Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,610
Herufi J na K zinafuatana kwenye alphabetical order, so CCJ na CCK ni mapacha, wazazi ni wale wale, isipokuwa walezi ndio tofauti.
CCJ ni Kulwa na CCK ni Dotto. Kulwa anaonekana alitoka kwa kasi ndio maana akafikwa na mauti, after some hrs Dotto (CCK) ametoka akiwa mzima, I hope walezi wake watamtunza na kuhakikisha anakuwa na afya njema ili aje kusimamia na kuendeleza kile ambacho Kulwa (CCJ) alishindwa kukitimiza baada ya kutelekezwa na walezi.
Hawa jamaa wa CCJ na sasa sijui CCK ni majokeri tu. People aren't gonna take them seriously. Yaani CCJ ilivyopigiwa debe and how it turned out to be a dud....I just can't get over it.