CCJ Iko wapi?

Bigirita

Platinum Member
Feb 12, 2007
15,986
7,366
Mbona kimwa mkuu? au mnajipanga kumshtaki Msajili wa vyama?
Au mpo mezani mnashughulikia ushauri wa Mzee Mtei?
Sisi wapenda mabadiliko/mapinduzi ya kweli tunawasikilizia,
Taafaadhali isije kuwa decoy mkuu!!!
 
:clock:Bora uwashtue muda unakwenda na uchaguzi ndio huu,
Ukizingatia kuwa wamekuja Ki-uchaguzi zaidi!!
Sasa wenzao naona wanachukua application forms, Kwani wao Hawana utaratibu wa Application form?
Tutatoa vijana wa pikipiki wamsindikize mteuliwa wao!!!
 
Wamekuwa kimya sana hawa jamaa!...Naogopa watatudisappoint!...Mi niliahidiwa ningekutana nao mahali baada ya kujiunga na kupewa nambari ya kadi, lakini sijaona mtu kwenye rendzevous!...Is something not happening somewhere?
 
Mambo polepole wandugu,tuwe na subira kwani hamuikumbuki methali isemayo 'kawia ufike?'. Mambo mazuri siku zote hayataki haraka. Nadhani watakuwa wanajipanga.
 
Hapa ndo tunamtaka MMKjj aje kutoa majibu!!
 
Mambo polepole wandugu,tuwe na subira kwani hamuikumbuki methali isemayo 'kawia ufike?'. Mambo mazuri siku zote hayataki haraka. Nadhani watakuwa wanajipanga.
Mbona kama wamekawia mpaka treni ya bara inapiga honi ya kuondoka na hakuna dalili za wao kutokea!!
 
Usanii mtupu!

Mwaka wa uchaguzi unamengi. Binafsi, naamini kabisa hawa CCJ wamekutana na mambo ambayo hawakuyatarajia. Wadanganyika ni watu hatari kuliko tunavyowaona kwa sura.
 
Tuliza ball.. kila vita na mbinu zake! Usifa moyo... mabadiliko ni mwaka huu huu tu anayetaka kusubiri 2015 kaliwa!
 
Tuliza ball.. kila vita na mbinu zake! Usifa moyo... mabadiliko ni mwaka huu huu tu anayetaka kusubiri 2015 kaliwa!

Naapenda kuamini lakini kuanzia kazini, mtaani mpaka nyumbani khali ni mbaya yaani mijitu haitaki kabisa kuamka na kunusa harufu ya kahawa. Ukitaka kujua laana ilivyo mbaya mpaka clever society kama jews imehawi kuwa utumwani! Uzuri wa wenzetu ni kwamba walimjua aliyewapa laana kwa hiyo ilikuwa ni rahisi kurudi na kuomba msamaha.
 
Kweli kabisa jamaa hawasikiki kabisa, labda tuvute subira kama tunavyoambiwa.
 
Mbio za sakafuni huishia ukingoni. Hawa walikuja na nyodo kuponda kila chama,na zidi sana walijikita kwenye news rooms badala ya majukwaani. Hawa walikuja kuvuruga akili za watz.
 
Tuliza ball.. kila vita na mbinu zake! Usifa moyo... mabadiliko ni mwaka huu huu tu anayetaka kusubiri 2015 kaliwa!
MMkjj, unajua tukijua kinachoendelea, itakuwa rahisi kuanza Ku-mix na akili zetu! si unajua akili zetu zina-process taratibu sana? Ukija mwishoni mwishoni, tutaguna.!
 
Baadhi ya watu humu walikuja juu na kukisakama CCJ na kuukandia ujio wake. Leo hii, Mzee aliyekuwa anawa-spoon feed habari za CCJ kwa nia njema kabisa mkaanza kumshutumu na kukijia juu CCJ. Sasa ameamua kuakaa kimya mmeanza kumchokoza. Hivi ninyi wenyewe hamuwezi kwenda kwenye 'news rooms' kutafuta taarifa za CCJ? Badala yakufanya homework hiyo mmekalia uvivu tu na kutaka kuwa spoon fed!

Rome was not built in a day. Let CCJ be.
 
CCJ kwishen...no charm offensive or sijui fancy title gani nyingine watakayoipa harakati zake!! CCM mbabe...uliza uambiwe! Unataka kumnyang'anya simba himaya yake ndani ya siku moja? Wapi umesikia hiyo? Jeshi, polisi, FFU, bunge, tume ya uchaguzi, pesa, mafisadi, nk....vyakwao! Unadhani wataachia kirahisi? Time to re-strategize. Am beginning to think njia ya kuiondoa CCM pekee inayobaki sasa ni through internal revolution! No need to break away, just taking time to bring change within the people inside!
 
Back
Top Bottom