, tuwape hongera!

greenstar

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
390
53
CCK ufufuo wa CCJ kimepata usajili baada yakukamilisha taratibu zote.....Hongera sana Bw.Akitanda kwa kukifikisha hapo.Angalizo,ogopeni sana mafisadi wasiwatumie katika harakati zao !!!!!!
 
Huu utitiri wa vyama unasaidiaje kuondoa umasikini wa watanzania, wachumia tumbo tu hao hawana jipya.
 
Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na utitiri wa vyama. inaweza kuwa tawi la waizi hiyo chama. kumbukeni viongozi karibu wote wa ccj walivyokimbilia ccm mara walipokosa usajili.
Chama makini ni CHADEMA peke yake. vingine ni taasisi za magamba tu
 
Chanzo cha habari! six , Nape mwakyembe wamepata wanazo hizi habari? Je sio jitihada za six hizo ! ufafanuzi please
CCK ufufuo wa CCJ kimepata usajili baada yakukamilisha taratibu zote.....Hongera sana Bw.Akitanda kwa kukifikisha hapo.Angalizo,ogopeni sana mafisadi wasiwatumie katika harakati zao !!!!!!
 
:lol: kuna siku nilikuwa naongea na mwenyekiti wake akanipa habari kuwa sumaye atagombea urais kupitia chama hiki na pesa iko tayari ccm ndio inaenda kufa.
 
Mbona sisi kwetu asmara Hakuna chama cha siasa lakini Hakuna migomo wala matatizo ya Umeme ,,,,,;,,,,
 
CCK,NCCR,CUF lao moja,chama cha upinzani Tanzania ni CDM
Hebu nifafanulie hapa...Hao CDM si ndio walienda kunywa juisy Ikulu?( na wana mpango wa kurudi tena baada ya kunogewa)
Hao CDM si ndio wana viongozi wasio na msimamo? Leo wanapinga, kesho wanakubali!!
 
Mh rejao hapo umeonyesha wazi woga wako juu ya chadema. There will still be no sound in your ear unless the one that sounds like Chadema. Mzee unataka kuniambia kuwa hujaona jina la chama kingine chochote kwenye post hii zaidi ya cdm?sasa nimeelewa vizuri namna ya kukunyima usingizi ,ntasubiri wakati umelala kisha nakuja dirishani kwako na ku shout “Chademaaaaaa”hapo naamini hutalala wiki nzima zaidi ya kuota ndoto za majinamizi,huyoooo ahhahahahahaaa
 
Back
Top Bottom