Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 233
MMkjj, unajua tukijua kinachoendelea, itakuwa rahisi kuanza Ku-mix na akili zetu! si unajua akili zetu zina-process taratibu sana? Ukija mwishoni mwishoni, tutaguna.!
Duh! Punguza kidogo Bigirita! Naona MMKJJ umeshampeleka ukutani kwa hizo kejeli, mwachie kidogo ajipange!