Ukizingatia kuwa wamekuja Ki-uchaguzi zaidi!!:clock:Bora uwashtue muda unakwenda na uchaguzi ndio huu,
Hapa ndo tunamtaka MMKjj aje kutoa majibu!!Wamekuwa kimya sana hawa jamaa!...Naogopa watatudisappoint!...Mi niliahidiwa ningekutana nao mahali baada ya kujiunga na kupewa nambari ya kadi, lakini sijaona mtu kwenye rendzevous!...Is something not happening somewhere?
Mbona kama wamekawia mpaka treni ya bara inapiga honi ya kuondoka na hakuna dalili za wao kutokea!!Mambo polepole wandugu,tuwe na subira kwani hamuikumbuki methali isemayo 'kawia ufike?'. Mambo mazuri siku zote hayataki haraka. Nadhani watakuwa wanajipanga.
Tuliza ball.. kila vita na mbinu zake! Usifa moyo... mabadiliko ni mwaka huu huu tu anayetaka kusubiri 2015 kaliwa!
MMkjj, unajua tukijua kinachoendelea, itakuwa rahisi kuanza Ku-mix na akili zetu! si unajua akili zetu zina-process taratibu sana? Ukija mwishoni mwishoni, tutaguna.!Tuliza ball.. kila vita na mbinu zake! Usifa moyo... mabadiliko ni mwaka huu huu tu anayetaka kusubiri 2015 kaliwa!